Je System imeamua kumu expose Samia?

Je System imeamua kumu expose Samia?

Hakuna system yoyote inayomu expose, mfumo dhaifu wa utendaji haki na wenye urasimu wa kiutendaji ndio umeleta hili zogo lote.

Alichokifanya wenje ndicho ambacho wengi huwa wanafanya kama kumuomba Makonda na wengine wasaidie kutatua matatizo yao.
Abdul ananufaika na nini kupigania Lissu alipwe, mpaka kumfuata Tegeta. Mtoto wa raisi anapigania pesa za mkosoaji mkuu wa mama yake alipwe stahiki zake yeye ananufaika vipi?.
 
Wakati wa Jakaya , mwanae Ridhwani alihisishwa na kila aina ya ufisadi uliokuwa unazingumzwa wakati ule. Sioni ajabu kwa Abdu. Ni kawaida kwa binadamu.

Huwezi kumzuia binadamu kusema. Wanamsema Mungu sembuse Mama Samia!
Kwa hiyo wanamzushia Abdul kuhusu hiyo kadhia ya rushwa/malipo/msaada?
-Hapa kama ni uzushi akafungue mashtaka.
-Kama ni ukweli au labda ni ukweli(uliotiwa chunvi-exaggerated) au ukweli uliopindishwa au ukweli ila haujaeleweka from what exactly transpired basi atoe maelezo/ufafanuzi for the mass to get his side of the story.

Anaweza pia kuamua kukaa kimya ili kila mja afikiri atakavyo fikiri, hiyo pia ni haki yake.
 
Abdul ananufaika na nini kupigania Lissu alipwe, mpaka kumfuata Tegeta. Mtoto wa raisi anapigania pesa za mkosoaji mkuu wa mama yake alipwe stahiki zake yeye ananufaika vipi?.
Hakuna kipindi Lissu alianza kumsifia Samia kwamba hali inabadilika tofauti na ilivyokuwa kwa Magufuli??
 
Yaani bongo hakuna kitu watu wanakiheshimu na kukijadili kama system.
Hakuna kitu kinaitwa system acheni kutukuza vitu vidogo vidogo.
Hiyo system ingekuwa ina power kama mnavyoijadili ma DG wake wasingekuwa wanapanguliwa kama mayai kwenye trei, badala yake wao na wangekuwa na uwezo kuutiisha muhimili
 
Kwa yanayoendelea kuhusu kutajwa moja kwa moja mtoto wa Rais kuhonga wanasiasa wanaoonekana kuleta ushindani kisiasa dhidi ya Rais (Mama yake) swali kuu tunalopaswa kujiuliza ni;

Je System imeamua kumu expose Samia?

Je System imemchoka Samia?

Niliwahi kusikia huko nyuma kuwa System ina njia nyingi sana za kufanya kazi:

Kwanza wanaweza kukuletea taarifa na ushauri tu! Endapo wakiona husikilizi ushauri watatumia watu wako wa karibu kukushauri! Na endapo utazidi kukaza shingo basi wata ku expose ili umma ujue mambo yako na uwe kwenye wakati mgumu.

Kwa wanaoangalia siasa kwa jicho la kawaida hawawezi ona maana halisi ya mabishano ya Lissu na Wenje huku akitajwa moja kwa moja mtoto wa Rais.

Kwa tunaoangalia siasa kwa macho yote ya ndani na nje hii ni alert kubwa sana kwa Samia maana inaonekana sasa ameanza kuchokwa na dola.

Sio hivyo tu ni ishara kuwa hata CCM wameanza kuchokwa na dola.

Tuzidi kuomba haya yazidi kuendelea maana kupitia haya inawezekana Tanzania ikaja kupata ukombozi wa kweli.
Nionavyo mimi hapo ni kwamba, taratiiibu mtoto anaingizwa kwenye siasa za Tanzania ili apate umaarufu na kujulikana. Mara paap utasikia ni mbunge, paap mkuu wa mkoa, mara huyo amekuwa waziri, hatimae anakuwa mrithi wa mama 2035
 
Hakuna system yoyote inayomu expose, mfumo dhaifu wa utendaji haki na wenye urasimu wa kiutendaji ndio umeleta hili zogo lote.

Alichokifanya wenje ndicho ambacho wengi huwa wanafanya kama kumuomba Makonda na wengine wasaidie kutatua matatizo yao.
Wanasema wewe ndo wenje mwenyewe...
 
Hakuna kipindi Lissu alianza kumsifia Samia kwamba hali inabadilika tofauti na ilivyokuwa kwa Magufuli??
Lissu sio mnafiki. Alimsifia sana hadi akatoka Ubelgiji akaja kushiriki vikao vya Maridhiano. Ameshiriki zaidi ya vikao vutatu.

Alipoulizwa imekuwaje kukaa meza moja na mahasimu alisema anaona Mwelekeo ni mzuri wa kisiasa na atleast sio sawa na Magufuli.

Lissu alimsifia Mama kuwa amefunguli vifungo vya wananchama zaidi ya 400 waliofungwa bila hatia yoyote enzi za Magu. Alifuta kesi za kubumba za wananchama zikabaki kama tatu nne tano hivi.

