Je taarifa ya kufungiwa JF kwa siku 90 ina mapungufu?

Je taarifa ya kufungiwa JF kwa siku 90 ina mapungufu?

Tu
Kwa mujibu wa maelezo shida ilionekana huko Instagram.. Kwa mtazamo wa kawaida pengine ndio imefungiwa kulingana na maelezo haya hapaView attachment 3467034
Lakini baadae kwenye huo mwendelezo kuna maelezo haya piaView attachment 3467035
Na mwisho ni hii barua rasmi ya TCRA ambayo "nadhani" ndio ina hayo maelezo yote

Pamoja na utata huo na muda wa adhabu uliowekwa wa siku 90 ambazo ni sawa na miezi mitatu lakini kunakosekana maelezo muhimu ya muda wa kuanza kutumikia adhabu husika!

Singependa kuingia kwenye malumbano na mamlaka lakini kama kuna "room",ya onyo ama karipio basi kwa mtazamo wangu ingekuwa njia bora zaidi🙏🏿

Zaidi ya haya ya JF kuna huyu mwanamuziki Diamond alikashifu na kutoa tusi lisiandikika.. Ni vema na mamlaka nayo ikafanya jambo juu yake!
Nimewasilisha mawazo yangu kwa heshima na taadhima.. Naomba kusikilizwa🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Tusi alilotoa Diamond inategemeana alilielekeza wapi si kila tusi ni tusi. Inategemeana limetoka kwa nani na linaenda kwa nani au wapi. Watu wote sawa lakini si watu wote sawasawa.
 
Yote hii kumlinda malaya mmoja mnuka uchi kutoka Zanzibar ,kum@ la mama zenu
 
Ndio maana haifunguki kawaida? Anyway, we move regardless..
IMG_6792.png
 
Zaidi ya haya ya JF kuna huyu mwanamuziki Diamond alikashifu na kutoa tusi lisiandikika.. Ni vema na mamlaka nayo ikafanya jambo juu yake!
Nimewasilisha mawazo yangu kwa heshima na taadhima.. Naomba kusikilizwa🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Diamond anatukanwa kwenye mitandao hadi raha
 
Hata mie nawalaumu MABONGE!
VIVURUGE SANA SANA, WANAYATIBUWA HUKO, SHIDA TWAPATA WENGINE!
SHUBAMIT MABONGE, HASA MA FOREIGNERS!
 
Yote hii kumlinda malaya mmoja mnuka uchi kutoka Zanzibar ,kum@ la mama zenu
🥺🥺🥺🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
 
Back
Top Bottom