Je, teknolojia ya roboti wanaoongea ilikuwepo wakati wa Musa na Haruni kama Kurani?

Je, teknolojia ya roboti wanaoongea ilikuwepo wakati wa Musa na Haruni kama Kurani?

Sasa huoni tofauti bado kati ya Abrahamu na Muhammad? Abrahamu alikuwa anaomba aya toka kwa wanadamu au toka kwa Mungu? Je,Muhammad alienda kuomba confirmation ya utume wake toka kwa Mungu (aliyekuwa amemtuma Malaika Gabrieli) au toka kwa kasisi Waraqahal?
sasa Confirmation ya nini kutoka kwa mungu wakati jibril alipofika utume ukawa umefika kwa Mohammad ,kwenda kwa waraqah ni hofu ya kibinadamu hakuna uhusiano wowote na utume yaani kiufupi kwenda au kutokwenda kwa waraqah hakuna uhusiano na utume, kwasababu utume kapewa na Mungu kupitia jibril.
 
1. Kwa hiyo, sasa taratibu munaanza kukubali kwamba Muhammad naye ana mkono wake katika uandishi wa Kurani! Kama Muhammad alihusika katika Compilation,ni kitu gani kinaondoa uwezekano wa yeye kuongeza maneno yake mwenyewe tofauti na yale aliyokuwa amempatia Mungu?

2. Nani ana uhakika na Fidelity ya Muhammad kwa asilimia 100% kwamba hakuweza kufanya manipulation yoyote katika Kurani? Je,ni nani atatoa uhakikisho kwamba idadi ya vitabu vilivyomo katika Kurani ndio idadi ambayo Muhammad alipewa na Mungu na kwamba yeye Muhammad hakupunguza au hakuongeza na vya kwake?

3. Je,mpaka Mungu ampe Muhammad kazi ya compilation ya Kurani ina maana Mungu hakuwa na uwezo wa kufanya hiyo compilation na kisha kumkabidhi Muhammad Kurani ikiwa tu imekamilika?
Jibu ni rahisi tu Mohammad ndio alikuwa akifikisha ujumbe wa Mungu kwa watu kiufupi Quran imeshuka kwa Mohammad kuhusu kuongeza neno hilo halipo kwasababu Mungu alithibitisha kwamba atakacho fundishwa Mohammad awezi kusahau
 
Nakushukuru kwamba umesema wewe mwenyewe kuwa Muhammad alikuwa mtu wa kawaida tu na wala hakuwa cha utume kwa sababu wote waliokuwa wanatokewa na malaika Gabrieli katika historia hawakuwahi kwenda kupata consultation toka yoyote bali Mungu mwenyewe ndiye alikuwa anajitokeza kusema fulani ameshampatia ,ufunuo. Kwa mfano ni Mama Bikra Maria.Huyu hakwenda kwa yeyote kuuliza kwamba hivi kweli manenon aliyoambiwa na Malaika Gabrieli yalikuwa yana maana gani.Pili,ni Zakaria, Abrahamu na Sara.
Mohammad ni mtu kama musa au kama Yesu hilo halina mjadala ,nimekwambia kuhusu kuuliza kwa waraqah hakuna uhusiano na utume kwasababu mtoa utume ni Mungu kupitia jibril hivyo basi alipomtokea pangoni utume ukawa umefika kwa mohamadi.
 
Write your reply...hahaha,huyu jamaa athee...sasa ndugu mleta uzi unafikiri mabandali ya vitabu yaliporomoka toka juu.? Ni kuwa baada ya kupokea ufunuo akawahita watu na kuanza kutoa ufunuo huku wao wanaandika,hii ni tofauti na bible ambayo tunaona yesu akihutubia lakini waandishi wakaja kuandika miaka hamsini baada ya tukio
 
Write your reply...mleta uzi pia kadanganya eti alietengeza sanamu kachota unyayo wa mtume,kwamba anashangaa mtume awezaje kuwepo kipindi cha moses,anaeongelewa hapo sio mohamed SAW,awezakua anamanisha moses,sasa kama hata mimi sikusomea dini naweza kuona uongo wa huyu mtu,hivi nyie mliosemea dini hamkuona?

