Uchaguzi 2020 Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...

Cdm ya sasa ina viongozi worthless and hopeless kabisa. Wameona hamna watu walio tarajia kuwa mafuriko. Wakasahau mafuriko yaliondoka na DR Slaa na EL aka Elinino. Picha za kupelekea wale mabeberu zimebuma. Kinachofuata ni ukata, mbaya zaidi wale wabunge waliozoe kuwa lazimisha kukatwa mishahara yao ngastuka, wamejanjaruka. Kazi iko.

Mbowe asilaumiwe kawafukuza TBC out of flastrations. Kwanza mgombea Urais ni Lissu, uenyekiti wake na ukuu wa chama umegeuka na kubaki cheo cha koti. Mbowe anavyo jisikiaga kageuka kuwa mc wa Lissu hamna namna.

Kutoka kupiga fedha za chama kupitia zile fuso chakafu na uji wa mgonjwa Nairobi sasa, sasa, sasa, eti unatakiwa utoe fedha mfukoni mwako usaidie kampeni za mgombea ambaye si wewe. Mwacheni kachanganyikiwa Saccos inamfia mikononi mwake.
 
Pascal Mayalla,
Kaka Paskali nakukubali sanasana, ila sijui what got into you, haupo neutral tena, sio yule ninaemjua. Damn sasa kama hadi ma rollmodel wetu mnakuwa hv, sasa tunatengeneza taifa la aina gani brother?

Cant you see tunaelekea shimon with this regime? Lissu sio wa kulaumiwa sababu anatekeleza wajibu wake na atahesabiwa mbeleni... Dunia hii wote tutapita kaka hivi vyote tutaviacha. Kuikweli nimekuwa disaoppointed na bandiko lako, anyway.... c' est la vie
 
hakuna uhusiano baina ya upinzani wa kweli na hao TBC'CCM, shetani hakumbatiwi wala kuchekewa..walichokifanya TBC ilikuwa ni haki yao kupata hicho alichokifanya M/kiti wetu. kama walikuja kwa lengo la kutangaza matangazo ya uzinduzi live, kulikuwa na haja gani ya kukatakata mitambo???
 
Kaka Pascal saizi tunamtegemea Mzee wa Ubwabwa Hashim Rungwe Spunda ndo mpinzani wa kweli. Cha kushangaza nae bado hajaanza kuweka mikoani centers za wananchi kupata Ubwabwa kuku wakati wa mikutano yake.

Nae awe makini asiji potezee point za mezani.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Paskali
Huu unao uona udhaifu wa wapinzani umetokana na yafuatayo
-Kwa miaka 5 ccm na jpm walifanya siasa watakavyo lakini wapinzani marufuku
-Uchaguzi serikali za mitaa tume ilikata wagombea asilimia 90+ ya wagombea wa upinzani na ccm kupata ushindi wa mezani
-Vyombo vyote vya habari vinatangaza habari za upande mmoja tu ccm.....ukileta kiherehere cha kutangaza upinzani unakula kitanzi mazima
-Wana harakati wa upinzani ama wako jela au wamepotea kusiko julikana
-Uchaguzi huu tayari ccm imeisha fanya figisu na kujitangulizia ushindi wa mezani kwa wabunge wa upinzani kuengeliwa na wa ccm kupita bila hata kupigiwa kura wabuge zaidi ya 100 na madiwani zaidi ya 500 nchi nzima
- Halafu tbc wanakuja kurusha matangazo live lakini wanachofanya ni kuweka watangazaji studio wanaokata kata matangazo ya live na kuanza kuponda kinachoendelea

