SANCTUS ANACLETUS
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,338
- 4,676
- Thread starter
-
- #261
Muhammad s.a.w ni "Ummiyyiin" kwa maana hajui kusoma wala kuandika. Waliyoandika Qur'an ni Sahaba zake na alikuwa akiwaambia waisome pindi wanapoiandika huku yeye akiisikiliza kama imeandikwa kiufasaha.
Angelikuwa anajua kusoma hoja ingelitokea kwamba ameiandika yeye.
Akidi ya wewe kuniuliza swali bado haijatimia, ili iwajibike Mimi kukujibu hili swali lako,itimize akidi yako kwenye post # 246&250.Aliwezaje kuelewa kuwa anachosomewa na masahaba zake ndicho kile alichowaagiza waandike wakati alishindwa siku ile kule pangoni kuelewa yale aliyokuwa anasomewa na Malaika Gabrieli?
Ukiwa mwepesi wa kuuliza nawe kuwa mwepesi wa kujibu unachoulizwa. Siyo unakoti watu kwa njia ya mjadala ukiulizwa maswali unajibu vi' emoji emoji. Umenielewa?
We jamaa inabidi u' behave unajua umeshakuwa na kila jambo lina mahala pake. Umeandika kitu ambacho ni serious basi kuwa serious unachojibu unachoulizwa.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Akidi ya wewe kuniuliza swali bado haijatimia, ili iwajibike Mimi kukujibu hili swali lako,itimize akidi yako kwenye post # 246&250.
Hapa kaka nastahiki kucheka sana. Nilisema wewe hutakiwi kujibiwa na kweli hutakiwi kujibiwa,sababu unachokiandika na kuokoteza okoteza ni uongo uliochupa mipaka.Umewaambia waandike kisha wakusomee [emoji15] wakikusomea tofauti na walivyo andika na hujui kusoma [emoji4] View attachment 850458
Sent using Jamii Forums mobile app
Biblia inaaminika kama imesema ukweli na inapingwa kama imeleta porojo. Kuna porojo karibia asilimia 90 kwenye biblia.1. Kwa hiyo, unakiri kwamba ule uelewa kuwa unabii au utume unaodaiwa kutolewa na Biblia juu ya Muhammad ni changa la macho?
2. Na je sasa unakubali kwamba Muhammad alijipotosha kudhani Yesu aliposema kwamba angalimleta msaidizi kuwa akimumaanisha yeye Muhammad? Na kama Biblia ina makosa, ina maana yale yote inayodaiwa kuyasema juu ya Muhammad na Uislamu,imekuwa miaka yote hii ni kupoteza muda tu?
Sasa wewe unataka tuamini torati za kwenye biblia inazungumzia masuala ya kwenye kasoro za pumbu na uume kutouona ufalme wa Mungu?1. Ni Torati ipi na Injili ipi, ambayo ndiyo haijaharibiwa?
2. Mumezihifadhi wapi matini za Torati hiyo na Injili hizo na mbona hamzitoi hadharani ili wakristu waumbuke?Zimwageniu humu tujionee,basi
3. Torati na Injli ziliharibiwa lini? Ziliharibiwa wakati Muhammad amezaliwa au angali bado kuzaliwa?
Usichoulizwa unajibu, ulichoulizwa haujibu. Akili yako na maswali huwa zina repel kama pande mbili pacha za usumaku.Kwani kwa akili zako unaona maskhara eeh [emoji47] [emoji15] allah amesha wahukumia finnar jehannam halidina fiha abadan [emoji117] View attachment 850483 Tunajitahidi KUWANUSURU Ndugu zetu ktk Adam mnaona ni maskhara daah [emoji15] Hivi unamuona allah anafanya maskhara na usingizi unaupata [emoji15] haya mkuu [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapoongea/ unapoandika uwe na akiba ya maneno/maandishi. Suala ulilolileta ni suala la mjadala na suala la mjadala hiwezi ukahitimisha pasipo maudhui ya mjadala kujadiliwa, na kuna mawili mwisho was mjadala, imma wakinzane au waikhtalfiane hao wanaojadili mjadala. Mosi hilo.
Pili,utakuwa ni mtu wa ajabu misingi ya dini flani unaihukumu kwa kutumia misingi ya dini nyengine. Abadan! Misingi ya itikadi haipimwi hivyo. Kila itikadi ina misingi yake hivyo, ihukumu kwa kutumia misingi yake na sivyo unavyofanya wewe. Yafaa ungeuliza ila si dhihaka iliyoambatana na kuuliza.
