Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kumaanisha nini hapo mkuu?
Shangaa na wewe ujuaji wa kijinga tu.Umesema kwenye hili cdm wamekosea, kwani ni lini uliwahi kusema wako sahihi? Au lini uliwahi kusema ccm wanakosea ili tujue kuwa huwa uko fair?
Bw.Mayalla ,nashukuru kwa hili bandiko.Kilichotokea leo kuwafukuza TBC hakika ni msiba.Hatujui kama wasingeondoka ndani ya hizo dakika kumi walizoamriwa labda saa hizi tungeongea mengine kwa sababu hatujui umma ule ungewafanya nini kwa amri ya viongozi wao.Tunawasihi TBC kwa tukio hili wasijishughulushe tena na hao CHADEMA na tuwalaani na hasa Mbowe kwa tukio hili.Mwisho kwa Mbowe ,chunga kauli zako tusije tukakumbuka tena ya Marehemu Akwikina,Mungu amlaze pema katika pepo yake.
Ubavu wa kumuweka Lisu madarakani mnao au ni kelele za chura,, Lisu ni kenge kwenye msafara wa mamba.Wakwende huko. Wanatoa matangazo na kukatakata ndio wamesaidia Chadema? Chadema ina nguvu ya umma. Sisi wananchi ndio tunamuweka Tundu Lissu madarakani -kwenye kiti cha Urais. Hao CCM pamoja na wewe mbaki na TBC yenu. Tumechoka manyanyaso, hatuvumilii tena ujinga ujinga.
#TunduLissu2020 #NiYeye #SasaBasi
kitendo cha kistaarabu, hakikubaliki, vyama vya habari tusilinyamazie
Mkuu Pasco,hao ndio CHADEMA,tunaambiwa binaadam asili yake ameumbwa kwa udongo lakini dhahiri CHADEMA asili yake imeumbwa kwa uchafu na matusi.'Uzao wa hovyo wa mwanamke ndiyo nini' ? Lugha zao hizi mkuu hata majukwaani ni hivyo hivyo kuanzia mwenyekiti mpaka chini.Huu ni msiba wa demokrasia.Paskali ni mpuuzi ,ni moja ya uzao wa hovyo wa mwanamke.alaf kinajiona kina fikra pevu san,kumbe mchawi tu.Tangu mapema hukuijua kesho/future yako kisiasa unabaki Leo unabaki unaweweseka .huaminiki tena.labda itokee huruma.Na wewe ni funzo kwa wengine ,ktk siasa mwanzo wako ndio utadetermine future yako.ukiamua kuwa moto kuwa moto,CYO leo moto kesho baridi,mara vuguvugu.Watanzania hawa cyo wale wa juzi.