Je, Tanzania tunahitaji Gen Z?

Je, Tanzania tunahitaji Gen Z?

Generation Z ya tz
Huyo kijana mimi binafsi huwa namuona hajielewi ingawa wajinga watamnadi kwamba anapata pesa. Kwanza hachekeshi, pia hana talent tatu hajui na hana target kwenye sanaa yake. Ukimuuliza unalenga nini kwenye jamii kufundisha ama kuzuia ataishia kukenua ile mimeno na kuchekacheka kama SHOGA!

hii Generation Z ya URT ni msiba kwakweli... Maan yote ni majinga majinga tu! Jeuri, kiburi na dharau ndo vimewajaa... Vichwani "0" ZERO!
 
Wewe ni ignorant ila unataka kujifanya mjuaji.

1. Kwanza, Napinga suala la ukabila. Maandamano ya Kenya yamefanyika nchi nzima. Kuanzia Nairobi, Isiolo, Nyeri , Eldoret kwa Ruto, Mombasa etc. kule Eldoret kwa Ruto watu waliishusha alama ya mkokoteni wa UDA katikati ya mji, Nyeri kwa Gachagua Wakikuyu walishambulia Supermarket ya mbunge wa UDA na kufanyaaandano makubwa. Giturai 45 kwa Wakikuyu maandamano makubwa yalifanyika Hadi vijana kulimwa risasi na kufariki.

Swali linakuja Kama kwenye ngome ya Ruto na Gachagua maandamano yamefanyika sambamba na Kisumu, Mombasa na Kakamega je ukabila upo wapi hapo?.

2. Pili, Hakuna mkono wa mtu kwenye maandamano haya. Makamu wa Rais Gachagua amekiri Gen Z Wakenya hawakuwa na kiongozi ndio maana walifanikiwa azma yao ya kuingia bungeni na kuliharibu ili akili irudi Kwa wabunge wasiojitambua.

3. Tatu, naomba nikushauri, usipende kuangalia matokeo angalia chanzo Cha matokeo. Shida yako unaangalia matokeo ya maandamano ya Gen Z bila kuangalia chanzo Cha maandamano ya Gen Z. Chanzo ni wabunge kutoheshimu maoni ya wananchi na baadala yake kutaka kumfurahisha Ruto.

Siku nyingine tumia nguvu kubwa kujadili bajeti ya Tanzania.
Sawa
 
Kusema za ukweli
Kitendo cha Gen z kuendelea na maandamano hata baada ya Ruto kusitisha kusign mswaada ,,, kimenifanya nipate mashaka nao sana
Yakini hata mswaada hauna shida yoyote
 
Kizazi hiki hapa Tanzania kipo, yaani "Zoomers", kwani hawa ni vijana wazaliwa wa kati ya mwaka 1995 hadi 2009.

"Generation Z (often shortened to Gen Z), colloquially known as Zoomers, is the demographic cohort succeeding Millennials and preceding Generation Alpha. Researchers and popular media use the mid-to-late 1990s as starting birth years and the early 2010s as ending birth years. Most members of Generation Z are the children of Generation X or older Millennials" - Source Wikipedia.
Asante
 
Kwa mtazamo wangu Tanzania hatuhitaji hicho kizazi hata kidogo,,kwa wengine wanaona hiyo generation ni babu kubwa na kutamani nasi tungekuwa nayo

Jirani zetu wakenya huenda wanastahili kuwa nayo kutokana na back ground yao,,kwa sababu ukabila ni sehemu ya maisha yao ya kila siku,hata siasa zao kwa mlengo mkubwa zina chagizwa sana na ukabila

Si ajabu hata hali hiyo kufikia sasa imehamasishwa sana na ukabila,,,tukio la hivi karibuni pamoja na raisi wao kutoamua kusaini huo mswada na kutaka urejeshwe bungeni lakini bado hiyo gen z inakuja na matakwa mengine ya kutaka kumtoa raisi wao madarakani

Hapa ndipo unapojiuliza je,kuna nini nyuma ya pazia? Unapata picha kwamba kuna ajenda kubwa ambayo imejificha nyuma yake,,,je vijana wataendelea kutumika kama daraja ili wenye ajenda zao wafanikishe mpango wao?

