Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss mama anachukua kiti tena,asali tamu pale,dodo lilidondoka yeye ameokota pigeni kelele weeeee ila kiti nichake maybe mwenyewe akatae lkn asali ni tamu sanaKwa yanayoendelea kuhusu kutajwa moja kwa moja mtoto wa Rais kuhonga wanasiasa wanaoonekana kuleta ushindani kisiasa dhidi ya Rais (Mama yake) swali kuu tunalopaswa kujiuliza ni;
Je System imeamua kumu expose Samia?
Je System imemchoka Samia?
Niliwahi kusikia huko nyuma kuwa System ina njia nyingi sana za kufanya kazi:
Kwanza wanaweza kukuletea taarifa na ushauri tu! Endapo wakiona husikilizi ushauri watatumia watu wako wa karibu kukushauri! Na endapo utazidi kukaza shingo basi wata ku expose ili umma ujue mambo yako na uwe kwenye wakati mgumu.
Kwa wanaoangalia siasa kwa jicho la kawaida hawawezi ona maana halisi ya mabishano ya Lissu na Wenje huku akitajwa moja kwa moja mtoto wa Rais.
Kwa tunaoangalia siasa kwa macho yote ya ndani na nje hii ni alert kubwa sana kwa Samia maana inaonekana sasa ameanza kuchokwa na dola.
Sio hivyo tu ni ishara kuwa hata CCM wameanza kuchokwa na dola.
Tuzidi kuomba haya yazidi kuendelea maana kupitia haya inawezekana Tanzania ikaja kupata ukombozi wa kweli.
Wabongo mnapenda sana story za kufkirika story za kahawa,.kwaio unataka kutuambia bwana system kachoka kabisa au cyo ndugu lord,bwana system anataka kinuke tu aingie mbowe ikulu ili lema awe waziri wa mambo ya ndani wakose wote ndugu yetu stystem na ccm.Sio lazima uelewe. Kama hujaelewa piga kimya tu
Nimecheka hawa wanaosimamia usahihishaji wa mitihani kidato cha nne system hii ndo iwe na akili hiyoUkweli ni kuwa nowdays System ina vilaza wengi sana. Ila still huwezi ondoa ukweli kuwa still ina watu wachache wenye uwezo na weredi
kuraruana kwa kwa mambo ya kizushi na uongo, miongoni mwa viongozi waandamizi wa Chadema Taifa, huku wakihusisha mwanafamilia wa rais,Kwa yanayoendelea kuhusu kutajwa moja kwa moja mtoto wa Rais kuhonga wanasiasa wanaoonekana kuleta ushindani kisiasa dhidi ya Rais (Mama yake) swali kuu tunalopaswa kujiuliza ni;
Je System imeamua kumu expose Samia?
Je System imemchoka Samia?
Niliwahi kusikia huko nyuma kuwa System ina njia nyingi sana za kufanya kazi:
Kwanza wanaweza kukuletea taarifa na ushauri tu! Endapo wakiona husikilizi ushauri watatumia watu wako wa karibu kukushauri! Na endapo utazidi kukaza shingo basi wata ku expose ili umma ujue mambo yako na uwe kwenye wakati mgumu.
Kwa wanaoangalia siasa kwa jicho la kawaida hawawezi ona maana halisi ya mabishano ya Lissu na Wenje huku akitajwa moja kwa moja mtoto wa Rais.
Kwa tunaoangalia siasa kwa macho yote ya ndani na nje hii ni alert kubwa sana kwa Samia maana inaonekana sasa ameanza kuchokwa na dola.
Sio hivyo tu ni ishara kuwa hata CCM wameanza kuchokwa na dola.
Tuzidi kuomba haya yazidi kuendelea maana kupitia haya inawezekana Tanzania ikaja kupata ukombozi wa kweli.
A strong Chadema ni uhakika wa kuwepo Tanzania imara miaka inayokuja.CCM kuchokwa na dola? Ikichokwa mbona itaangushwa asubuhi tu kwenye sanduku la kura kunako uchaguzi mkuu. Halafu hii imekaaje Lissu kupewa coverage kubwa na media za dola kule kukusudia tu kugombea uenyekiti wa CHADEMA kwa kiasi kile, au ndio system imeamua kuachana na CCM na kuwa na CHADEMA chini ya Lissu?
