Bila kupepesa katika hili CHADEMA wamekosea
Unataka kumaanisha nini hapo mkuu?Tuonyeshe post uliyowahi kusema ccm wamekosea, ili tujue kuwa huwa unasema chama chochote kinachokosea.
Picha hii imepigwa asubuhi mida ya saa nne kuelekea saa tano.Lete picha ya saa kumi wakati Viongozi wakiwa katika hivi viwanja vya Zhakhem.Nyoki la chadema mbagala leo...
Hata wananchi wamekisusa hiki chama na msipobadilika chadema mtabakia viongozi pekee wa chadema....
View attachment 1550920
Sifa kubwa ya kuwa mwanaccm ni kujitoa ufahamuKaka paskali me ni shabiki wako mkubwa sana, tangu wakati wa kiti moto mpaka Leo hii...
Huyu amebakia roho mbaya tu kuchongea chongea wenzake kama alivyomchongea Eric Kabendera,atakua na damu ya kihutu Wasukuma hawako hivyo.Bwana Paskali, wewe ni kada wa CCM uliyajaribu kuwania ubunge ukagaragazwa katika hatua za awali tu. Pengine hilo tu linatosha kuku-disqualify kumjadili, let alone kumhukumu, kiongozi wa kisiasa kitaifa kama Mbowe. Ni sawa na mwanasoka wa timu ya iliyopigwa knockout kombe la mbuzi kujadili UEFA champions league...
TBC walichokuwa wanafanya pale ni hujuma, sasa kama ukimkuta kibaka anazurula kwenye eneo lako utamkaribisha ndani au utamfukuza tena kwa kumpigia kelele za mwizi. TBC walifanya hujuma mchana kweupeeeeee.Hoja ujibiwa kwa hoja sio matusi , ni kweli TBC awatendi haki lakini ni sahihi kuwafukuza.
Labda nadhani mwenyekiti angemwambia Ayoub lyoba hicho unachofanya si haki kwa nini unakata kata matangazo.
Labda Ayoub anacho cha kujitetea lakini Sasa unapeleka ujumbe kwa media zingine waone katika mikutano ya CDM Usalama hakuna
Leo mmewafukuza ipo siku mtawapiga kabisa waandishi wa habari msiowataka.
Hapa CDM mmejibomoa wenyewe kwa jazba zenu
Japo najua mwenyekiti uwenda alipiga ile chupa ya faru John,,
Usijitoe ufahamu kama Pasco,soma post #63Mpaka sasa sijaona picha za nyomi la Zakhem. Itakuwa zinatengenezwa.
hiyo ni wakati mbowe anaongea ngoja nitakuletea xlip kabisa ouneNyie wajinga mmekimbilia kupiga picha mapema kabla watu hawajafika kwa wingi kwenye mkutano ndio mnakuja kujidanganya nazo hapa, wacheni utoto wenu, Chadema inawakimbiza ndio maana mnawaengua wagombea wake kwa sababu za kishamba.