unanitaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,178
- 1,045
Na kweli hahaha kila saa mnarudia kupost watu wabonyeze bayo hahahaha. Bado mabango barabarani. Kunya anye bata akinya kuku....Hatuhitaji kampeni wala nn, nyimbo zetu zinajiprome zenyewe ndo maana kadri mda unavoenda gepu linazid kupungua kwa kasi na ngoma ndo inazidi kuteka hisia za watu mtaani.......no hard feeling.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app