Je, TAKUKURU iendelee kumchunguza Zahara Michuzi au iache?

Chama chetu hakina taratibu hizo, unao uhuru wa kuwa mpinzani huzuiwi
 
Huyu zahara michuzi, amefika hapo, kwa vile tu baba yake, Isa michuzi, alikuwa mpiga picha wa ikulu! Alimaliza Udom,2013! Akapewa kazi, serikalini, muda mfupi, akawa DED! Uzoefu wa kazi aliupata wapi? Mambo ya kuteua majina kwa kuletewa tu,
 
Haoowanabifuyaaaaaaakima...mkuu na dc
Mamaaa akoseagi ndiomaana akuendekeza ujinga
 
Wazalendo tumeanza kuitwa Wachawi !

Hii Nchi ndio basi tena .
Utapata stress bure mkuu. Hii nchi we tafuta nafasi ule wananchi wanawaona wanaotafuna nchi ndio mashujaa na wale wanaojaribu kuzuia no wachawi.
We tafuta nafasi ule achana na mambo ya kuwapigania watanzania. Bado miaka 200 ndipo kizazi chenye akili kitatokea Tanzania
 
Naonaa mna bifu zeenuu nn chinaaaaa
Watuu wanazungukaaa nje kama people
Achenibifuzenubanaaa ombeni na nyie mchaguliwe siokionyesha wivu amtabarikiwa
 
Hii nchi kuja kupata maendeleo itachukua muda sana kama hatutajikomboa toka ukoloni wa hawa wakolini weusi.
Vyeo vya kupeana,mpe mtoto wa fulani,mpe dem wa fulani au dem wako
Vurugu tupu

Ova
 
Hao wanadili na tuhuma ndogo ndogo,karani kala elf 5,ticha kaomba elf 10,wanadili zaidi na masikini.
Mengine utapata pressure Bure kama haupo kwenye mfumo wa ulaji kuwa chawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…