Je, team Kiba mmechoka kukesha youtube

Hatuhitaji kampeni wala nn, nyimbo zetu zinajiprome zenyewe ndo maana kadri mda unavoenda gepu linazid kupungua kwa kasi na ngoma ndo inazidi kuteka hisia za watu mtaani.......no hard feeling.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kweli hahaha kila saa mnarudia kupost watu wabonyeze bayo hahahaha. Bado mabango barabarani. Kunya anye bata akinya kuku....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaahaaa kuna watu wanapiga promo kama WCB ohhh please dude. Acha kiba naye apige bana wivu wenu tupa kule

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi wa motooooo naona unatapatapa tu kama umekula tonge la moto.....pamoja na promo na kampen lote hilo jmn wimbo bado una view 4M mmmh aisee nakumbuk salome ndani wa week kama moja iv ilikuwa na 10M viewz bila nguvu kutoka nje.....je ingefanyiwa kampeni sasa kama ile ilofanywa kwa seduce me, si ingekuwa noma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Povu vepe. Dont seduce me like that.... Im too smart dada....

Endelea dada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Im too smart dada..... Hehehhe. Hiv mashabiki wa ntu nne wameshindwa kupita views za Kb kwa masaa??? [emoji134] [emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aibu ni team ya ntu sita kupambana na mtu mmoja hahahha. Ninachofurah ni kuwa sasa team wcb wanafukuzia views za kiba ili wampite. What a shame

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni aibu pale msanii unayejiita king kuomba sapoti kwa watu wenye chuki na adui yako wakupromote ili upambane naye.......nasikia alimlilia mange kimambi akimuomba amfanyie kampeni maana maji yalikuwa ya shingo......mastaa wote waliungana kina wema jokate lulu na malaya wote wa mtandaoni wenye majina kupigana na jeshi moja la wcb tu....na bado hari ni mbaya........ni kama marekani anavowaomba vibaraka wake kwnd kupigana na NK.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau point moja. Zilipendwa wameungana wasanii wanne huku seduce me akiwa mmoja. Unganisha mashabiki wa wanne na mmoja. Ukirud tuambie mmetumia muda gani kumpiku jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aibu ni team ya ntu sita kupambana na mtu mmoja hahahha. Ninachofurah ni kuwa sasa team wcb wanafukuzia views za kiba ili wampite. What a shame

Sent using Jamii Forums mobile app
Domo mkubwa bwana pamoja na viriba vyenu na majungu lkn kila anayemshika mkono anakuwa star.....kiba hata mdogo wake tu kashindwa kumtngenezea jina.....harmonize kaja juzi tu lkn ni talk of the town.......kumlilia mange kimambi akufanyie kampeni ni aibu kubwa sana kwa msanii unayejiita king na unakubalika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wa tandale chuki zenu huwq hazijifichi kuanzia kwa rais wenu hadi wafuta viatu. Mahaba kwa kiba yanawapagaisha haaaahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau point moja. Zilipendwa wameungana wasanii wanne huku seduce me akiwa mmoja. Unganisha mashabiki wa wanne na mmoja. Ukirud tuambie mmetumia muda gani kumpiku jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku ukisahau kuwa mashabik wa hawo madogo wa wcb ndo hao hao wa mond.....uku akili yako inakuwa ndogo kuwazua kuwa msanii wako anafnyiwa kampeni na mtu kama mange ambaye ana ushawish mkubwa kwny social media mtu kama wema, jokate, lulu, na wengne wenye majina na ushawish mkubwa kupambana na team mojabtu ya wcb na bado unakimbzwa hiv hujifikirii kuwa huwo ni ujinga wa kiwango cha lami.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…