Sasa katika mazingira haya ni haki yako kudhani wapinzani ni dhaifu
 
"Pascal Mayalla, post: 36507121, member: 17813"]
kwa vile na mimi siku hizi ni kada, kuna vitu naomba nisiviseme nikaonekana ni kupiga siasa!.
Ahsante kwa kukiri ukada. Hata hivyo kuna hoja isiyoeleweka kuhusu ukada.
Ukada maana yake si ukondoo , uzezeta au ujuha. Ukada ni ukereketwa. Kukereketwa si ujinga, si ujuha au uzezeta.
Kukereketwa ni 'uumini' uliotitia. Hivyo basi kuwa kada si tatizo kabisa ikiwa tu unaruhusu matumizi sahihi ya fuvu lililobeba ubongo.
Jana tumesikia makada wa Democrats kule US wakimshabikia Trump dhidi ya chama chao. Wiki iliyokwisha ilikuwa makada wa Republicans wakimshabikia Joe Biden dhidi ya chama chao.
Kuna makada wa GOP wanaotumia pesa zao 'Lincoln Project dhidi ya Trump''.
Huo ndio ukada. Ukada haujawahi kuwa ujinga isipokuwa kwa Tanzania tu
Kwanza natoa hongera kwa Television ya Taifa, TBC kutangaza live uzinduzi huo wa kampeni za Chadema!. Japo matangazo yenyewe ni kwa kukata kata, lakini something is better than nothing!.
Hakuna 'something is better than nothing katika habari'' Ukiruhusu censorship maana yake unaruhusu editing
Kama hilo lingefanyika kote kwa usawa hakuna tatizo. CCM wanatukana kila siku wakiwa live na hata kudhalilisha akina mama. TBC hawakati matangazo. Hivi maadili maana yake ni kwa upinzani tu?
Huu ni upuuuzi wa TBC kughilibu kuwa wana cover news za pande zote wakati watu wenye akili wanajua hicho ni chombo cha CCM na kwamba TBC wanafanya kazi kwa muongozo wa Lumumba licha ya kwamba inalipiwa na kodi zetu.
Je, kitendo alichofanya M/Kiti Mbowe, kuwafukuza live TBC, huku wakiwa live ni sawa?!.
Ni sawa kwasababu inafika mahali uvumilivu unaondoka na hasa kwa manafiki na wanafiki kama hawa TBC.
Ni kuwakataa wakaendelee na CCM. Muda wa kubemebelezana umekwisha . Upuuzi ni upuuzi tu huwezi kuupaka rangi. Tuna TV za kutosha nchini na za nje ya nchi hatuhitaji TBC sisi wenye akili timamu. Mimi huku Mjasani muheza tunaangalia KTN na tunaridhika sana. Pasco TBC inalipiwa na wananchi, hivyo hakuna hiari ya kukubali. Usiombe haki yako.Kinachogeombewa si kukubali kutangaza , bali ubaradhuli wa Utanganzaji wa TBC.
Hakuna hisani katika kodi za wananchi. Wanalazimika kutangaza si kukubali au kukataa. Period
Lini TBC wametenda haki? Mbowe alikuwa mstaarabu kuwaambia waondoke maana hata huku majumbani watu walikereka sana kwa wale wanaotazama TBC na akili nusu.
Mtu na akili zake hawezi kutumia dakika 5 kuangalia TBC.
Hasira za Mkizi kwenye siasa, kiukweli kabisa hazisaidii kitu!.
Wala haisaidii kuwasujudia CCM.Miaka 60 tumebaki na umasikini kwasababu ya mambo kama haya ya TBC na CCM. Upuuzi ni upuuzi tu hata upakwe lipstick ni upuuzi tu Hakuna uchochezi wowote. Kusema pesa za madini si zile za Matrilioni ni uchochezi?
Kazi ya TBC si kufanya censorship kama hawawezi na kwa jinsi walivyo hawawezi, waendelee kutangaza habari za Wanawake wanapodhalilishwa
NB. Ikitokea Chadema ikashindwa kwenye uchaguzi, isilalamike kuwa CCM imebebwa na TBC ndio maana ikashinda, Chadema wamepewa fursa ya kuitumia TBC, Chadema wenyewe ndio wamekataa na kuwafukuza TBC, hivyo sasa wanategemea nini?.
OK TBC hawafanyi kazi ya kuengua, waulize NEC

Jambo moja la wazi ni kuwa CCM imechukiwa sana. Licha ya rekodi ya miaka 60, madarajia na midege n.k. bado CCM wanategemea ushindi wa mezani kupitia NEC. Kwamba, hawawezi kushindana na wapinzani hadi wapate msaada wa TBC, NEC na Polizi. Miaka 60 CCM inahangaika hivi, real!

CCM wajiulize, hivi miaka 60 madarakani, na kubebwa na akina ''Msajili asiye na vyama'' , Neki, Polizia , TBC bado wanahangaika hivi !!!

Mag3 tindo JokaKuu
 
Mayalla umeishiwa bora ukae kimnya.
 
Mzee heshima yako...ila unapoweka hoja mezani jarbu kuangalia na uhalisia wa jambo husika..TBC wanafanya Coverage ya Habari za CDM kwa kiasi gani?wewe unaweza makaribisha mtu mnafiki anaekufanyia hujuma nyumbani kwako akusikilize unayayopanga?Uzi wako hauna Logic hauja bakance umekaa kinafki sana ,wewe pia n mnafiki usojua hata uko upande gan..kama hauna la kuandika bora ukawa msomaji.au unatafuta ugali kuptia TBC?niishie apo nitaendelea kesho.
 
WAJUMBE WABAYA SANAπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ‘·πŸ‘·πŸ‘·πŸ‘·πŸ‘·πŸ‘·πŸ‘·
 
Hujui unachoki
Hujui unachokiongea mzee.unafiki sio mzuri unazeeka vibaya
 
TBC wanafki tuuu, mbona siku zote hizo wasitangaze madhila waliyokuwa wakipata upinzani kama kukamatwa hovyo na polisi,kuuwawa,kufungwa jela,uhuru wa vyombo vya habari,wanaotekwa n.k

Nampongeza sana mbowe kwa kuwafukuza
 
Mkuu,
Kwa kweli nakushangaa sana unavyotetea TBC kana kwamba hujui kwamba TBC ni media ya mrengo wa chama chenu pekee! Au ndio maana ya kunywa maji ya bendera huku?
Mbowe aliuliza uma uliokuwepo kwenye kampeni, na kwa umoja wao wali-opt TBC waondoke. Kama TBC ingekuwa fair angalau kidogo naamini raia waliokuwepo pale japo robo yao wangetaka wabaki. The fact kwamba raia wote kwa umoja wao hawakuwataka hata kuwasikia TBC sikwambii kuwaona live pale viwanjani, hii inadhihirisha dhahir kwamba wamekosa weledi na kila mtanzania analijua hilo.
Tunajuwa kwamba nyinyi ni makada lakini please mjitahidi msifumbe macho ya akili zenu...LOH!
 
Hahahahhahaha hitimisho lako zur mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…