Je, tabia njema hujengwa na malezi bora, dini au ni hulka asilia ya mtu?

Je, tabia njema hujengwa na malezi bora, dini au ni hulka asilia ya mtu?

Hapa hakuna kanuni, inategemea, labda itokee tu.

Kuna wanaolelewa kwenye maadili mazuri na baadae wakija kukua wanapinda sana.

Kuna wanaolelewa kwenye maadili mazuri na bado wanapinda ndani ya hayo maadili mazuri wanayoendelea kulelewa.

Kuna waliolelewa bila ya maadili yoyote lakini wakikua wanakuwa na tabia nzuri.

Hili suala la tabia nzuri ni wewe mwenyewe utakavyojiongoza, hakuna mbadala
 
mi naona ni hulka ya mtu wala haihusiani na malezi.

binafsi tabia nilizonazo hazihusiani na malezi niliyoyapata
 
Back
Top Bottom