Je, tatizo ni Biswalo Mganga au Sheria inayompa madaraka makubwa Mkurugenzi wa Mashtaka? Rugemalila mbona alimgomea?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tatizo hasa ni nini kwa sababu hata DPP Felleshi aliondolewa na sasa ni Jaji Kiongozi.

Kimsingi sheria imempa madaraka makubwa DPP so hata DPP atakayekuja bado mtamlalamikia tu akiwa anatimiza majukumu yake kwa msingi wa sheria.

Tunapaswa kutibu ugonjwa badala ya kutibu dalili.

Ramadhan kareem!
 
Katiba yetu na sheria zake tanzu ni mbovu . Wakilalamika wapinzani hakuna anayewaelewa mpaka yawafike .
Hapo Mkuu Odhiambo cairo umepigilia, ndiyo kuna issue kubwa. Hawa Watanzania walikuwa kimya mwaka Jana Oktoba wakati Mwendazake anaiba kura.

Na walikuwa kimya miaka yote 5 wakati Mwendazake ananunua wabunge wa upinzani. Sheria mbovu zinapitishwa na wabunge wao wa Chama kimoja halafu zinapoanza kuwa umiza ndiyo wananza kulalamika
 
Umesema kweli, tunahitaji kutibu ugonjwa badala ya dalili, lakini hats kama sheria ni mbaya kama busara ingetumika tu kwa DPP haya yote yasingetokea, kwa wale tunaoamini katika maandiko ya bible inasema walio wake hawapo chini ya sheria.
 
DPP anatumia sheria zaidi ila Jaji ndio anatumia sheria kwa busara zaidi!
 
Naona watu wana chuki binafsi na Biswalo.

Hizi ni fitna na chuki binafsi tu hakuna kingine.

Sijaona kosa la Bizwalo.

Kwenye hizi justice system popote Duniani kuna watu wanaonewa na kuna wengi wanatendewa haki.

Sehemu kubwa ya watu aliowapeleka mahakamani Biswalo walikua wanastahili. Mtu kama Singasinga mlitaka achekewe?

Bidwalo ataapishwa kua jaji na asietaka ajinyonge.
 
Hapo Mkuu Odhiambo cairo umepigilia, ndiyo kuna issue kubwa. Hawa Watanzania walikuwa kimya mwaka Jana Oktoba wakati Mwendazake anaiba kura.

Na walikuwa kimya miaka yote 5 wakati Mwendazake ananunua wabunge wa upinzani. Sheria mbovu zinapitishwa na wabunge wao wa Chama kimoja halafu zinapoanza kuwa umiza ndiyo wananza kulalamika
Kwa mfano Bwaswalo kaumizwaje na hiyo sheria?
 
Wakitaka kuungiza mzigo wa pesa kutoka kwa mabeberu kuutakatisha Ukawakwamisha watakuita kila jina baya,tunawajua baada ya mzigo wa kwenye kampeni kukwama wote ni mashahidi walivyohangaika.
 
Hapo Mkuu Odhiambo cairo umepigilia, ndiyo kuna issue kubwa. Hawa Watanzania walikuwa kimya mwaka Jana Oktoba wakati Mwendazake anaiba kura.

Na walikuwa kimya miaka yote 5 wakati Mwendazake ananunua wabunge wa upinzani. Sheria mbovu zinapitishwa na wabunge wao wa Chama kimoja halafu zinapoanza kuwa umiza ndiyo wananza kulalamika
Ninaamini akina Singh mwezi ujao nje
 
Naona watu wana chuki binafsi na Biswalo.

Hizi ni fitna na chuki binafsi tu hakuna kingine.

Sijaona kosa la Bizwalo.

Kwenye hizi justice system popote Duniani kuna watu wanaonewa na kuna wengi wanatendewa haki.

Sehemu kubwa ya watu aliowapeleka mahakamani Biswalo walikua wanastahili. Mtu kama Singasinga mlitaka achekewe?

Bidwalo ataapishwa kua jaji na asietaka ajinyonge.
Hutaki kumchekea singasinga na wale waliochukua kwa sandarusi umewafanyaJe ?!. Double standard
 
Naona watu wana chuki binafsi na Biswalo.

Hizi ni fitna na chuki binafsi tu hakuna kingine.

Sijaona kosa la Bizwalo.

Kwenye hizi justice system popote Duniani kuna watu wanaonewa na kuna wengi wanatendewa haki.

Sehemu kubwa ya watu aliowapeleka mahakamani Biswalo walikua wanastahili. Mtu kama Singasinga mlitaka achekewe?

Bidwalo ataapishwa kua jaji na asietaka ajinyonge.
umenena mkuu.
fitina, chuki na hisia za kipuuzi zenye lengo la kumchafua na kumdhalilisha.
 
Tatizo hasa ni nini kwa sababu hata DPP Felleshi aliondolewa na sasa ni Jaji Kiongozi.

Kimsingi sheria imempa madaraka makubwa DPP so hata DPP atakayekuja bado mtamlalamikia tu akiwa anatimiza majukumu yake kwa msingi wa sheria.

Tunapaswa kutibu ugonjwa badala ya kutibu dalili.

Ramadhan kareem!
Kesi zote zirudishwe kwa Wapelelezi huko police!! Office ya DPP ifutwe!!
 
Back
Top Bottom