Hii ni pamoja na mazingira na watu anaoishi nao karibu including majirani.Malezi bora ni yapi?
Mimi naamini tabia ya mtoto inategemea sana na namna wazazi wake wanavyoishi.
Mtoto anaangalia na anaiga kutoka kwao.
Una watu nawafaham wazazi wao walevi, hawana maadili yoyote, hawana care yoyete kwa watoto wao bt watoto wapo na tabia njema sana tofaut na wazazi wao.Malezi bora ni yapi?
Mimi naamini tabia ya mtoto inategemea sana na namna wazazi wake wanavyoishi.
Mtoto anaangalia na anaiga kutoka kwao.
Ni kweli kabisa mtoto huiga kutoka haswa kwa mzazi , mfano wakati fulani kwenye nyumba za kupanga hizi ambazo Zina kutanisha familia nyingi ama Kaya nyingi, wanapokutana watoto ndio kila mmoja huonyesha yanayosemwa chumbani kwa wazazi wao.Malezi bora ni yapi?
Mimi naamini tabia ya mtoto inategemea sana na namna wazazi wake wanavyoishi.
Mtoto anaangalia na anaiga kutoka kwao.
Ni mambo anuai yanayopelekea tabia njema. Kwa mfano huo hapo wa wazazi walevi, ni kwamba tabia hiyo inawafedhehesha na kuwadharaulisha watoto. Kwa vyovyote hawatataka kuishi maisha ya kishenzi kama hayo. Ila usishangae akitokea mmoja atajayeangukia huko. Ni busara na uelewa wa mtu,vinamfanya ajiweke vipi katika maisha yake.Una watu nawafaham wazazi wao walevi, hawana maadili yoyote, hawana care yoyete kwa watoto wao bt watoto wapo na tabia njema sana tofaut na wazazi wao
Yote ya yote kila kumbe (binadamu) ana chemistry yake !!Salaam wakuu,
Nimeuliza hili kwa sababu kuna watu wamepata malezi bora, pia wazazi wana dini lakini wao wanatabia mbovu but kuna wengine hawakupata malezi bora bt wana tabia njema sana.
Je, kwa upande wako tabia njema inajengwa na malezi bora, dini au ni hulka asilia ya mtu?
Asili ya mtu ndio mtu mwenyeweSalaam wakuu,