Barabara za Nanotechnology zimeanza kutumiwa na nchi nyingi;
1. Inachukua muda mfupi kujenga.
2. Ni environmental friendly (inaweza kujengwa hata Serengeti na mbuga zetu zote).
3. Naamini wataalamu wetu kama Ibra Construction wanazimudu. Maida Waziri alionekana South Africa akizionyesha kwenye exhibition ya Tanzania/ South Africa.
4. Haiwi na potholes na inakuwa intact.
5. Muda wa kujenga ni mfupi mno.
6. Gharama za kujenga ni karibu nusu.
Mshangao wangu ni kwamba inawezekana taarifa hizi, serikali yetu haijapata habari!
Mama yetu mpendwa Rais Samia atupie macho jambo hili kwani litaipeleka nchi yetu mbali sana, na yeye itakuwa ni sifa kubwa kwake.