Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
God BlessLissu ndiye Rais ajaye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
God BlessLissu ndiye Rais ajaye
Abdul ananufaika na nini kupigania Lissu alipwe, mpaka kumfuata Tegeta. Mtoto wa raisi anapigania pesa za mkosoaji mkuu wa mama yake alipwe stahiki zake yeye ananufaika vipi?.Hakuna system yoyote inayomu expose, mfumo dhaifu wa utendaji haki na wenye urasimu wa kiutendaji ndio umeleta hili zogo lote.
Alichokifanya wenje ndicho ambacho wengi huwa wanafanya kama kumuomba Makonda na wengine wasaidie kutatua matatizo yao.
..wa chama cha waalimu labda!Lissu ndiye Rais ajaye
Kwa hiyo wanamzushia Abdul kuhusu hiyo kadhia ya rushwa/malipo/msaada?Wakati wa Jakaya , mwanae Ridhwani alihisishwa na kila aina ya ufisadi uliokuwa unazingumzwa wakati ule. Sioni ajabu kwa Abdu. Ni kawaida kwa binadamu.
Huwezi kumzuia binadamu kusema. Wanamsema Mungu sembuse Mama Samia!
Hakuna kipindi Lissu alianza kumsifia Samia kwamba hali inabadilika tofauti na ilivyokuwa kwa Magufuli??Abdul ananufaika na nini kupigania Lissu alipwe, mpaka kumfuata Tegeta. Mtoto wa raisi anapigania pesa za mkosoaji mkuu wa mama yake alipwe stahiki zake yeye ananufaika vipi?.
Nionavyo mimi hapo ni kwamba, taratiiibu mtoto anaingizwa kwenye siasa za Tanzania ili apate umaarufu na kujulikana. Mara paap utasikia ni mbunge, paap mkuu wa mkoa, mara huyo amekuwa waziri, hatimae anakuwa mrithi wa mama 2035Kwa yanayoendelea kuhusu kutajwa moja kwa moja mtoto wa Rais kuhonga wanasiasa wanaoonekana kuleta ushindani kisiasa dhidi ya Rais (Mama yake) swali kuu tunalopaswa kujiuliza ni;
Je System imeamua kumu expose Samia?
Je System imemchoka Samia?
Niliwahi kusikia huko nyuma kuwa System ina njia nyingi sana za kufanya kazi:
Kwanza wanaweza kukuletea taarifa na ushauri tu! Endapo wakiona husikilizi ushauri watatumia watu wako wa karibu kukushauri! Na endapo utazidi kukaza shingo basi wata ku expose ili umma ujue mambo yako na uwe kwenye wakati mgumu.
Kwa wanaoangalia siasa kwa jicho la kawaida hawawezi ona maana halisi ya mabishano ya Lissu na Wenje huku akitajwa moja kwa moja mtoto wa Rais.
Kwa tunaoangalia siasa kwa macho yote ya ndani na nje hii ni alert kubwa sana kwa Samia maana inaonekana sasa ameanza kuchokwa na dola.
Sio hivyo tu ni ishara kuwa hata CCM wameanza kuchokwa na dola.
Tuzidi kuomba haya yazidi kuendelea maana kupitia haya inawezekana Tanzania ikaja kupata ukombozi wa kweli.
Tanzania ipo chini ya Mungu..Ni watu wa kawaida ila Tanzania ipo chini yao
Wanasema wewe ndo wenje mwenyewe...Hakuna system yoyote inayomu expose, mfumo dhaifu wa utendaji haki na wenye urasimu wa kiutendaji ndio umeleta hili zogo lote.
Alichokifanya wenje ndicho ambacho wengi huwa wanafanya kama kumuomba Makonda na wengine wasaidie kutatua matatizo yao.
Lissu sio mnafiki. Alimsifia sana hadi akatoka Ubelgiji akaja kushiriki vikao vya Maridhiano. Ameshiriki zaidi ya vikao vutatu.Hakuna kipindi Lissu alianza kumsifia Samia kwamba hali inabadilika tofauti na ilivyokuwa kwa Magufuli??
HahahaWanasema wewe ndo wenje mwenyewe...
Hata Mbowe alikuja kukubali kuwa maridhiano hayakuwa na chochote kipya, labda Lissu aliwahi tu kung'amua hivyo.Lissu sio mnafiki. Alimsifia sana hadi akatoka Ubelgiji akaja kushiriki vikao vya Maridhiano. Ameshiriki zaidi ya vikao vutatu.
Alipoulizwa imekuwaje kukaa meza moja na mahasimu alisema anaona Mwelekeo ni mzuri wa kisiasa na atleast sio sawa na Magufuli.
Lissu alimsifia Mama kuwa amefunguli vifungo vya wananchama zaidi ya 400 waliofungwa bila hatia yoyote enzi za Magu. Alifuta kesi za kubumba za wananchama zikabaki kama tatu nne tano hivi.
Lissu alihoji ktk mazingira kama haya unaendeleaje kugomea mijadala ya maridhiano? Unataka nini sasa?
