sio lazima nikuelewe
Senior Member
- Sep 26, 2025
- 113
- 223
Nimesikia mtu kasema, tuna makora 2000 sijui ya mwaka gani 🤭Je na sisi tunaweza tukatunisha msuli?
Je Jwtz inaweza ikatuonesha suprise kwa raia wake na kwa ulimwengu kwa ujumla?
Je tuna mahandaki kwaajili ya usalama wa raia,
Je tuna air defensive systems
Je tunaweza ishika sehemu nyeti dunia kama vile Hormuz
😂😂Haikwepeki hii
Okay, Tanzania ikidinywa kwenye mbususu, basi wao wanageuza kinyeo nayo idinywe endapo mdinyaji asipotosheka.Vipi Tanzania nae akidinywa, ataweza kuresponse?
Tunaweza kuvunja matofari kwa kichwa, usitubeze.Je na sisi tunaweza tukatunisha msuli?
Je Jwtz inaweza ikatuonesha suprise kwa raia wake na kwa ulimwengu kwa ujumla?
Je tuna mahandaki kwaajili ya usalama wa raia,
Je tuna air defensive systems
Je tunaweza ishika sehemu nyeti dunia kama vile Hormuz
Simple like that 😎.