Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Tusi alilotoa Diamond inategemeana alilielekeza wapi si kila tusi ni tusi. Inategemeana limetoka kwa nani na linaenda kwa nani au wapi. Watu wote sawa lakini si watu wote sawasawa.Kwa mujibu wa maelezo shida ilionekana huko Instagram.. Kwa mtazamo wa kawaida pengine ndio imefungiwa kulingana na maelezo haya hapaView attachment 3467034
Lakini baadae kwenye huo mwendelezo kuna maelezo haya piaView attachment 3467035
Na mwisho ni hii barua rasmi ya TCRA ambayo "nadhani" ndio ina hayo maelezo yote
Pamoja na utata huo na muda wa adhabu uliowekwa wa siku 90 ambazo ni sawa na miezi mitatu lakini kunakosekana maelezo muhimu ya muda wa kuanza kutumikia adhabu husika!
Singependa kuingia kwenye malumbano na mamlaka lakini kama kuna "room",ya onyo ama karipio basi kwa mtazamo wangu ingekuwa njia bora zaidiππΏ
Zaidi ya haya ya JF kuna huyu mwanamuziki Diamond alikashifu na kutoa tusi lisiandikika.. Ni vema na mamlaka nayo ikafanya jambo juu yake!
Nimewasilisha mawazo yangu kwa heshima na taadhima.. Naomba kusikilizwaππΏππΏππΏππΏ
Huo muda ukifika ujue ukombozi umewadiaItafikia muda watu wa kawaida watafikiwa huko juu na hawataamini macho yao watakayofanyiwa....
Diamond ni chawa mwenzao hawatamfanya kitu, sheria na kanuni zao zina macho, ni za kibaguzi sanaMondi katukana tusi zito sana ila mamlaka kama hawana mda nae kabisa ...Dah!!!Hii nchi sijui tunaenda wapi
Diamond anatukanwa kwenye mitandao hadi rahaZaidi ya haya ya JF kuna huyu mwanamuziki Diamond alikashifu na kutoa tusi lisiandikika.. Ni vema na mamlaka nayo ikafanya jambo juu yake!
Nimewasilisha mawazo yangu kwa heshima na taadhima.. Naomba kusikilizwaππΏππΏππΏ
Yale matusi anayopokea yanatosha hahahahahahaaDiamond ni chawa mwenzao hawatamfanya kitu, sheria na kanuni zao ni za kibaguzi sana
Ndio muda sahihiHuo muda ukifika ujue ukombozi umewadia
Mabonge hawanaga nanihiiiBonge kaleta kizazaa.
JF siyo siasa tu bali ni elimu, utamaduni, biashara na kuondoa stressHata wewe unakiri leo,mbona wenzio wamesheherekea hatua hii ya chama chao pendwa