Je, teknolojia ya roboti wanaoongea ilikuwepo wakati wa Musa na Haruni kama Kurani?

Je, teknolojia ya roboti wanaoongea ilikuwepo wakati wa Musa na Haruni kama Kurani?

wee umekujaa huku bila kuni-tag?? Kwani Omary aliua kafir kwenye kuunga cha mitende maka, akaja anatamba kwa baba kassim kwa kuua kafir...baba kassim alisikitika na kumwambia kwamba Jana alisilimu hivyo umemuua muislamu mwenzako...tatizo ni lile lile Wa kukufundisha kajifia! Mwenzio hata mbuzi alisema Yesu ni Mwana Wa Mungu napiga HALELUYA AMEN! jifunze kuanzia Leo Angalia UJUMBE sio MTOA NENO! sema asante mgen kwa Fundisho [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi lawama au kilio?
 
Tupe mfano Mmoja Wa kabla ya muhammad! Malaika Anaye leta Ujumbe toka Mwenyezi Mungu alimkaba mtume yeyote hadi kakojo [emoji47] [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Unashangaa malaika kukaba vip Mungu wako alipopigana MIELEKE usiku kucha na yakobo mpaka Mungu wako akacheza rafu ndio kumshinda yakobo
 
Issa hakuja na kitabu kinachoitwa Biblia. Kwanza Biblia ni nini? Ni wapi katika hiyo biblia kitabu hicho kinajieleza kuwa kinaitwa biblia. Issa alitumwa na Injili. Injili ya Issa sio yale matapu tapu ya Paul na upuuzi mwingine kwenye hicho kitabu. Issa, Ibrahim wametajwa katika Quran ni lazima Muislam aamini. Quran haitegemei biblia. Period

Sent using my NOKIA torch
Injili inapatikana kwenye Quran eti.... Hiiiiiiiiii kwa sauti ya jiwe
 
Reference yangu na zako ni tofauti, hatuwezi kuongelea hili. Simple tu.

Sent using my NOKIA torch
Mbona unajificha kwenye shamba la karanga.... Kusema tu Injili ya issa inapatikana wapi ni tatizo.... Hiiiiiiiiiiii kwa sauti ya jiwe
 
Mbona unajificha kwenye shamba la karanga.... Kusema tu Injili ya issa inapatikana wapi ni tatizo.... Hiiiiiiiiiiii kwa sauti ya jiwe
We unajua inakopatikana Injili ya Issa?

Sent using my NOKIA torch
 
Back
Top Bottom