Je System imeamua kumu expose Samia?

Boss mama anachukua kiti tena,asali tamu pale,dodo lilidondoka yeye ameokota pigeni kelele weeeee ila kiti nichake maybe mwenyewe akatae lkn asali ni tamu sana
 
Sio lazima uelewe. Kama hujaelewa piga kimya tu
Wabongo mnapenda sana story za kufkirika story za kahawa,.kwaio unataka kutuambia bwana system kachoka kabisa au cyo ndugu lord,bwana system anataka kinuke tu aingie mbowe ikulu ili lema awe waziri wa mambo ya ndani wakose wote ndugu yetu stystem na ccm.
 
kuraruana kwa kwa mambo ya kizushi na uongo, miongoni mwa viongozi waandamizi wa Chadema Taifa, huku wakihusisha mwanafamilia wa rais,

kwa wakati huu na kwasasa hivi, hakuna athari zozote za kisiasa dhidi ya familia husika, chama tawala na serikali yake sikivu, lakini pia hakuna athari zozote kwa Taifa katika ujumla wake..

hata hivyo,
vyombo husika viko chonjo kufuatilia mambo haya, na kwa wakati muafaka ikibainika kuna uchochezi wenye athari, basi hatua muhimu za kisheria zitachukuliwa bila mbambamba yoyote 🐒
 
CCM kuchokwa na dola? Ikichokwa mbona itaangushwa asubuhi tu kwenye sanduku la kura kunako uchaguzi mkuu. Halafu hii imekaaje Lissu kupewa coverage kubwa na media za dola kule kukusudia tu kugombea uenyekiti wa CHADEMA kwa kiasi kile, au ndio system imeamua kuachana na CCM na kuwa na CHADEMA chini ya Lissu?
 
A strong Chadema ni uhakika wa kuwepo Tanzania imara miaka inayokuja.


Mark this comment
 
Wakati wa Jakaya , mwanae Ridhwani alihisishwa na kila aina ya ufisadi uliokuwa unazingumzwa wakati ule. Sioni ajabu kwa Abdu. Ni kawaida kwa binadamu.

Huwezi kumzuia binadamu kusema. Wanamsema Mungu sembuse Mama Samia!
 
Wakati wa Jakaya , mwanae Ridhwani alihisishwa na kila aina ya ufisadi uliokuwa unazingumzwa wakati ule. Sioni ajabu kwa Abdu. Ni kawaida kwa binadamu.

Huwezi kumzuia binadamu kusema. Wanamsema Mungu sembuse Mama Samia!
Kipindi cha kikwete Ridhiwani yalikuwa maneno ya mtaani. Saivi Abdul anatajwa moja kwa moja tena kwa ushahidi. Tofautisha kidogo
 
Samia mwenyewe ni system tena mkuu wa system. Labda kaamua mwenyewe kumuexpose.
 
hivi system unayoiongelea ni ipi? ina nguvu kuliko ma system ya ulaya? huko ulaya wamemuidhinisha katika wanawake 100 wenye nguvu zakiutawala na ushawishi duniani huoni kuwa MAMA yupo vizuri? sasa hiyo system yako unayoisema itakuwa ya vijiwe vya kahawa chini ya miti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…