Hapa ndipo ambapo kijana unatakiwa utumie ule msemo wa Jk "akili za kuambiwa changanya na zako" mwisho wa kunukuu.

Mpaka sasa tumeona maafa makubwa yametokea,,kuna ambao wamepoteza uhai wao na kuacha majonzi katika familia,ndugu jamaa na marafiki.

Natambua kwamba ili mabadiliko yapatikane wakati mwengine baadhi yetu inatakiwa tujitoe mhanga ili kizazi kijacho kifurahie matunda yetu kama ambavyo wafanyakazi wa viwandani zamani walivyojitoa mhanga mpaka leo haki za wafanyakazi zinatambulika na kuheshimika kimataifa.

Kwanini nasema Tanzania hatuhitaji gen z? Kwasababu ukitaka kujifunza mambo kutoka kwa watu basi jifunze kupitia makosa yao,,kwani utapata kujifunza kuyaepuka makosa yao na kufuata yale ambayo yataleta tija zaidi .

Yaliyotokea kwa wenzetu tumeyaona tena sio mara ya kwanza,tuliwahi kuona vurugu kama hizi miaka ya nyuma na maafa mengi yalitokea, je nasi tunataka maafa kama hayo kwa kivuli cha gen z?

Hapana Tanzani tuna namna yetu ya kudili na mambo yetu,,kikubwa tutumie nguvu ya ballot box kuonyesha malengo yetu ni nini? Na pili ni kupaza sauti na kukosoa serikali kwa ustaarabu pale inapo bidi,,huu ndio ustaarabu wa taifa letu pendwa

Tusidhani kuingia barabarani na kuvunja amani ya nchi njia pekee ya kutatua kero zetu,,na siku zote njia ya mazumgumzo ndio njia muafaka katika kufikia maelewano,,wewe angalia hata katika historia,watu watanyanyua mitutu lakini mwisho wa siku watakaa mezani na kuyazungumza. Je kuna haja gani ya kuanzisha vurugu na kupata athari kubwa kisha baadae ndio tuje kuzungumza?

Mwisho Viongozi wa nchi hii,yanayo tokea kwa majirani nadhani mnayaona,,msingoje ikatokea gen z kama ya wenzetu ndio mje kusema lau tungejua,,nikiwa kama mtu aliye somea Sayansi ya Siasa nafahamu kwamba Kiongozi anatakiwa kunusa viashiria vya migogoro vikiwa katika hatua ya mwanzo kabisa kabla havijawa vikubwa na kuwa bomu ambalo kulishughulikia itachukua nguvu kubwa sana.

Viashiria tayar vipo hapa nchini kwetu tena vingi tu,basi tusiwe vyura kwani itafika kipindi watu watachoka na watasema kama mbwai mbwai,,sipendi tufikie huko,,hii nchi ni kisiwa cha amani na utulivu basi na iwe hivyo siku zote.

Gracias

Ni hayo tu!
Inaonekana wewe ata mbingu utaikisa wewe unajua maana ya gen z wewe
 
Natamani Wakenya wahamie Tanzania kwa wiki moja tu wakamvue ushungi yule BIBI MALIPSTIKI.
 
Hapana,

Hiyo ni definition ya Wamarekani, kwa watu waliozaliwa Marekani. Inabeba tabia za Wamarekani waliokuwa shaped na historia ya Marekani.

Huko kwenu hakuna Gen Z, ukichukua watu waliozaliwa miaka hiyo Malampaka ukawachuja kwa kuangalia tabia za Gen Z wa Marekani utakuta kuna mambo tofauti.

Sasa kwa nini mnawaita Gen Z?

Kwa mtazamo wangu Tanzania hatuhitaji hicho kizazi hata kidogo,,kwa wengine wanaona hiyo generation ni babu kubwa na kutamani nasi tungekuwa nayo

Jirani zetu wakenya huenda wanastahili kuwa nayo kutokana na back ground yao,,kwa sababu ukabila ni sehemu ya maisha yao ya kila siku,hata siasa zao kwa mlengo mkubwa zina chagizwa sana na ukabila

Si ajabu hata hali hiyo kufikia sasa imehamasishwa sana na ukabila,,,tukio la hivi karibuni pamoja na raisi wao kutoamua kusaini huo mswada na kutaka urejeshwe bungeni lakini bado hiyo gen z inakuja na matakwa mengine ya kutaka kumtoa raisi wao madarakani

Hapa ndipo unapojiuliza je,kuna nini nyuma ya pazia? Unapata picha kwamba kuna ajenda kubwa ambayo imejificha nyuma yake,,,je vijana wataendelea kutumika kama daraja ili wenye ajenda zao wafanikishe mpango wao?

