Uchaguzi 2020 Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...

Uchaguzi 2020 Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...

Akili huna kwahiyo wengine tulikuwa tunaangalia TBC ya Kenya?hivi mnafanya haya kwa miajili gani,machafuko yakitokea utapata faida gani?huna ndugu?huna wazazi huna wadogo zako,marafiki je?atafurahi ukiwaona wamelala hawawezi amka kwenye madibwi ya damu?

Usicheze na hisia za watu kwa ujuaji wako wa kijinga,ungekuwa na hekima ungekemea chanzo cha tatizo sio matokeo ya tatizo,kila mtu ana kiwango chake cha uvumilivu.
 
Pascal Mayalla,
Bw.Mayalla ,nashukuru kwa hili bandiko.Kilichotokea leo kuwafukuza TBC hakika ni msiba.Hatujui kama wasingeondoka ndani ya hizo dakika kumi walizoamriwa labda saa hizi tungeongea mengine kwa sababu hatujui umma ule ungewafanya nini kwa amri ya viongozi wao.

Tunawasihi TBC kwa tukio hili wasijishughulushe tena na hao CHADEMA na tuwalaani na hasa Mbowe kwa tukio hili.Mwisho kwa Mbowe ,chunga kauli zako tusije tukakumbuka tena ya Marehemu Akwilina,Mungu amlaze pema katika pepo yake.
 
Hayo maswali acha yaulizwe na wajinga sio wewe. Kujua kama upinzani ulijipanga au laa angalia nguvu kubwa inayotumia na CCM kutengua wabunge na madiwani wa upinzani. Mkuu acha kujivunjia heshima!
 
Paskali ni mpuuzi ,ni moja ya uzao wa hovyo wa mwanamke.alaf kinajiona kina fikra pevu san,kumbe mchawi tu.Tangu mapema hukuijua kesho/future yako kisiasa unabaki Leo unabaki unaweweseka .huaminiki tena.labda itokee huruma.

Na wewe ni funzo kwa wengine ,ktk siasa mwanzo wako ndio utadetermine future yako.ukiamua kuwa moto kuwa moto,CYO leo moto kesho baridi,mara vuguvugu.Watanzania hawa cyo wale wa juzi.
 
[QUOTE!.
Kwanza natoa hongera kwa Television ya Taifa, TBC kutangaza live uzinduzi huo wa kampeni za Chadema!. Japo matangazo yenyewe ni kwa kukata kata, lakini something is better than nothing!.
Paskali
[/QUOTE]

Sasa kama walihisiwa kuwa wanakata kata na wewe unakiri walifanya hivyo ni kwa nini waendelee kuwepo pale...??
Mbona kwingineko wanarusha hadi matusi na kauli nyingine za udhalilishaji...!!
Paskali unazeeka vibaya sana aiseeee...
Ulivyo, unachotetea na unachopinga haviendani kabisa...!! Jitafakari!!
 
Walitakiwa na kichapo.miaka 5 leo mmetokea to wapi,alafu spana ikipigwa wanakata wanaleta mazungumzo ya watangazaji.watu cyo wajinga km wewe.watu walikua wanafuatilia matangazo yao yanarushwaje,kumbe ni hujuma tupu.Mbowe wewe wazani amekurupuka kufukuza hao wachawi.
Bw.Mayalla ,nashukuru kwa hili bandiko.Kilichotokea leo kuwafukuza TBC hakika ni msiba.Hatujui kama wasingeondoka ndani ya hizo dakika kumi walizoamriwa labda saa hizi tungeongea mengine kwa sababu hatujui umma ule ungewafanya nini kwa amri ya viongozi wao.Tunawasihi TBC kwa tukio hili wasijishughulushe tena na hao CHADEMA na tuwalaani na hasa Mbowe kwa tukio hili.Mwisho kwa Mbowe ,chunga kauli zako tusije tukakumbuka tena ya Marehemu Akwikina,Mungu amlaze pema katika pepo yake.
 
Pascal Mayalla,
Mkuu Pasco wakati nasoma heading yako nilijawa na imani kubwa ya kuja kuona maono na taswira ya kisiasa nchini na aina ya upinzani uliopo. Kuja kutahamaki kumbe ni hoja ya urushaji matangazo na kufukuzwa chombo cha habari?

Nimeshangazwa kwa kweli!!

Heading ni nzuri na ilihitaji nyama ya kutosha kwa kugusa mambo mbalimbali ya kisiasa nchini na upinzani uliopo na unapoelekea bila kuwa biased na ukada wako.
 
Wakwende huko. Wanatoa matangazo na kukatakata ndio wamesaidia Chadema? Chadema ina nguvu ya umma. Sisi wananchi ndio tunamuweka Tundu Lissu madarakani -kwenye kiti cha Urais. Hao CCM pamoja na wewe mbaki na TBC yenu. Tumechoka manyanyaso, hatuvumilii tena ujinga ujinga.

#TunduLissu2020 #NiYeye #SasaBasi
Ubavu wa kumuweka Lisu madarakani mnao au ni kelele za chura,, Lisu ni kenge kwenye msafara wa mamba.
 
Tanzania inakosa wazalendo wa kweli (statesmen) kwa sababu ya ujinga wa walio wengi. Mzalendo wa kweli hana upendeleo kwa chama chake wakati wa kutetea utaifa umoja na haki.

Kuna dalili za ukaburu Tanzania na si ajabu mataifa ya nje ikiwemo Afrika ya Kusini yakaanza kupinga ukaburu Tanzania. Ni muhimu kujua kwamba ukaburu siyo rangi ya mtu, ni vitendo vyake.
 
Ukweli utakuweka huru,chombo cha TBC kinaendeshwa kinafiki sana.

Wote tunalipa kodi ili kiwepo lakini kinawapendelea sana CCM acha wafukuzwe tu safi sana.
 
kitendo cha kistaarabu, hakikubaliki, vyama vya habari tusilinyamazie
  • Vipi kutekwa kwa Azory Gwanda?
  • Vipi kufungiwa kwa Clouds huku magazeti ya Jamvi la habari na Uhuru yakiendelea ?
  • Vipi ule mkwara wa John "you are free but not to that extent"?
  • Vipi kuhusu sheria zote zinazobinya sekta ya habari?

Waandishi wa habari mngeonesha hasira na msimamo kama huu unaoutolea mwito hapa madhira yote hayo yasingewapata.

Kama mnataka kushughulikia matatizo yenu waandishi basi tafuteni mzizi wake mshughulike nao.

Hiyo sheria ya maudhui inafanya kazi kwenye mikutano ya vyama vya upinzani tu?
 
Paskali ni mpuuzi ,ni moja ya uzao wa hovyo wa mwanamke.alaf kinajiona kina fikra pevu san,kumbe mchawi tu.Tangu mapema hukuijua kesho/future yako kisiasa unabaki Leo unabaki unaweweseka .huaminiki tena.labda itokee huruma.Na wewe ni funzo kwa wengine ,ktk siasa mwanzo wako ndio utadetermine future yako.ukiamua kuwa moto kuwa moto,CYO leo moto kesho baridi,mara vuguvugu.Watanzania hawa cyo wale wa juzi.
Mkuu Pasco,hao ndio CHADEMA,tunaambiwa binaadam asili yake ameumbwa kwa udongo lakini dhahiri CHADEMA asili yake imeumbwa kwa uchafu na matusi.'Uzao wa hovyo wa mwanamke ndiyo nini' ? Lugha zao hizi mkuu hata majukwaani ni hivyo hivyo kuanzia mwenyekiti mpaka chini.Huu ni msiba wa demokrasia.
 
Back
Top Bottom