Lissu alihoji ktk mazingira kama haya unaendeleaje kugomea mijadala ya maridhiano? Unataka nini sasa?

Hata hivyo Jamaa ni Proactive, alikuja kugundua maridhiano yalikuwa scam😅
 
Hata Mbowe alikuja kukubali kuwa maridhiano hayakuwa na chochote kipya, labda Lissu aliwahi tu kung'amua hivyo.
 
Hakuna kipindi Lissu alianza kumsifia Samia kwamba hali inabadilika tofauti na ilivyokuwa kwa Magufuli??
Baada ya chama kuamua kukubali maridhiano na yeye ikabidi aende na mdundo wao. Lakini ndani alikua anakataa suala la maridhiano mpaka mwenyekiti alipokubali Samia kamuingiza chocho ndio Lissu akasema niliwambia hawa hadharani.

Sasa nauliza Tena "Lengo la Abdul kufunga safari mpaka Tegeta kupigania kuona documents Ili Lissu alipwe yeye alikua ananufaika na nini"?.
 
Kwa yanayoendelea kuhusu kutajwa moja kwa moja mtoto wa Rais kuhonga wanasiasa wanaoonekana kuleta ushindani kisiasa dhidi ya Rais (Mama yake) swali kuu tunalopaswa kujiuliza ni;

Je System imeamua kumu expose Samia?

Je System imemchoka Samia?

Niliwahi kusikia huko nyuma kuwa System ina njia nyingi sana za kufanya kazi:

Kwanza wanaweza kukuletea taarifa na ushauri tu! Endapo wakiona husikilizi ushauri watatumia watu wako wa karibu kukushauri! Na endapo utazidi kukaza shingo basi wata ku expose ili umma ujue mambo yako na uwe kwenye wakati mgumu.

Kwa wanaoangalia siasa kwa jicho la kawaida hawawezi ona maana halisi ya mabishano ya Lissu na Wenje huku akitajwa moja kwa moja mtoto wa Rais.

Kwa tunaoangalia siasa kwa macho yote ya ndani na nje hii ni alert kubwa sana kwa Samia maana inaonekana sasa ameanza kuchokwa na dola.

Sio hivyo tu ni ishara kuwa hata CCM wameanza kuchokwa na dola.

Tuzidi kuomba haya yazidi kuendelea maana kupitia haya inawezekana Tanzania ikaja kupata ukombozi wa kweli.
Wameanza kuchokwa au walishachokwa?!
 
Yaani watu wanagombania madaraka wao kwa wao wewe eti wanam expose Rais? Kwa lipi Sasa? Mbona Miraji aliwahi kutuhumiwa kubeba hela za ESCROW kwenye sandalus, lakini haikusemwa system ilimexpose Rais? Acheni kujazana ujinga!
 
System gani hii isiyo somana na organi zingine , inakuaje pk anaweka spy's mpaka kwenye ngome.

System iko scattered, mbaya ZaidI mkajaza ndugu wasio na uwezo kisa umaskini,

System ni ya kusukwa upya from scratch kabisa, CCM imeharibu hii inchi pakubwa sana
 
Baada ya chama kuamua kukubali maridhiano na yeye ikabidi aende na mdundo wao. Lakini ndani alikua anakataa suala la maridhiano mpaka mwenyekiti alipokubali Samia kamuingiza chocho ndio Lissu akasema niliwambia hawa hadharani.

Sasa nauliza Tena "Lengo la Abdul kufunga safari mpaka Tegeta kupigania kuona documents Ili Lissu alipwe yeye alikua ananufaika na nini"?.
Wewe unafahamu Abdul ni mtu wa aina gani? Labda aliumizwa sana na kisa cha shambulio la Lissu akaona anaweza kuwa na nafasi ya kumsaidia kwa kumkumbusha mama yake hilo suala, labda alikuwa na malengo ya kisiasa, wakati mwingine watu walio karibu na power huwa wanajisikia raha tu kutenda jambo fulani jema litakolafanya wazungumzwe vizuri midomoni mwa watu, nia halisi ya Abdul ni vigumu kuifahamu bila yeye kuzungumzia hilo jambo.
 
Hakuna kipindi Lissu alianza kumsifia Samia kwamba hali inabadilika tofauti na ilivyokuwa kwa Magufuli??

wanasahau kwamba raisi samia alivyochukuwa power akina tundu lisu &co. walifurahia sana, raisi samia moja ya safari zake za kwanza ilikuwa ubelgiji na alikutana na tundu lisu na sijui akampa passport huo usanii wote ulikuwa live hapa, hata tundu lisu kusema sijui kurudi “nyumbani” na kupokelewa kama mfalme yote ni wa raisi samia leo hii iweje awe mbaya? tundu lisu kuna mambo waliahidiana labda kwenye kushare power sasa kutimiziana imeshindikana na sasa imekuwa mwaga mboga nimwage ugali kama tusemavyo waswahili lkn hakuna chochote hapo ni usanii tu, besides kuna sababu kwa nini tundu lisu anaweza ongea chochote bila ya chochote kumpata, labda anajua mengi lkn nafikiri kuna mpaka pia ngoja tusubiri …
 
Back
Top Bottom