Hapa ndipo ambapo kijana unatakiwa utumie ule msemo wa Jk "akili za kuambiwa changanya na zako" mwisho wa kunukuu.

Mpaka sasa tumeona maafa makubwa yametokea,,kuna ambao wamepoteza uhai wao na kuacha majonzi katika familia,ndugu jamaa na marafiki.

Natambua kwamba ili mabadiliko yapatikane wakati mwengine baadhi yetu inatakiwa tujitoe mhanga ili kizazi kijacho kifurahie matunda yetu kama ambavyo wafanyakazi wa viwandani zamani walivyojitoa mhanga mpaka leo haki za wafanyakazi zinatambulika na kuheshimika kimataifa.

Kwanini nasema Tanzania hatuhitaji gen z? Kwasababu ukitaka kujifunza mambo kutoka kwa watu basi jifunze kupitia makosa yao,,kwani utapata kujifunza kuyaepuka makosa yao na kufuata yale ambayo yataleta tija zaidi .

Yaliyotokea kwa wenzetu tumeyaona tena sio mara ya kwanza,tuliwahi kuona vurugu kama hizi miaka ya nyuma na maafa mengi yalitokea, je nasi tunataka maafa kama hayo kwa kivuli cha gen z?

Hapana Tanzani tuna namna yetu ya kudili na mambo yetu,,kikubwa tutumie nguvu ya ballot box kuonyesha malengo yetu ni nini? Na pili ni kupaza sauti na kukosoa serikali kwa ustaarabu pale inapo bidi,,huu ndio ustaarabu wa taifa letu pendwa

Tusidhani kuingia barabarani na kuvunja amani ya nchi njia pekee ya kutatua kero zetu,,na siku zote njia ya mazumgumzo ndio njia muafaka katika kufikia maelewano,,wewe angalia hata katika historia,watu watanyanyua mitutu lakini mwisho wa siku watakaa mezani na kuyazungumza. Je kuna haja gani ya kuanzisha vurugu na kupata athari kubwa kisha baadae ndio tuje kuzungumza?

Mwisho Viongozi wa nchi hii,yanayo tokea kwa majirani nadhani mnayaona,,msingoje ikatokea gen z kama ya wenzetu ndio mje kusema lau tungejua,,nikiwa kama mtu aliye somea Sayansi ya Siasa nafahamu kwamba Kiongozi anatakiwa kunusa viashiria vya migogoro vikiwa katika hatua ya mwanzo kabisa kabla havijawa vikubwa na kuwa bomu ambalo kulishughulikia itachukua nguvu kubwa sana.

Viashiria tayar vipo hapa nchini kwetu tena vingi tu,basi tusiwe vyura kwani itafika kipindi watu watachoka na watasema kama mbwai mbwai,,sipendi tufikie huko,,hii nchi ni kisiwa cha amani na utulivu basi na iwe hivyo siku zote.

Gracias

Ni hayo tu!
Saaaaannnnnaaaaaa!!!
 
Maelezo yako yanajichanganya sana. Yawezekana hujafuatilia kwa umakini mzozo wa Kenya.

Kwanza kuna mambo ya msingi unayotakiwa kuyafahamu:
1) Hakuna anayependa vurugu au anayependa kuuawa au mwenzake auawe. Hivyo watu wanapojitoa mhanga ni kwa sababu watawala wengi wa Afrika huwa hawaelewi ligha yoyote zaidi ya nguvu. Wanakubali kuongea baada ya kuona kuna nguvu inayoweza kuhatarisha madaraka yao. Fikiria nchi kama Tanzania, ni miaka mingapi imepita tangu watu waanze kudai katiba mpya? Je, watawala wamewahi kuwasikiliza Watanzania? Hata utawala wa Kikwete kukubali kuanzisha mchakato wa katiba mpya ni pale CHADEMA walipotangaza kuanza maandamano kudai katiba mpya. Wananchi walipotulia baada ya mchakato kuanza, watawala wamerudi kwenye kiburi kile kile. Hivi kukitokea maandamano na hata vurugu za kudai katiba mpya kwa nguvu, utasema kuwa wananchi hawakutaka mazungumzo?

