Je taarifa ya kufungiwa JF kwa siku 90 ina mapungufu?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Kwa mujibu wa maelezo shida ilionekana huko Instagram.. Kwa mtazamo wa kawaida pengine ndio imefungiwa kulingana na maelezo haya hapa
Chivayo.png

Lakini baadae kwenye huo mwendelezo kuna maelezo haya pia
Screenshot 2025-09-06 at 13.50.05.png

Na mwisho ni hii barua rasmi ya TCRA ambayo "nadhani" ndio ina hayo maelezo yote

Pamoja na utata huo na muda wa adhabu uliowekwa wa siku 90 ambazo ni sawa na miezi mitatu lakini kunakosekana maelezo muhimu ya muda wa kuanza kutumikia adhabu husika!

Singependa kuingia kwenye malumbano na mamlaka lakini kama kuna "room",ya onyo ama karipio basi kwa mtazamo wangu ingekuwa njia bora zaidi🙏🏿

Zaidi ya haya ya JF kuna huyu mwanamuziki Diamond alikashifu na kutoa tusi lisiandikika.. Ni vema na mamlaka nayo ikafanya jambo juu yake!
Nimewasilisha mawazo yangu kwa heshima na taadhima.. Naomba kusikilizwa🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Kwa mujibu wa maelezo shida ilionekana huko Instagram.. Kwa mtazamo wa kawaida pengine ndio imefungiwa kulingana na maelezo haya hapaView attachment 3467034
Lakini baadae kwenye huo mwendelezo kuna maelezo haya piaView attachment 3467035

Sheria za nchi ni za upande mmoja tu bwashee
 
Naunga mkono hoja. JF ndiyo jukwaa pendwa kwa ajili ya Watanzania, hayo mapungufu machache yashughulikiwe.
 
Naona mwana CCM umeongea kizalendo zaidi. Kupitia jf hata CCM wanapata platform ya kuandika HOJA zao kwa ajili ya watanzania wote. Itakuwa uhuni kufungia jukwaa hili kwa maelekezo ya upande mmoja
Hii inasikitisha sana. Sijui waliofikia maamuzi haya walikuwa wanawaza in negativity tu juu yao, kumbe kuna wenzao pia wanatumia platform hii kurekebisha mambo ndani yao. Haya tutafika tu
Kuna utofauti gani kati ya yule na wa sasa? Najiuliza tu
 
Kwa mujibu wa maelezo shida ilionekana huko Instagram.. Kwa mtazamo wa kawaida pengine ndio imefungiwa kulingana na maelezo haya hapaView attachment 3467034
Lakini baadae kwenye huo mwendelezo kuna maelezo haya piaView attachment 3467035
Na mwisho ni hii barua rasmi ya TCRA ambayo "nadhani" ndio ina hayo maelezo yote

Pamoja na utata huo na muda wa adhabu uliowekwa wa siku 90 ambazo ni sawa na miezi mitatu lakini kunakosekana maelezo muhimu ya muda wa kuanza kutumikia adhabu husika!

Singependa kuingia kwenye malumbano na mamlaka lakini kama kuna "room",ya onyo ama karipio basi kwa mtazamo wangu ingekuwa njia bora zaidi🙏🏿

Zaidi ya haya ya JF kuna huyu mwanamuziki Diamond alikashifu na kutoa tusi lisiandikika.. Ni vema na mamlaka nayo ikafanya jambo juu yake!
Nimewasilisha mawazo yangu kwa heshima na taadhima.. Naomba kusikilizwa🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Mamlaka nazo hazielewi A wala B
 
Hii inasikitisha sana. Sijui waliofikia maamuzi haya walikuwa wanawaza in negativity tu juu yao, kumbe kuna wenzao pia wanatumia platform hii kurekebisha mambo ndani yao. Haya tutafika tu
Kuna utofauti gani kati ya yule na wa sasa? Najiuliza tu
Maagizo kutoka juu
 
Back
Top Bottom