Je, taarifa ya ndege ya Air Tanzania kuanguka ziwani Victoria ni ya kweli?

nakuunga mguu mkuu haiwezekani ndege ianguke halafu isitangazwe hata kipindi cha yule dikteta wa mortuary wasingefanya hivi
 
Hizi ndege za magufuli zina kasoro nyingi sana nadhani hii ajali iwe ni alarm kwa mamlaka husika kuzifanyia uchunguzi hizi korokoro halafu kwa nini ile ya chief hiyanga haianguki
Ujuaji tu! Huna ujualo..
 
Tatizo hata iwe ni kweli hawatasema labda ruhusa itoke mawinguni
 
Kwenye mazoezi wako vizuri lakini kwenye uhalisia wako hovyo kabisa soko linawaka moto wao wako kilomita moja toka kwenye tukio lakini hawana maji, ukiuliza hilo zoezi la leo limegharimu fedha nyingi kuliko gharama ya kuchota maji mto msimbazi bonde la jangwani, hao ndiyo sisi
 
Mods hawajalala, wewe ndio hujitambui, anza kusoma upya kuanzia page one ndio utajuwa wewe na Mods mjinga nani.
Siku nyengine usikimbilie kutoa habari huna hakika nayo,uzushi wako uache pale mtaa wa ufipa
 


serikali ilituambia zile sampuli za papai zilikuwa na corona,wenye akili ndogo wakaelewa na akili kubwa wote wakaelewa vilevile, tuwasubiri tena na hili
 
Tatizo hata iwe ni kweli hawatasema labda ruhusa itoke mawinguni
Mnafikiri ndege ni kama Sauli lianguke kienyeji mkauze chuma chakavu! Ndege iko regulated na international bodies. Ikianguka watakuja watu kutoka hadi Kwa watengenezaji wa ndege sasa utaficha vipi?
 
Dar nzima haina umeme?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…