Nakwambia hivi [emoji116]
Anaye control hii dunia ni Binadamu hakuna nguvu yeyote ile inayo mwendesha binadamu kufanya mambo.
Binadamu ni kiumbe complex sana hata anaweza kwenda kinyume na Nature.
Ni swala la muda tu kwa kasi ya ukuaji wa sayansi na teknolojia binadamu ata control kila kitu.
Hata kifo kitadhibitiwa.
Sent from my Infinix X657B using
JamiiForums mobile app
Ni vigumu kwa mtu ku control kila kitu, kwa sababu ili ku control kila kitu, inabidi kwanza upime kila kitu.
Na kuna vitu vingi ambavyo kitendo cha kukipima tu hicho kitu maana yake umepoteza control kwenye hicho kitu, yani upimaji wako unaingilia kinachopimwa, hivyo, measurement zako zitakuwa si za kile kitu unachokipima kikiwa katika natural state, bali ya kile kitu unachokipima kikiwa katika state ya kupimwa.
Nikupe mfano rahisi kwa sababu ya demonstration tu, ambao unaweza kuwa si accurate sana factually, lakini unaonesha point yangu.
Tuseme una camera, camera inaweza kupiga picha na ku preserve image ya kitu. Lakini, ili camera itengeneze image ya kitu, inabidi photons fulani zitoke kwenye kitu kinachopigwa picha, photons zinatoka kwenye mwili wa mtu, zinaenda kutengeneza picha. Sawa, utapata picha, lakini hiyo picha itakuwa ni ya mtu ambaye photons kadhaa zishatoka ili kutengeneza picha, huwezi kupata picha ya mtu yule kabla zile photons hazijatoka kutengeneza picha.
Hapo unaona kuwa, kile kitendo cha kupima mtu anaonekanaje kwa kutumia camera, kimeingilia kile kinachopimwa, mtu, na kumfanya awe tofauti na yule mtu ambaye alikuwapo kabla ya kupigwa picha.
Kitu kingine kinachozuia kupima kwa uhakika ni the laws of physics. Ukiangalia laws kama za Heisenberg's Uncertainty Principle kuhusu position na momentum ya subatomic particles kwa mfano, utaona kwamba hatuwezi kujua position na momentum kwa uhakika. Yani tukizidisha uhakika wa kujua position, ndivyo tunazidisha kutojua zaidi momentum, and vive versa.
Yani unaweza, kwa mfano, kuanza kwa kujua kwa 99% position ya particle, lakini hilo litamaanisha kuwa unajua kwa uhakika wa 1% momentum yake. Na ukizidisha uhakika wa momentum kufikia 2%, uhakika wa kujua position unashuka mpaka 98%, mpaka ukifikisha uhakika wa kujua momentum kwa 50% uhakika wa kujua position nao unakuwa 50%, na unaenda hivyo hivyo mpaka unafikia uhakika wa kujua momentum kwa 99% na kukuta uhakika wa kujua position umerudi chini mpaka kufikia 1%. Yani muda wote ukijumlisha uhakika wa kujua momentum na wa kujua position unapata 100%, kwa hivyo huwezi kujua chochote kwa uhakika.
Kuna wakati nilikuwa nafikiri hii ni kwa sababu hatujajua kupima vizuri tu, lakini nikaja kugundua kuwa, ni kwa sababu hizo particles hazina momentum wala position maalum, zinaelea katika a probabilistic wave function.
The universe is essentially more probabilistic, not fully knowable and therefore, never perfectly predictable.
Sasa vitu kama hivyo huwezi kuvipima kwa uhakika, kwa sababu havipo kwa uhakika ni vitu vilivyopo katika a probabilistic quantum fluctuating wave function, which is formed by randomness.
"The uncertainty principle, also known as Heisenberg's indeterminacy principle, is a fundamental concept in quantum mechanics. It states that there is a limit to the precision with which certain pairs of physical properties, such as position and momentum, can be simultaneously known.: Wikipedia