Tanbihi tu nakupa.
Halafu ni nani aliyekuambia sanamu la ndama tena wa kike limetengenezwa na msamaria? Katika hili kwa sababu umeleta hoja na hii hoja inajibiwa kwa hoja/ swali.
i) Leta aya hiyo inayosema sanamu imetengenezwa na Msamaria. Asili ya lugha ya Qur'an ni kiarabu, ilete kwa lugha ya kiarabu halafu tuipeleka kwa lugha hii ya kiswahili.
ii) Lete aya inayosema msamaria
alishika nyayo za Mtume.( Angalizo usineletee kwa tarjama)
-Ukiyajibu hayo na wewe utapata majibu yako yote ya kwenye hii mada inshaallah. Anayetaka kujua huwa anafanya hima, Fanya hima ya kujibu ili niondoe utata wa maswali yako.
Ukishindwa kuyajibu sema vilevile ili tusipoteze muda. Tukusaidie kuyajibu na tukuweke sawa.
Lugha hii ndiyo mnyoielewa ati [emoji4] hata muhammad angekuwa ANGEKUWA Hai zama hizi angeelewa na kuongozwa Sala ya Kutubu [emoji4]Usichoulizwa unajibu, ulichoulizwa haujibu. Akili yako na maswali huwa zina repel kama pande mbili pacha za usumaku.
Hapa kaka nastahiki kucheka sana. Nilisema wewe hutakiwi kujibiwa na kweli hutakiwi kujibiwa,sababu unachokiandika na kuokoteza okoteza ni uongo uliochupa mipaka.
Tatizo akili zenu mmewapa watu fulani wawashikie,ona sasa ulichokinukuu.
Hapo hujaleta Qur'an bali umeleta tarjama za Qur'an.
Unaposema matoleo ya Qur'an bila shaka ni ile matni ya asili ya Qur'an. Sasa leta matni ya asili ya Qur'an katika matoleo mengi.
Bali hapo hizo ulizo nukuu ni chache miongoni mwa tarjama nyingi za Qur'an.
Mkiambiwa muwe mnasoa ujue tuna maanisha sio mnaropoka ropoka tu.
Ona unavyojidhalilisha bro. Ukiambiwa hii elimu ujue ina watu wake.
Naona nazidi kujishusha hadhi kukujibu mjinga mmoja usieijua Qur'an hata kwa herufi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Allah namuomb akuhfadhi juu y kiburi chko juu ymmb usyoyaelewa..ckulaumuKwa maana hiyo Kurani imeandikwa na Bwana Mudi si ndio
Mkuu nakuhakikishia kuran ni elimu pana mno, huyu jamaa alichoandika hakijibiki!mkuu nondo zako huwa hazijibiki kwa hoja, znajibika kwa vitisho na matusi tu
kaazi kwelikweli mkuu, unajua mkuu kuna forums nyng za nje ukiingia unawakuta watu wenye elimu kubwa sana za dini wakichallenge vitabu hivi hasa jinsi vinavyojicontadict vyenyewe....kuna haja ya wenye elimu hizi kujtokeza na kutoa ufafanuzi wa hii mikanganyiko maana watu tunatakiwa kuelewa haya maandiko na so kukariiri, km sisi christians ndo kabisa viongoz wetu wako busy na sadaka/fungu la kumi n.k hawafundish tenaMkuu nakuhakikishia kuran ni elimu pana mno, huyu jamaa alichoandika hakijibiki!
i.
Wao wana dini yao na sisi tuna dini yetu"
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kutupiga kwenye Green House, naona umehamia kwa Waislam. It is just a matter of time.Mbona umeishia njiani na ujumbe wako Mkuu?
