johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kamanda kwani mpaka sisi wapinzani tuombe mabadiliko?Katiba yetu na sheria zake tanzu ni mbovu . Wakilalamika wapinzani hakuna anayewaelewa mpaka yawafike .
Wewe huwa huna hoja.Kamanda kwani mpaka sisi wapinzani tuombe mabadiliko?
Hapo Mkuu Odhiambo cairo umepigilia, ndiyo kuna issue kubwa. Hawa Watanzania walikuwa kimya mwaka Jana Oktoba wakati Mwendazake anaiba kura.Katiba yetu na sheria zake tanzu ni mbovu . Wakilalamika wapinzani hakuna anayewaelewa mpaka yawafike .
Hakika mkuu!Ni kama sasa hivi wapinzani wanafurahia Magufuli hayupo,!
Ngoja 2025 ndio wataelewa kama tatizo alikuwa jpm au mfumo.
DPP anatumia sheria zaidi ila Jaji ndio anatumia sheria kwa busara zaidi!Umesema kweli, tunahitaji kutibu ugonjwa badala ya dalili, lakini hats kama sheria ni mbaya kama busara ingetumika tu kwa DPP haya yote yasingetokea, kwa wale tunaoamini katika maandiko ya bible inasema walio wake hawapo chini ya sheria.
Kwa mfano Bwaswalo kaumizwaje na hiyo sheria?Hapo Mkuu Odhiambo cairo umepigilia, ndiyo kuna issue kubwa. Hawa Watanzania walikuwa kimya mwaka Jana Oktoba wakati Mwendazake anaiba kura.
Na walikuwa kimya miaka yote 5 wakati Mwendazake ananunua wabunge wa upinzani. Sheria mbovu zinapitishwa na wabunge wao wa Chama kimoja halafu zinapoanza kuwa umiza ndiyo wananza kulalamika
Huna lolote wewe.Wewe huwa huna hoja.
JITATHMINI
Akili au matope?DPP anatumia sheria zaidi ila Jaji ndio anatumia sheria kwa busara zaidi!
Kamanda mbwakachoka!Akili au matope?
Kamanda mbwakachoka!Huna lolote wewe.
Ninaamini akina Singh mwezi ujao njeHapo Mkuu Odhiambo cairo umepigilia, ndiyo kuna issue kubwa. Hawa Watanzania walikuwa kimya mwaka Jana Oktoba wakati Mwendazake anaiba kura.
Na walikuwa kimya miaka yote 5 wakati Mwendazake ananunua wabunge wa upinzani. Sheria mbovu zinapitishwa na wabunge wao wa Chama kimoja halafu zinapoanza kuwa umiza ndiyo wananza kulalamika
Hutaki kumchekea singasinga na wale waliochukua kwa sandarusi umewafanyaJe ?!. Double standardNaona watu wana chuki binafsi na Biswalo.
Hizi ni fitna na chuki binafsi tu hakuna kingine.
Sijaona kosa la Bizwalo.
Kwenye hizi justice system popote Duniani kuna watu wanaonewa na kuna wengi wanatendewa haki.
Sehemu kubwa ya watu aliowapeleka mahakamani Biswalo walikua wanastahili. Mtu kama Singasinga mlitaka achekewe?
Bidwalo ataapishwa kua jaji na asietaka ajinyonge.
umenena mkuu.Naona watu wana chuki binafsi na Biswalo.
Hizi ni fitna na chuki binafsi tu hakuna kingine.
Sijaona kosa la Bizwalo.
Kwenye hizi justice system popote Duniani kuna watu wanaonewa na kuna wengi wanatendewa haki.
Sehemu kubwa ya watu aliowapeleka mahakamani Biswalo walikua wanastahili. Mtu kama Singasinga mlitaka achekewe?
Bidwalo ataapishwa kua jaji na asietaka ajinyonge.
Kesi zote zirudishwe kwa Wapelelezi huko police!! Office ya DPP ifutwe!!Tatizo hasa ni nini kwa sababu hata DPP Felleshi aliondolewa na sasa ni Jaji Kiongozi.
Kimsingi sheria imempa madaraka makubwa DPP so hata DPP atakayekuja bado mtamlalamikia tu akiwa anatimiza majukumu yake kwa msingi wa sheria.
Tunapaswa kutibu ugonjwa badala ya kutibu dalili.
Ramadhan kareem!