Hata hivyo Jamaa ni Proactive, alikuja kugundua maridhiano yalikuwa scam😅
Baada ya chama kuamua kukubali maridhiano na yeye ikabidi aende na mdundo wao. Lakini ndani alikua anakataa suala la maridhiano mpaka mwenyekiti alipokubali Samia kamuingiza chocho ndio Lissu akasema niliwambia hawa hadharani.Hakuna kipindi Lissu alianza kumsifia Samia kwamba hali inabadilika tofauti na ilivyokuwa kwa Magufuli??
Wameanza kuchokwa au walishachokwa?!Kwa yanayoendelea kuhusu kutajwa moja kwa moja mtoto wa Rais kuhonga wanasiasa wanaoonekana kuleta ushindani kisiasa dhidi ya Rais (Mama yake) swali kuu tunalopaswa kujiuliza ni;
Je System imeamua kumu expose Samia?
Je System imemchoka Samia?
Niliwahi kusikia huko nyuma kuwa System ina njia nyingi sana za kufanya kazi:
Kwanza wanaweza kukuletea taarifa na ushauri tu! Endapo wakiona husikilizi ushauri watatumia watu wako wa karibu kukushauri! Na endapo utazidi kukaza shingo basi wata ku expose ili umma ujue mambo yako na uwe kwenye wakati mgumu.
Kwa wanaoangalia siasa kwa jicho la kawaida hawawezi ona maana halisi ya mabishano ya Lissu na Wenje huku akitajwa moja kwa moja mtoto wa Rais.
Kwa tunaoangalia siasa kwa macho yote ya ndani na nje hii ni alert kubwa sana kwa Samia maana inaonekana sasa ameanza kuchokwa na dola.
Sio hivyo tu ni ishara kuwa hata CCM wameanza kuchokwa na dola.
Tuzidi kuomba haya yazidi kuendelea maana kupitia haya inawezekana Tanzania ikaja kupata ukombozi wa kweli.
Yaani watu wanagombania madaraka wao kwa wao wewe eti wanam expose Rais? Kwa lipi Sasa? Mbona Miraji aliwahi kutuhumiwa kubeba hela za ESCROW kwenye sandalus, lakini haikusemwa system ilimexpose Rais? Acheni kujazana ujinga!Kwa yanayoendelea kuhusu kutajwa moja kwa moja mtoto wa Rais kuhonga wanasiasa wanaoonekana kuleta ushindani kisiasa dhidi ya Rais (Mama yake) swali kuu tunalopaswa kujiuliza ni;
Je System imeamua kumu expose Samia?
Je System imemchoka Samia?
Niliwahi kusikia huko nyuma kuwa System ina njia nyingi sana za kufanya kazi:
Kwanza wanaweza kukuletea taarifa na ushauri tu! Endapo wakiona husikilizi ushauri watatumia watu wako wa karibu kukushauri! Na endapo utazidi kukaza shingo basi wata ku expose ili umma ujue mambo yako na uwe kwenye wakati mgumu.
Kwa wanaoangalia siasa kwa jicho la kawaida hawawezi ona maana halisi ya mabishano ya Lissu na Wenje huku akitajwa moja kwa moja mtoto wa Rais.
Kwa tunaoangalia siasa kwa macho yote ya ndani na nje hii ni alert kubwa sana kwa Samia maana inaonekana sasa ameanza kuchokwa na dola.
Sio hivyo tu ni ishara kuwa hata CCM wameanza kuchokwa na dola.
Tuzidi kuomba haya yazidi kuendelea maana kupitia haya inawezekana Tanzania ikaja kupata ukombozi wa kweli.
Wewe unafahamu Abdul ni mtu wa aina gani? Labda aliumizwa sana na kisa cha shambulio la Lissu akaona anaweza kuwa na nafasi ya kumsaidia kwa kumkumbusha mama yake hilo suala, labda alikuwa na malengo ya kisiasa, wakati mwingine watu walio karibu na power huwa wanajisikia raha tu kutenda jambo fulani jema litakolafanya wazungumzwe vizuri midomoni mwa watu, nia halisi ya Abdul ni vigumu kuifahamu bila yeye kuzungumzia hilo jambo.Baada ya chama kuamua kukubali maridhiano na yeye ikabidi aende na mdundo wao. Lakini ndani alikua anakataa suala la maridhiano mpaka mwenyekiti alipokubali Samia kamuingiza chocho ndio Lissu akasema niliwambia hawa hadharani.
Sasa nauliza Tena "Lengo la Abdul kufunga safari mpaka Tegeta kupigania kuona documents Ili Lissu alipwe yeye alikua ananufaika na nini"?.
Abdul ni mapungufu na upeo wa Samia. In reality hakupaswa hata kusikika.Huyo Abdul amevuna sana. Who ia this Man? Ana nguvu sana
Wanasema ameombwa kusaidia alipwe..Abdul ananufaika na nini kupigania Lissu alipwe, mpaka kumfuata Tegeta. Mtoto wa raisi anapigania pesa za mkosoaji mkuu wa mama yake alipwe stahiki zake yeye ananufaika vipi?.
Hakuna kipindi Lissu alianza kumsifia Samia kwamba hali inabadilika tofauti na ilivyokuwa kwa Magufuli??