Je, Tanzania inajenga makazi bora kwa ajili ya nani?

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
22,269
Reaction score
58,563
aacef5f0-727b-11f1-8546-8f19e4fe30f4.png.webp

Pichani ni mradi wa Kawe 711 unaoendelea kujengwa

Vanessa Stafford alipoona taarifa kuhusu miradi mipya ya nyumba inayoendelea Tanzania hakuzungumzia ukubwa wa majengo wala usanifu wake. Badala yake, aliuliza swali lililogusa kiini cha mjadala wa makazi nchini.

Hivi kweli mwananchi wa kipato cha chini hapo umewasaidiaje? NHC leteni miradi ya nyumba za kawaida za Shilingi milioni 30 (takriban dola za Marekani 11,500) au milioni 50 (takriban dola za Marekani 19,200). Mikopo ya nyumba iwe miaka 25 au 30," aliandika kwenye ukurasa wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).

Swali lake likanifanya nitafute majibu, Hivi ni kweli serikali ya Tanzania kupitia mashirika yake kama NHC haijengi nyumba za kawaida anazouliza Vanessa, nyumba kwa ajili ya wananachi wa kawaida?

Lakini swali lake pia linakuja wakati Tanzania inaendelea kukua kwa kasi. Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 yanaonyesha nchi ina zaidi ya watu milioni 61, huku Mkoa wa Dar es Salaam ukiwa na wakazi zaidi ya milioni 5.3, idadi kubwa kuliko mkoa mwingine wowote nchini.
 
Hizi nyumba zimejengwa kwa ajili ya foreigners especially wahindi
Mi naona serikali badala ya kuhangaika na kujenga nyumba, wangesimamia mpangomji, watz wajenge kwa mpangilio na hayo mabilioni ya hela ya ujenzi wa miradi ya NHC wangehamishia kwenye kuweka lami, kupanda miti na kufanya landscaping kwenye kila neighborhood mpya mara tu zinapoanza kujengeka, na neighborhood nyingi ambazo hazina lami, zimejaa kila kona ya Tz. Kwa nini wasimwage pesa za kutosha kwenye kuweka lami, pavements, miti na taa za barabarani kwenye mitaa ambayo Mtanzania wa kawaida anaishi, at least mitaa ifananie binadamu kuishi
 
Hizi nyumba zimejengwa kwa ajili ya foreigners especially wahindi
Mi naona serikali badala ya kuhangaika na kujenga nyumba, wangesimamia mpangomji, watz wajenge kwa mpangilio na hayo mabilioni ya hela ya ujenzi wa miradi ya NHC wangehamishia kwenye kuweka lami, kupanda miti na kufanya landscaping kwenye kila neighborhood mpya mara tu zinapoanza kujengeka, na neighborhood nyingi ambazo hazina lami, zimejaa kila kona ya Tz. Kwa nini wasimwage pesa za kutosha kwenye kuweka lami, pavements, miti na taa za barabarani kwenye mitaa ambayo Mtanzania wa kawaida anaishi?
Unataka wakose ten percent kirahisi hivyo?Wangekufahamu wangekuua.Niamini.
 
View attachment 3630198

Back
Top Bottom