M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 2,268 Reaction score 7,119 Oct 15, 2025 #1 Dunia nzima sasa inaonekana watakaoleta mabadiliko ni Gen Z. Lakini kwa Tanzania wanawaza kujadili Singeli na bongo fleva. Huku Taifa lao likienda mlama kwa ufisadi, upendeleo huku maisha yao yakiwa hovyo kabisa Gen Z wa Tanzania hovyo kabisa kama makamasi ya ndama.
Dunia nzima sasa inaonekana watakaoleta mabadiliko ni Gen Z. Lakini kwa Tanzania wanawaza kujadili Singeli na bongo fleva. Huku Taifa lao likienda mlama kwa ufisadi, upendeleo huku maisha yao yakiwa hovyo kabisa Gen Z wa Tanzania hovyo kabisa kama makamasi ya ndama.
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 16,480 Reaction score 38,367 Oct 15, 2025 #2 Huku wewe ukiwa unawajadili Gen Z
BOB OS JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 3,462 Reaction score 7,010 Oct 15, 2025 #3 Tuko busy tunakunywa kangala
M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 2,268 Reaction score 7,119 Oct 15, 2025 Thread starter #4 BOB OS said: Tuko busy tunakunywa kangala Click to expand... Mkumbuke kudili na mambo muhimu ya taifa lenu
BOB OS said: Tuko busy tunakunywa kangala Click to expand... Mkumbuke kudili na mambo muhimu ya taifa lenu
Mi mi JF-Expert Member Joined Jul 14, 2024 Posts 6,406 Reaction score 12,736 Oct 15, 2025 #5 Wewe umefanya nini kwa nafasi yako ?
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 35,204 Reaction score 61,081 Oct 15, 2025 #6 Umesahau Betting
M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 2,268 Reaction score 7,119 Oct 15, 2025 Thread starter #7 Mi mi said: Wewe umefanya nini kwa nafasi yako ? Click to expand... Ask your father
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,104 Reaction score 75,552 Oct 15, 2025 #8 Gen Zee wa kibongo kazi yao kubet, kushabikia Simba na Yanga na kungonoka tu.