Je, Tanzania tunajifunza nini kuhusu ubabe wa dunia/kuhusu vita vinavyoendelea?

Je, Tanzania tunajifunza nini kuhusu ubabe wa dunia/kuhusu vita vinavyoendelea?

Je na sisi tunaweza tukatunisha msuli?
Je Jwtz inaweza ikatuonesha suprise kwa raia wake na kwa ulimwengu kwa ujumla?
Je tuna mahandaki kwaajili ya usalama wa raia,
Je tuna air defensive systems
Je tunaweza ishika sehemu nyeti dunia kama vile Hormuz
Nimesikia mtu kasema, tuna makora 2000 sijui ya mwaka gani 🤭
 
vita vya sasa havipiganwi ardhin kama.Zaman kwa sasa n technology tu

Mambo ya kukimbizana na mbwa eti kumpiga jambaz wenzetu washavuka huko mbwa n kwa ajil ya polisi

Kuvunja mawe kwa ugoko au na kichwa n mambo ya 1890 huko

Vita ya iran na usa uvunjaji wa tofal kwa ugoko au kichwa utaitumia wapi au kimkimbiza adui na mbwa

unakuwa na wataalam wengi wanaojua kubuni silaha za kisasa badala yake wanaajir div 4 ili ashike tofal
 
Vipi Tanzania nae akidinywa, ataweza kuresponse?
Okay, Tanzania ikidinywa kwenye mbususu, basi wao wanageuza kinyeo nayo idinywe endapo mdinyaji asipotosheka.

Kitaalamu wanasema "ukipigwa Kofi ya kushoto geuza ya kulia".
 
Je na sisi tunaweza tukatunisha msuli?
Je Jwtz inaweza ikatuonesha suprise kwa raia wake na kwa ulimwengu kwa ujumla?
Je tuna mahandaki kwaajili ya usalama wa raia,
Je tuna air defensive systems
Je tunaweza ishika sehemu nyeti dunia kama vile Hormuz
Tunaweza kuvunja matofari kwa kichwa, usitubeze.
 
Jwtz silaha wanayojivunia ni zile Rocket launchers. Yake magari yaliyotamba kipindi Cha Vita ya kagera.
Uganda wanaziita 7 7
 
tumeshindwa kujifunza mambo ya msingi tuje kujifunza vita vya wenzetu
 
Jwtz silaha wanayojivunia ni zile Rocket launchers. Yake magari yaliyotamba kipindi Cha Vita ya kagera.
Uganda wanaziita 7 7
Huenda wamefanya siri
 
Back
Top Bottom