Kwani sisi watanzania siyo wabovu.Je Tanzania tuna bahati mbaya ya viongozi wabovu na wabinafsi? Au tatizo kati yetu ambao ni wanafiki wapo ambao wanajua ukweli lakini wamekuwa machawa. Mfano mzuri ni bro Pascal hapa na Kabudi ni watu waelewa na wanajua ukweli lakini hawana muwezo wa kusema ukweli kwasababu ya manufaa yao.
Ni kweli tuna bahati mbaya lakini Watanzania tuna angushwa na unafiki
nonsense 🐒Je Tanzania tuna bahati mbaya ya viongozi wabovu na wabinafsi? Au tatizo kati yetu ambao ni wanafiki wapo ambao wanajua ukweli lakini wamekuwa machawa. Mfano mzuri ni bro Pascal hapa na Kabudi ni watu waelewa na wanajua ukweli lakini hawana muwezo wa kusema ukweli kwasababu ya manufaa yao.
Ni kweli tuna bahati mbaya lakini Watanzania tuna angushwa na unafiki
1. Kuna mazingira ambayo Wenye uwezo wa kuongoza wanawekwa mbali na chungu. Wenye uwezo mdogo ndio waliojazana kwenye madarakaniJe Tanzania tuna bahati mbaya ya viongozi wabovu na wabinafsi? Au tatizo kati yetu ambao ni wanafiki wapo ambao wanajua ukweli lakini wamekuwa machawa. Mfano mzuri ni bro Pascal hapa na Kabudi ni watu waelewa na wanajua ukweli lakini hawana muwezo wa kusema ukweli kwasababu ya manufaa yao.
Ni kweli tuna bahati mbaya lakini Watanzania tuna angushwa na unafiki
Ongeza na MkumboMfano mzuri ni bro Pascal hapa na Kabudi ni watu waelewa na wanajua ukweli lakini hawana muwezo wa kusema ukweli kwasababu ya manufaa yao.
SABABU WANAJUANA NA KUCHAGUANA AMA KUPEANA1. Kuna mazingira ambayo Wenye uwezo wa kuongoza wanawekwa mbali na chungu. Wenye uwezo mdogo ndio waliojazana kwenye madarakani
WENYE UWEZO MDOGO WANATUMIA VITISHO NA RAFI KUWAENGUA WENYE UWEZO MKUBWA, hasa low brain akikalia kiti2. Mazingira mengine nikwamba, wenye uwezo wa kuongoza wanafanya majukumu mengine kwa sababu mbalimbali na kuwaachia wenye uwezo mdogo waongoze.