Je, Taoism ni uchawi? Je, unaweza kutumia Taoism kutabiri mambo ya mbeleni? Nitajaribu kukuelewesha

Je, Taoism ni uchawi? Je, unaweza kutumia Taoism kutabiri mambo ya mbeleni? Nitajaribu kukuelewesha

It's nothing new, hata sisi hapa kwetu hapa Afrika tuna imani zetu ambazo ni kongwe zaidi ya Taoism na hizi dini za kuletewa ila tumechanganywa akili na wazungu na Waarab kwa kuletewa dini zisizo na mashiko maishani mwetu na kuacha imani yetu ambayo ndiyo our true identity. Kufuata hizi dini za watu ni kuasi imani na mila yako kushadadia imani na mila za wengine kama ilvyo hapa Tanzania. Unakuta mtu hajuwi chochote kuhusu historia ya Mwarab lakini anajifanya Mwarab na kuona sifa, huu ni ujinga uliotukuka. Tumekuwa watumwa wa dini wakati hatuelewi lolote.
Waafrika Imani zetu ni zipi
 
Kwa hisani ya Google nanukuu hapa hapa mkuu "Uchawi (kwa Kiingereza "Witchcraft") ni nguvu zinazotumiwa na watu wenye maarifa maalumu yasiyo ya kisayansi katika jamii nyingi duniani (zikiwemo za Afrika, Asia, Ulaya n.k.), ingawa kuna tofauti nyingi kulingana na mahali au utamaduni." Moshi wa kunukuu
Ya siyo ya kisayansi sio tafsiri sahihi uchawi ni sayansi sawa na elimu zingine,thus pana vyuo vinafunza uchawi hata bongo vipo.
 
Vizuri.

Unajuaje maarifa haya ni ya kisayansi na haya si ya kisayansi?

Hususan kwenye vitu ambavyo huvijui kabisa na ni mara yako ya kwanza kuviona.

Nakupa mfano.

Mimi nilivyokuwa mtoto mdogo, nilikuwa nina rafiki yangu mmoja mkubwa kwangu. Yeye alijua kuwa gari kabla ya kukata kona inawasha indicator. Mimi sikujua.

Basi tukafanya mchezo. Kila gari ikija, tunaotea kama itakata kulia, kushoto au itaenda mbele bila kukata.

Yule jamaa alikuwa anaanza kuotea yeye. Kila akiotea alikuwa anapatia. Akasema ana uchawi wa kujua kuotea gari litakwenda wapi. Bado kidogo nimuamini. Akaniambia unaiona ile taa? Basi ile taa ndiyo inakuonesha gari linaenda wapi.

Sasa hapo, kabla sijajua kuwa kuna taa inaonesha gari linaenda wapi, kama naamini uchawi, si ningeweza kuamini huyu jamaa mchawi tu, anaweza kuotea gari linaenda wapi na likaenda huko huko.

Unaona hapo kitu usichokijua kinavyoweza kukufanya ukubali uchawi, sehemu ambayo haina uchawi kabisa?
Huyo alibahatika kutabiri na sio uchawi.
Sayansi ya uchawi ufanya KAZI kama ilivyo mfumo wa umeme lazima pawe na chanzo kupitia mawimbi nguvu ya uchawi inasafiri thus unaweza mloga mtu aliye marekani na akadhurika kupitia manuizi.
 
Sioni muunganiko wowote wa kuonesha u-special wa hiyo Taoism kupitia mfano wako wa Tai Chi katika kubashiri moves za mpinzani.

Ushawahi kucheza draft?

Mfano wako wa Tai Chi katika reference ya Taoism unafanana kabisa na mchezo wa draft.

Kikawaida draft ili uwe bingwa unatakiwa kucheza zaidi kwenye upande wa mpinzani wako kuliko upande wako.