Nimeshangaa unastaajabu malaika kumkaba mtume lakini Mungu kucheza MIELEKE na yakobo unaona sawa.sasa kipi kichekesho Mungu kucheza MIELEKA au malaika kumkaba mtu? hilo la juu ndio jibu lakoAnalo Taka HAWEZI [emoji47] [emoji12] kama wewe umesha jiajiri kuwa mc wake Tangaza [emoji47] manake kafir hana Mkole kama alivyo mngese naye hana Mkole [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili sio jibu mboyoyoSina muda wa kukupa uji unajifanya umekuwa mtu Mzima kama tutaendelea kukupa uji utadhoofu! Hivyo kula sembe la muhogo au dona mboga wali mweupe au pandu [emoji53] [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo swali mbona jepesi sana tumeshakwambia Mungu alikuwa anamfikishia ujumbe mtume kupitia malaika jibril sasa unauliza swali gani la kitoto ndio ww unashangaa malaika kukaba mtu wakati Mungu wako anacheza MIELEKA(kukabana na kupigana) unastaajabisha kweliKama baba kassim kweli Mungu Amemtuma weka Ushahidi kama huu [emoji117]
Kama baba kassim kweli Mungu Amemtuma weka Ushahidi kama huu [emoji117]
Kama baba kassim kweli Mungu Amemtuma weka Ushahidi kama huu [emoji117] View attachment 849985 hata allah naye kathibitisha kwamba Mwenyezi Mungu kamtuma Musa View attachment 849992View attachment 849994
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuuliza maswali mawili unajua maana ya "kushika nyayo" halafu nani alikwambia hapo mtume ni Mohammad?1.Sijakuelewa wewe na wenzio mnaolilia niweke nukuu ya aya husika hapa wakati mnayo Kurani mnamaanisha nini.Kama mnaona nimesema uongo kwa nini ninyi hamuiweki nukuu hiyo ili uongo wangu ubainike.
2. Nimeshaelewa ni kwa nini mnang'ang'ania sana niiweke aya hiyo hapa.Na sasa umeweka na condition ya version ya Kurani yenyewe.Niseme tu kwamba mimi ninayo Android App ya Kurani katika simu yangu na hivi simu yangu siku ya Post ilikuwa inasumbua nikashindwa kui-link na PC yangu.Hata hivyo, ili kuonyesha kwamba nina uhakika na nilichokiandika ninakuwekeeni aya hiyo kuanzia 85-96 na aya ambazo zina maeneo ya kubishaniwa nimezi-bold:
"85. (Mwenyezi Mungu) akasema: Sisi tumewatia mtihani watu wako baada yako, na Msamaria amewapoteza.
86. Musa akarudi kwa watu wake kwa ghadhabu na kusikitika. Akasema: Enyi watu wangu! Kwani Mola wenu Mlezi hakukuahidini ahadi nzuri? Je, umekuwa muda mrefu kwenu au mmetaka ikushukieni ghadhabu ya Mola wenu Mlezi, ndio maana mkavunja miadi yangu?
87. Wakasema: Sisi hatukuvunja miadi yako kwa khiari yetu, lakini tulibebeshwa mizigo ya mapambo ya watu, basi tukaitupa. Na hivyo ndivyo alivyo toa shauri Msamaria.
88. Na akawaundia ndama, kiwiliwili chenye sauti. Na wakasema: Huyu ndiye mungu wenu, na mungu wa Musa, lakini alisahau.
89. Je! Hawakuona kuwa hakuwarudishia neno, wala hakuweza kuwadhuru wala kuwafaa?
90. Na hakika Harun alikwisha waambia kabla yake: Enyi watu wangu! Hakika nyinyi mmetiwa mtihanini tu kwa kitu hiki. Na kwa yakini Mola wenu Mlezi ni Arrahmani, Mwingi wa Rehema. Basi nifuateni mimi, na t'iini amri yangu!
91. Wakasema: Hatutaacha kumuabudu mpaka Musa atapo rejea kwetu.
92. (Musa) akasema: Ewe Harun! Ni nini kilicho kuzuia, ulipo waona wamepotea,
93. Hata usinifuate? Je, umeasi amri yangu?
94. Akasema: Ewe mwana wa mama yangu! Usinishike ndevu zangu, wala kichwa changu. Kwa hakika naliogopa usije sema: Umewafarikisha Wana wa Israil, na hukungojea kauli yangu.
95. (Musa) akasema: Ewe Msamaria! Unataka nini ?
96. Akasema: Niliona wasiyo yaona wao, nikashika gao katika unyao wa Mtume. Kisha nikalitupa. Na hivi ndivyo ilivyo nielekeza nafsi yangu.
97. (Musa) akasema: Basi ondoka! Na kwa yakini utakuwa katika maisha ukisema: Usiniguse. Na hakika una ahadi kwako isiyo vunjwa. Na mtazame huyo mungu wako uliye endelea kumuabudu - Sisi kwa hakika tutamchoma moto, kisha tutamtawanya baharini atawanyike."