2) Watawala wa Afrika wanaamini sana katika kutumia nguvu. Hivyo hata kama jambo ni baya, maadamu wao watawala wanalitaka, wanaamini kuwa watatumia polisi kulazimisha na wananchi wapende wasipende ni lazima wafuate matakwa yao wao watawala. Mathalani hapa Tanzania, wananchi wamekuwa wakilalamikia sana ufisadi wa ndani ya Serikali. Serikali.ni kiziwi, inawadharau wananchi, ndiyo maana hakuna anayewajibishwa kutokana na ufisadi unaoibuliwa na report ya CAG. Je, siku moja wananchi wakiamua kuandamana na kusema liwalo na liwe, utasema kuwa wananchi hawakutaka njia ya mazungumzo?

3. Fikria hapa Tanzania, wananchi wamelalamikia mara ngapi uharamia wa CCM kwenye uchaguzi? Hivi kwa mfano mwakani wananchi waka-riot kutokana na CCM kuharibu uchaguzi kupitia tume ya uchaguzi ya Rais, utasema wananchi wanapenda vurugu? Binadamu akidhulumiwa sana, kuna wakati anafikia uamuzi wa kusema potelea mbali, liwalo na liwe. Anafanya hivyo kwa sababu njia zote za kawaida zimeshindikana.

Kenya, kabla hata ya maandamano, wananchi kwenye maoni juu ya hiyo bajeti walisema wazi ni mbaya. Serikali wakapuuza. Wananchi wakaanza kuandamana kwa amani kuipinga hiyo bajeti, Serikali ya Ruto badala ya kusikiliza maoni, akawapeleka polisi kupambana na waandamanaji. Mara wakamwua kijana asiye na hatia. Hazira za watu zikawaka, vurugu zikaanza. Mbaya zaidi, polisi wakaishia kuwaua vijana wengine zaidi ya 10. Vurugu za waandamanaji na hasa mashambulio dhidi ya mali za watawala na Serikali ndizo ziluzowafanya watawala kuufuta huo mswada wa bajeti uliokuwa unasubiria saini ya Rais. Wananchi bado wana hasira, na wana haki ya kuwa na hasira dhidi ya watawala. Yaani kuufuta tu mswada ule ulitarajia waridhike wakati kuna damu za watu zimemwagwa, vijana wameuawa, wengine wametekwa na haijulikani hata waliko!!

Bahati mbaya sana Afrika tuna watawala wenye kiburi wanaowapuuza raia wao. Lugha ya kawaida, lugha ya amani, watawala wa Afrika hawaelewi, moaka watu wajitoe mhanga. Very unfortunate.
 
Hoja zako nimezielewa sana,,,na ndio maana kwa kulijua hilo nikawataka na viongozi pia waone haya yanayotokea kuwa ipo siku watu watasema kama noma na iwe noma

Kwahiyo kama watanzani kwa ujumla wetu kwa maana ya watawala na watawaliwa kila pande ina wajibu mkubwa wa kuhahikikisha imani ya Taifa hili inaelendelea kuwepo,kwanza watawala wawajibike kwa wananchi lwa kusikia na kutatua kero zao na wananchi pia wawe na uvumilivu wakati kero zao zinatafutiwa ufumbuzi
 
Mkuu, hivi mwenzetu unajua maana ya Generation Z ....!!? Unaposema hatukihitaji hicho kizazi unamaanisha nini hasa ....!!?
Jamaa itakuwa hata hajui maana gen z.
Hao ndio machawa wa ccm hawaelewi kitu just kuropoka hajui kila nchi ina hicho kizazi utakuta na yeye labda ni kizazi cha gen z ila hajielewi.
Gen z wa Tanzania wengi wao ni kama muanzisha thread wengi hawajielewi wameamua kuwa machawa
 
Back
Top Bottom