bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Waafrika Imani zetu ni zipiIt's nothing new, hata sisi hapa kwetu hapa Afrika tuna imani zetu ambazo ni kongwe zaidi ya Taoism na hizi dini za kuletewa ila tumechanganywa akili na wazungu na Waarab kwa kuletewa dini zisizo na mashiko maishani mwetu na kuacha imani yetu ambayo ndiyo our true identity. Kufuata hizi dini za watu ni kuasi imani na mila yako kushadadia imani na mila za wengine kama ilvyo hapa Tanzania. Unakuta mtu hajuwi chochote kuhusu historia ya Mwarab lakini anajifanya Mwarab na kuona sifa, huu ni ujinga uliotukuka. Tumekuwa watumwa wa dini wakati hatuelewi lolote.
Uchawi ni elimu ya Siri ya kujificha iliyobeba nguvu ya uharibifu ili kudhuru watu,vitu,wanyama,mali nk.Kwanza kabisa definitions, uchawi ni nini?
Ya siyo ya kisayansi sio tafsiri sahihi uchawi ni sayansi sawa na elimu zingine,thus pana vyuo vinafunza uchawi hata bongo vipo.Kwa hisani ya Google nanukuu hapa hapa mkuu "Uchawi (kwa Kiingereza "Witchcraft") ni nguvu zinazotumiwa na watu wenye maarifa maalumu yasiyo ya kisayansi katika jamii nyingi duniani (zikiwemo za Afrika, Asia, Ulaya n.k.), ingawa kuna tofauti nyingi kulingana na mahali au utamaduni." Moshi wa kunukuu
Huyo alibahatika kutabiri na sio uchawi.Vizuri.
Unajuaje maarifa haya ni ya kisayansi na haya si ya kisayansi?
Hususan kwenye vitu ambavyo huvijui kabisa na ni mara yako ya kwanza kuviona.
Nakupa mfano.
Mimi nilivyokuwa mtoto mdogo, nilikuwa nina rafiki yangu mmoja mkubwa kwangu. Yeye alijua kuwa gari kabla ya kukata kona inawasha indicator. Mimi sikujua.
Basi tukafanya mchezo. Kila gari ikija, tunaotea kama itakata kulia, kushoto au itaenda mbele bila kukata.
Yule jamaa alikuwa anaanza kuotea yeye. Kila akiotea alikuwa anapatia. Akasema ana uchawi wa kujua kuotea gari litakwenda wapi. Bado kidogo nimuamini. Akaniambia unaiona ile taa? Basi ile taa ndiyo inakuonesha gari linaenda wapi.
Sasa hapo, kabla sijajua kuwa kuna taa inaonesha gari linaenda wapi, kama naamini uchawi, si ningeweza kuamini huyu jamaa mchawi tu, anaweza kuotea gari linaenda wapi na likaenda huko huko.
Unaona hapo kitu usichokijua kinavyoweza kukufanya ukubali uchawi, sehemu ambayo haina uchawi kabisa?
Bongo hicho chuo kipo wapi?Ya siyo ya kisayansi sio tafsiri sahihi uchawi ni sayansi sawa na elimu zingine,thus pana vyuo vinafunza uchawi hata bongo vipo.
Depending on your region ila mostly ni kama hizo za Taoism, tunaamini uwepo wa higher power (Mungu), mizimu, na nature na ndiyo maana tuliamini miungu wa msituni, baharini, mitoni, maziwani, jua, mvua n.k.Waafrika Imani zetu ni zipi
Ukiwa na Nia ya kujifunza utakipata TU ndugu.Bongo hicho chuo kipo wapi?
Mimi nina nia ya kujifunza nipe direction ya vyuo walau vitatu hapa Dar es Salam niangalie kilicho karibu na mimi nikajiungeUkiwa na Nia ya kujifunza utakipata TU ndugu.
Sio chuo sema vyuo
Wapi kipo ndio maan nimeulizaUkiwa na Nia ya kujifunza utakipata TU ndugu.
Sio chuo sema vyuo
Ofcoz, mwili wa binadam umeficha vingi.I can agree with you.
I havent been so deep into TAOISM, lakn firsst time i knew about it n kwenye kitabu fulani kinachohusu mambo ya kudinyana a.k.a kungonoka.
In this book walikua wanaelezea taoist methodologies on how to have multiple orgasms bila ku ejaculate n.k. ni mambo kibao.
But waliongelea this "energy" and how to channel it in the human body kwa ajili ya kupata faida lukuki.
Good thing ni kwamba it really works, but it takes time and a lot of practice.
Taoist monks walikua na vast information on different matters and one thing i love about it n kwamba hakuna kitu chochote kinachofanania na ushirikina.
I think as human beings, tuna a very great potential but we know so little about ourselves (though kienyeji tunahisi tunajua), but ukiweza kuingia deep and unlock the secrets of the human body and mind you might be amazed at how great we are.
