Je, taifa halina Gen Z kama Kenya na Madascar? Au wao wanadili na Bongo fleva na Simba na Yanga?

Je, taifa halina Gen Z kama Kenya na Madascar? Au wao wanadili na Bongo fleva na Simba na Yanga?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Dunia nzima sasa inaonekana watakaoleta mabadiliko ni Gen Z.

Lakini kwa Tanzania wanawaza kujadili Singeli na bongo fleva. Huku Taifa lao likienda mlama kwa ufisadi, upendeleo huku maisha yao yakiwa hovyo kabisa

Gen Z wa Tanzania hovyo kabisa kama makamasi ya ndama.
 
Wewe umefanya nini kwa nafasi yako ?
 
Gen Zee wa kibongo kazi yao kubet, kushabikia Simba na Yanga na kungonoka tu.
 
Back
Top Bottom