Na hii ndo maana yake. Yule mtoto sio Kiongozi Serikalini, sio mtumishi wa umma.Ila si vizuri mtoto huyo kutajwa kwenye sakata lile, ni kama kashfa, ukichukulia mama yake ni top
kama vipi system ihamie huko chadema mpya iliyo chini ya lissu nchi ibadilike kimaendeleoA strong Chadema ni uhakika wa kuwepo Tanzania imara miaka inayokuja.
Mark this comment
Kipindi cha kikwete Ridhiwani yalikuwa maneno ya mtaani. Saivi Abdul anatajwa moja kwa moja tena kwa ushahidi. Tofautisha kidogoWakati wa Jakaya , mwanae Ridhwani alihisishwa na kila aina ya ufisadi uliokuwa unazingumzwa wakati ule. Sioni ajabu kwa Abdu. Ni kawaida kwa binadamu.
Huwezi kumzuia binadamu kusema. Wanamsema Mungu sembuse Mama Samia!
Umeanza lini kufuatilia siasa?Kipindi cha kikwete Ridhiwani yalikuwa maneno ya mtaani. Saivi Abdul anatajwa moja kwa moja tena kwa ushahidi. Tofautisha kidogo
Ni watu wa kawaida ila Tanzania ipo chini yaoMbona hiyo system inakuwa overrated sana wakuu?? Shida ni nini?? Mbona hao watu wa kwenye system ni watu wa kawaida sana..
Samia mwenyewe ni system tena mkuu wa system. Labda kaamua mwenyewe kumuexpose.Kwa yanayoendelea kuhusu kutajwa moja kwa moja mtoto wa Rais kuhonga wanasiasa wanaoonekana kuleta ushindani kisiasa dhidi ya Rais (Mama yake) swali kuu tunalopaswa kujiuliza ni;
Je System imeamua kumu expose Samia?
Je System imemchoka Samia?
Niliwahi kusikia huko nyuma kuwa System ina njia nyingi sana za kufanya kazi:
Kwanza wanaweza kukuletea taarifa na ushauri tu! Endapo wakiona husikilizi ushauri watatumia watu wako wa karibu kukushauri! Na endapo utazidi kukaza shingo basi wata ku expose ili umma ujue mambo yako na uwe kwenye wakati mgumu.
Kwa wanaoangalia siasa kwa jicho la kawaida hawawezi ona maana halisi ya mabishano ya Lissu na Wenje huku akitajwa moja kwa moja mtoto wa Rais.
Kwa tunaoangalia siasa kwa macho yote ya ndani na nje hii ni alert kubwa sana kwa Samia maana inaonekana sasa ameanza kuchokwa na dola.
Sio hivyo tu ni ishara kuwa hata CCM wameanza kuchokwa na dola.
Tuzidi kuomba haya yazidi kuendelea maana kupitia haya inawezekana Tanzania ikaja kupata ukombozi wa kweli.
Umeanza lini kufuatilia siasa?
hivi system unayoiongelea ni ipi? ina nguvu kuliko ma system ya ulaya? huko ulaya wamemuidhinisha katika wanawake 100 wenye nguvu zakiutawala na ushawishi duniani huoni kuwa MAMA yupo vizuri? sasa hiyo system yako unayoisema itakuwa ya vijiwe vya kahawa chini ya mitiKwanza hiyo system haimtaki Toka aliporithi.system ilitaka kupindisha katiba ili huyu asirithi maana mafaili yake yalionesha huyu hakuna kitu hadi jeshi wakatishia kuichukua Nchi Kwa mtutu ndiyo ponapona yake.Kwa yanayotokea Kwa Sasa nchini kwetu inaonesha kabisa system waliona mbali mita 200 na walikuwa sahihi 100%
Huyo Abdul amevuna sana. Who ia this Man? Ana nguvu sanaSamia hana haja ya kuwa exposed, anafanya vyema kabisa katika kuji expose yeye mwenyewe na mapungufu yake.
Tatizo sio sysytem, tatizo ni upeo na uwezo wa Samia mwenyewe.