Yani wewe ujiweke kwenye position ya mpinzani na kuangalia ni kete gani ambayo kwa upande huo itakuwa na madhara kwa mpinzani

Kupitia kete unayoisukuma utapata majibu kuwa ni kete gani ambayo mpinzani wako atakuja kuicheza kwasababu tayari ulishafikiria upande wa pili wa mpinzani

Kwasababu umeanza kulicheza draft katika upande wa mpinzani kwanza na kuona ni kete ipi na ipi ndio inayoweza kumpa advantage ya kupata ushindi au kujiweka katika mazingira mazuri.

So katika hiyo case akija mtu kuniambia unaweza ku transform mbinu za mchezo wa draft katika maisha halisia zikupe ubashiri wa vitu vya future kwasababu ameona umeweza kujua next moves za mpinzani wako kwenye draft kiukweli nitamshangaa.

Kusoma next move ya mtu au kitu mbona ni swala la calculations za kawaida tu kwanini umeliweka kwenye mzani wa "nguvu kuu" kuifanya kama ni kitu fulani hivi kisicho cha kawaida?
 
I can agree with you.
I havent been so deep into TAOISM, lakn firsst time i knew about it n kwenye kitabu fulani kinachohusu mambo ya kudinyana a.k.a kungonoka.
In this book walikua wanaelezea taoist methodologies on how to have multiple orgasms bila ku ejaculate n.k. ni mambo kibao.
But waliongelea this "energy" and how to channel it in the human body kwa ajili ya kupata faida lukuki.
Good thing ni kwamba it really works, but it takes time and a lot of practice.
Taoist monks walikua na vast information on different matters and one thing i love about it n kwamba hakuna kitu chochote kinachofanania na ushirikina.
I think as human beings, tuna a very great potential but we know so little about ourselves (though kienyeji tunahisi tunajua), but ukiweza kuingia deep and unlock the secrets of the human body and mind you might be amazed at how great we are.
Wengi hatuongezi maarifa kwa kusoma vitu tofaut so we kinda live in the matrix of existence but we dont really exist.
In JF kuna watu wengi ambao wanaenda deep to gather knowledge abt different matterS, e.g Kiranga , lakini ukiangalia wengi hua wanapinga without justification maana wengi hawana knowledge.
Kongole kwako kali linux on this. I remember uzi wako about psychedellic mushrooms, that was dope too.
Tuzidi kujifunza.
Ofcoz, mwili wa binadam umeficha vingi.

2020 I was diagnosed with CIDP at a very chronic level na hapo ilikua imefikia siwezi tembea wala sikia, most of my nerves were almost not working, wanaojua huu ugonjwa wakiniona watashangaa, sababu inabidi niwe mlemavu lkn sio mlemavu. It was channeling this kind of energy that helps me wake up everyday bila mtu kujua kama mwili mzima umekufa ganzi.
 
Vizuri.

Unajuaje maarifa haya ni ya kisayansi na haya si ya kisayansi?

Hususan kwenye vitu ambavyo huvijui kabisa na ni mara yako ya kwanza kuviona.

Nakupa mfano.

Mimi nilivyokuwa mtoto mdogo, nilikuwa nina rafiki yangu mmoja mkubwa kwangu. Yeye alijua kuwa gari kabla ya kukata kona inawasha indicator. Mimi sikujua.

Basi tukafanya mchezo. Kila gari ikija, tunaotea kama itakata kulia, kushoto au itaenda mbele bila kukata.

Yule jamaa alikuwa anaanza kuotea yeye. Kila akiotea alikuwa anapatia. Akasema ana uchawi wa kujua kuotea gari litakwenda wapi. Bado kidogo nimuamini. Akaniambia unaiona ile taa? Basi ile taa ndiyo inakuonesha gari linaenda wapi.

Sasa hapo, kabla sijajua kuwa kuna taa inaonesha gari linaenda wapi, kama naamini uchawi, si ningeweza kuamini huyu jamaa mchawi tu, anaweza kuotea gari linaenda wapi na likaenda huko huko.

