Kwa wanamtandao sio?Jf tumekuwa threat
Sheria za nchi ni za upande mmoja tu bwasheeKwa mujibu wa maelezo shida ilionekana huko Instagram.. Kwa mtazamo wa kawaida pengine ndio imefungiwa kulingana na maelezo haya hapaView attachment 3467034
Lakini baadae kwenye huo mwendelezo kuna maelezo haya piaView attachment 3467035
Na mwisho ni hii barua rasmi ya TCRA ambayo "nadhani" ndio ina hayo maelezo yote
Pamoja na utata huo na muda wa adhabu uliowekwa wa siku 90 ambazo ni sawa na miezi mitatu lakini kunakosekana maelezo muhimu ya muda wa kuanza kutumikia adhabu husika!
Singependa kuingia kwenye malumbano na mamlaka lakini kama kuna "room",ya onyo ama karipio basi kwa mtazamo wangu ingekuwa njia bora zaidi🙏🏿
Zaidi ya haya ya JF kuna huyu mwanamuziki Diamond alikashifu na kutoa tusi lisiandikika.. Ni vema na mamlaka nayo ikafanya jambo juu yake!
Nimewasilisha mawazo yangu kwa heshima na taadhima.. Naomba kusikilizwa🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Naunga mkono hoja. JF ndiyo jukwaa pendwa kwa ajili ya Watanzania, hayo mapungufu machache yashughulikiwe.Kwa mujibu wa maelezo shida ilionekana huko Instagram.. Kwa mtazamo wa kawaida pengine ndio imefungiwa kulingana na maelezo haya hapaView attachment 3467034
Lakini baadae kwenye huo mwendelezo kuna maelezo haya piaView attachment 3467035
Na mwisho ni hii barua rasmi ya TCRA ambayo "nadhani" ndio ina hayo maelezo yote
Pamoja na utata huo na muda wa adhabu uliowekwa wa siku 90 ambazo ni sawa na miezi mitatu lakini kunakosekana maelezo muhimu ya muda wa kuanza kutumikia adhabu husika!
Singependa kuingia kwenye malumbano na mamlaka lakini kama kuna "room",ya onyo ama karipio basi kwa mtazamo wangu ingekuwa njia bora zaidi🙏🏿
Zaidi ya haya ya JF kuna huyu mwanamuziki Diamond alikashifu na kutoa tusi lisiandikika.. Ni vema na mamlaka nayo ikafanya jambo juu yake!
Nimewasilisha mawazo yangu kwa heshima na taadhima.. Naomba kusikilizwa🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Pigia mstari mkuuKwa wanamtandao sio?
Right now, even their own shadows are threat to them.Jf tumekuwa threat
Naona mwana CCM umeongea kizalendo zaidi. Kupitia jf hata CCM wanapata platform ya kuandika HOJA zao kwa ajili ya watanzania wote. Itakuwa uhuni kufungia jukwaa hili kwa maelekezo ya upande mmojaNaunga mkono hoja. JF ndiyo jukwaa pendwa kwa ajili ya Watanzania, hayo mapungufu machache yashughulikiwe.
Naunga mkono hoja. JF ndiyo jukwaa pendwa kwa ajili ya Watanzania, hayo mapungufu machache yashughulikiwe.
Hata wewe unakiri leo,mbona wenzio wamesheherekea hatua hii ya chama chao pendwaNaunga mkono hoja. JF ndiyo jukwaa pendwa kwa ajili ya Watanzania, hayo mapungufu machache yashughulikiwe.
Hii inasikitisha sana. Sijui waliofikia maamuzi haya walikuwa wanawaza in negativity tu juu yao, kumbe kuna wenzao pia wanatumia platform hii kurekebisha mambo ndani yao. Haya tutafika tuNaona mwana CCM umeongea kizalendo zaidi. Kupitia jf hata CCM wanapata platform ya kuandika HOJA zao kwa ajili ya watanzania wote. Itakuwa uhuni kufungia jukwaa hili kwa maelekezo ya upande mmoja
Bonge kaleta kizazaa.Kuna information kama za bonge zimejaa kwenye media. Source ni wao wenyewe wahusika.
Wajishughulikie
Mamlaka nazo hazielewi A wala BKwa mujibu wa maelezo shida ilionekana huko Instagram.. Kwa mtazamo wa kawaida pengine ndio imefungiwa kulingana na maelezo haya hapaView attachment 3467034
Lakini baadae kwenye huo mwendelezo kuna maelezo haya piaView attachment 3467035
Na mwisho ni hii barua rasmi ya TCRA ambayo "nadhani" ndio ina hayo maelezo yote
Pamoja na utata huo na muda wa adhabu uliowekwa wa siku 90 ambazo ni sawa na miezi mitatu lakini kunakosekana maelezo muhimu ya muda wa kuanza kutumikia adhabu husika!
Singependa kuingia kwenye malumbano na mamlaka lakini kama kuna "room",ya onyo ama karipio basi kwa mtazamo wangu ingekuwa njia bora zaidi🙏🏿
Zaidi ya haya ya JF kuna huyu mwanamuziki Diamond alikashifu na kutoa tusi lisiandikika.. Ni vema na mamlaka nayo ikafanya jambo juu yake!
Nimewasilisha mawazo yangu kwa heshima na taadhima.. Naomba kusikilizwa🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Najaribu kuelewa!Bonge kaleta kizazaa.
Maagizo kutoka juuHii inasikitisha sana. Sijui waliofikia maamuzi haya walikuwa wanawaza in negativity tu juu yao, kumbe kuna wenzao pia wanatumia platform hii kurekebisha mambo ndani yao. Haya tutafika tu
Kuna utofauti gani kati ya yule na wa sasa? Najiuliza tu
Itafikia muda watu wa kawaida watafikiwa huko juu na hawataamini macho yao watakayofanyiwa....Maagizo kutoka juu