johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Kwanini ifutwe?Kesi zote zirudishwe kwa Wapelelezi huko police!! Office ya DPP ifutwe!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini ifutwe?Kesi zote zirudishwe kwa Wapelelezi huko police!! Office ya DPP ifutwe!!
Magufuli ni Mungu-mtu wenu nyie mataga?Ni kama sasa hivi wapinzani wanafurahia Magufuli hayupo!
Ngoja 2025 ndio wataelewa kama tatizo alikuwa Hayati Magufuli au mfumo.
Hapa ndipo ujinga wako ulipo.Kwenye hizi justice system popote Duniani kuna watu wanaonewa na kuna wengi wanatendewa haki.
Kwanini ifutwe?
Kwani ipo ofisi ya DPP?Hakika mkuu!
Acha kutetea mafisadi we bwegeNinaamini akina Singh mwezi ujao nje
Hapana aisee mimi sio mpinzani lakini lile dubwana lipumzike kwa amani tu mhhhhhhh, NOOOOOOOONi kama sasa hivi wapinzani wanafurahia Magufuli hayupo!
Ngoja 2025 ndio wataelewa kama tatizo alikuwa Hayati Magufuli au mfumo.
Naongea jinsi Watanzania wanataka Rais SSH amkukuze kazi au amfungulie mashtaka DPP kwa uchafu aioufanya kuanzia 2016-20 na kujikusanyia hela za dhuluma. Wanaona Rais amekosea kumpa Ujaji.Kwa mfano Bwaswalo kaumizwaje na hiyo sheria?
Hapo ndio ujinga wenu ulipo,Naongea jinsi Watanzania wanataka Rais SSH amkukuze kazi au amfungulie mashtaka DPP kwa uchafu aioufanya kuanzia 2016-20 na kujikusanyia hela za dhuluma. Wanaona Rais amekosea kumpa Ujaji.
Nami nawaambia walipaswa kwanza kuchagua wabunge watakao kataa sheria mbovu bungeni
Tunaongela habari ya mfumo nyie simbilisi mnafurahia mtu mmoja kuondoka huku mfumo ukiwa pale pale.Magufuli ni Mungu-mtu wenu nyie mataga?
Angalia vizuri unaweza kuta wewe ndiyo Mjinga ila hujijui.Hapo ndio ujinga wenu ulipo,
Sheria ndio inatakiwa mseme irekebishwe!
Akimfukuza Biswaro akaja mwingine akafanya hayo hayo utafukuza wangapi?