GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
95% ya Watoto wa Kitanzania hasa waliozaliwa kuanzia mwaka 1990 hadi leo (sasa) wanapenda zaidi Kula Ubwabwa (Wali) na Kuuchukia kabisa Ugali (GENTAMYCINE ninaoupenda) uliotukuza Kaka na Dada zao Geniuses tuliozaliwa kuanzia 1989 kurudi nyuma.
Wazazi wa sasa nawashaurini kwa nia njema tu Jengeni tabia ya Kuwazoesha Watoto wenu kupenda kula Ugali kwani Siku ikitokea tu mkawaleta Kwangu Uncle wao Mimi GENTAMYCINE Kunitembelea jueni Menu yangu Tukuka ni Ugali 24/7 na kufanya Kazi za Mikono kwa Wingi sawa?
Siwezi nikawa nimelelewa Kijeshi na Kijasusi (Kimedani) kisha na Mimi nikawalea Uncles zangu au Watoto wa Marafiki zangu Kinyoronyoro (kwa Kudekezadekeza) na Kubembeleza bali wakija Kwangu ni Kazi Kazi tu utadhani wako Depo Jeshini ili wakiwa Wakubwa wawe Mashujaa na Msaada kwa Taifa.