Unaona hapo kitu usichokijua kinavyoweza kukufanya ukubali uchawi, sehemu ambayo haina uchawi kabisa?
Ndo maana kama umesoma uzi wangu nimetoa mfano unaoendana na hiki kitu.

Taoism inadeal na the way of life, kama mm najua hiki kikifanyika result yake ni hii na hii, basi nikaona mtu anafanya na nikatabiri atafikwa na hili au hiki kitatokea, wasiojua hayo wataniona mtabiri, kumbe nimewekeza kujifunza. Na ndo maana nikasema Taoism sio uchawi, sababu inakupa siri ya namna ulimwengu ulivyo na namna ya kwenda nao.

Hata mambo kama Chi deviation na channeling, ni mambo ambayo kwa zamani yalionekana kama uchawi, lakini biology ya leo inaweza kuyaelezea.
 
Sioni muunganiko wowote wa kuonesha u-special wa hiyo Taoism kupitia mfano wako wa Tai Chi katika kubashiri moves za mpinzani.

Ushawahi kucheza draft?

Mfano wako wa Tai Chi katika reference ya Taoism unafanana kabisa na mchezo wa draft.

Kikawaida draft ili uwe bingwa unataoiwa kucheza zaidi kwenye upande wa mpinzani wako kuliko upande wako.

Yani wewe uniweke kwenye position ya mpinzani na kuangalia ni kete gani ambayo kwa upande huo itakuwa na madhara kwa mpinzani

Kupitia kete unayoisukuma utapata majibu kuwa ni kete gani ambayo mpinzani wako atakuja kuicheza kwasababu tayari ulishafikiria upande wa pili wa mpinzani

Kwasababu umeanza kulicheza draft katika upande wa mpinzani kwanza na kuona ni kete ipi na ipi ndio inayoweza kumpa advantage ya kupata ushindi au kujiweka katika mazingira mazuri.

So katika hiyo case akija mtu kuniambia unaweza ku transform mbinu za mchezo wa draft katika maisha zikupe ubashiri wa vitu vya future kwasababu ameona umeweza kujua next moves za mpinzani wako kwenye draft kiukweli nitamshangaa.

Kusoma next move ya mtu au kitu mbona ni swala la calculations za kawaida tu kwanini umeliweka kwenye mzani wa "nguvu kuu" kuifanya kama ni kitu fulani hivi kisicho cha kawaida?
Okay.. vizuri. Lakini ngoja nikueleweshe.

Kwanza mfano wa Draft ni irrelevant hapa coz ina finite moves, lkn universe haina finite moves. Labda ungesema chess au go, na zote zisingelezea ninachomaanisha

Tai Chi inaunganisha Biomechanics, breathing, human physiology, etc... kujua mtu akijikunja vp basi ana uwezekano wa kufanya nn.

Sasa Taoism imekusanya kila kitu kwenye huu ulimwengu na kukupa Guiding principles, kumbuka Tai Chi ni part tu ya Taoism.

Ninachoona wewe umefocus zaidi na mifano niliotoa badala ya elimu ninayotoa. Focus kwenye elimu ninayotoa.
 
Umeisifia taosim lakin ubunifu bado unatoka western countries kwanin wasiitumie mpaka wana-copy technology kutoka western
 
Nikitaka kuji-align na hiyo nguvu kuu niweze kuzuia majanga ya asili kama radi, vimbunga, mafuriko na matetemeko ya ardhi nitaweza?

Je inawezekana kweli?

Kuna baadhi ya mambo bado ni pasua kichwa hapa duniani sidhani hata hiyo nguvu ya Taoism inaweza kila kitu.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Moja ya funzo kuu la Taoism ni kukubaliana na nature na sio kuipinga.

Wewe tu hapo tyr umeshafanya kosa kutaka kukabiliana na radi ambayo ni natural disaster
 
Back
Top Bottom