Wengi hatuongezi maarifa kwa kusoma vitu tofaut so we kinda live in the matrix of existence but we dont really exist.
In JF kuna watu wengi ambao wanaenda deep to gather knowledge abt different matterS, e.g Kiranga , lakini ukiangalia wengi hua wanapinga without justification maana wengi hawana knowledge.
Kongole kwako kali linux on this. I remember uzi wako about psychedellic mushrooms, that was dope too.
Tuzidi kujifunza.
Sure.Letting go Go with the flow hivi ni vitu hata mimi naviamini kwenye maisha yangu binafsi
Ndo maana kama umesoma uzi wangu nimetoa mfano unaoendana na hiki kitu.Vizuri.
Unajuaje maarifa haya ni ya kisayansi na haya si ya kisayansi?
Hususan kwenye vitu ambavyo huvijui kabisa na ni mara yako ya kwanza kuviona.
Nakupa mfano.
Mimi nilivyokuwa mtoto mdogo, nilikuwa nina rafiki yangu mmoja mkubwa kwangu. Yeye alijua kuwa gari kabla ya kukata kona inawasha indicator. Mimi sikujua.
Basi tukafanya mchezo. Kila gari ikija, tunaotea kama itakata kulia, kushoto au itaenda mbele bila kukata.
Yule jamaa alikuwa anaanza kuotea yeye. Kila akiotea alikuwa anapatia. Akasema ana uchawi wa kujua kuotea gari litakwenda wapi. Bado kidogo nimuamini. Akaniambia unaiona ile taa? Basi ile taa ndiyo inakuonesha gari linaenda wapi.
Sasa hapo, kabla sijajua kuwa kuna taa inaonesha gari linaenda wapi, kama naamini uchawi, si ningeweza kuamini huyu jamaa mchawi tu, anaweza kuotea gari linaenda wapi na likaenda huko huko.
Unaona hapo kitu usichokijua kinavyoweza kukufanya ukubali uchawi, sehemu ambayo haina uchawi kabisa?
Okay.. vizuri. Lakini ngoja nikueleweshe.Sioni muunganiko wowote wa kuonesha u-special wa hiyo Taoism kupitia mfano wako wa Tai Chi katika kubashiri moves za mpinzani.
Ushawahi kucheza draft?
Mfano wako wa Tai Chi katika reference ya Taoism unafanana kabisa na mchezo wa draft.
Kikawaida draft ili uwe bingwa unataoiwa kucheza zaidi kwenye upande wa mpinzani wako kuliko upande wako.
Yani wewe uniweke kwenye position ya mpinzani na kuangalia ni kete gani ambayo kwa upande huo itakuwa na madhara kwa mpinzani
Kupitia kete unayoisukuma utapata majibu kuwa ni kete gani ambayo mpinzani wako atakuja kuicheza kwasababu tayari ulishafikiria upande wa pili wa mpinzani
Kwasababu umeanza kulicheza draft katika upande wa mpinzani kwanza na kuona ni kete ipi na ipi ndio inayoweza kumpa advantage ya kupata ushindi au kujiweka katika mazingira mazuri.
So katika hiyo case akija mtu kuniambia unaweza ku transform mbinu za mchezo wa draft katika maisha zikupe ubashiri wa vitu vya future kwasababu ameona umeweza kujua next moves za mpinzani wako kwenye draft kiukweli nitamshangaa.
Kusoma next move ya mtu au kitu mbona ni swala la calculations za kawaida tu kwanini umeliweka kwenye mzani wa "nguvu kuu" kuifanya kama ni kitu fulani hivi kisicho cha kawaida?
GamboshiBongo hicho chuo kipo wapi?
Umeisifia taosim lakin ubunifu bado unatoka western countries kwanin wasiitumie mpaka wana-copy technology kutoka westernOkay.. vizuri. Lakini ngoja nikueleweshe.
Kwanza mfano wa Draft ni irrelevant hapa coz ina finite moves, lkn universe haina finite moves. Labda ungesema chess au go, na zote zisingelezea ninachomaanisha
Tai Chi inaunganisha Biomechanics, breathing, human physiology, etc... kujua mtu akijikunja vp basi ana uwezekano wa kufanya nn.
Sasa Taoism imekusanya kila kitu kwenye huu ulimwengu na kukupa Guiding principles, kumbuka Tai Chi ni part tu ya Taoism.
Ninachoona wewe umefocus zaidi na mifano niliotoa badala ya elimu ninayotoa. Focus kwenye elimu ninayotoa.
Moja ya funzo kuu la Taoism ni kukubaliana na nature na sio kuipinga.Nikitaka kuji-align na hiyo nguvu kuu niweze kuzuia majanga ya asili kama radi, vimbunga, mafuriko na matetemeko ya ardhi nitaweza?
Je inawezekana kweli?
Kuna baadhi ya mambo bado ni pasua kichwa hapa duniani sidhani hata hiyo nguvu ya Taoism inaweza kila kitu.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app