1. Unaona jinsi munavyojichanganya sawa na Muhammad alivyojichanganya katika simulizi la kisa hicho? Musa(Moses) unayemdhania kwa Kadri ya simulizi hilo la Kurani hakuwepo wakati hilo Roboti linatengenezwa.Sasa ilikuwaje tena Moses huyo huyo ashikwe Unyayo na Msamaria?

2. Na kama Muhammad alikuwa anaambiwa na Mungu kitu cha kuandika kwa nini hakuuliza mtume huyo alikuwa nani ili kuondoa uwezekano wa watu kumdhania kwamba ni Muhammad?

3. Au Tuseme kwamba yeye Muhammad alikuwa anaogopa kumuuliza Mungu jambo lolote hadi aachilie vitu vya kuchanganya kama viandikwe?

4. Au tufikirie kwamba kwa sababu Muhammad hakujua kusoma wala kuandika ina maana hata madishi yake ya reasoning hayakuwa active kivile kuweza ku-detect kwamba jambo fulani baadaye linaweza kuzaa mkanganyiko katika jamii?
 
Mohammad ni mtu kama musa au kama Yesu hilo halina mjadala ,nimekwambia kuhusu kuuliza kwa waraqah hakuna uhusiano na utume kwasababu mtoa utume ni Mungu kupitia jibril hivyo basi alipomtokea pangoni utume ukawa umefika kwa mohamadi.

Kwa hiyo kwa kasisi Waraqahal alifuata nini kama utume wake ulianza by time akiwa pangoni?
 
Write your reply...hahaha,huyu jamaa athee...sasa ndugu mleta uzi unafikiri mabandali ya vitabu yaliporomoka toka juu.? Ni kuwa baada ya kupokea ufunuo akawahita watu na kuanza kutoa ufunuo huku wao wanaandika,hii ni tofauti na bible ambayo tunaona yesu akihutubia lakini waandishi wakaja kuandika miaka hamsini baada ya tukio

1. Uwezo huo Muhammad wa kumeza mambo yote aliompa Mungu aliutoa wapi wakati kule Pangoni alikosa kuonyesha uwezo kama huo tena kwa maneno machache tu, hata kupelekea Jibrili kumkwida?

2. Je,ikiwa Muhammad alikuwa anasimulia halafu wapambe wake wanaandika,unaondoa vipi uwezekano wa wapambe hao waandishi, kuchomekea mambo yao mengine ambayo Muhammad hakuwa amewaeleza ukizingatia kwamba Muhammad hakujua kusoma wala kuandika ili kuweza kuhakiki kile ambacho hao wapambe wake walikuwa wanaandika kama kilikuwa kinaendana na yale aliyopewa na Mungu?
 
1. Kwa hiyo, sasa taratibu munaanza kukubali kwamba Muhammad naye ana mkono wake katika uandishi wa Kurani! Kama Muhammad alihusika katika Compilation,ni kitu gani kinaondoa uwezekano wa yeye kuongeza maneno yake mwenyewe tofauti na yale aliyokuwa amempatia Mungu?

2. Nani ana uhakika na Fidelity ya Muhammad kwa asilimia 100% kwamba hakuweza kufanya manipulation yoyote katika Kurani? Je,ni nani atatoa uhakikisho kwamba idadi ya vitabu vilivyomo katika Kurani ndio idadi ambayo Muhammad alipewa na Mungu na kwamba yeye Muhammad hakupunguza au hakuongeza na vya kwake?

3. Je,mpaka Mungu ampe Muhammad kazi ya compilation ya Kurani ina maana Mungu hakuwa na uwezo wa kufanya hiyo compilation na kisha kumkabidhi Muhammad Kurani ikiwa tu imekamilika?
Kwanza ntoe shukrani zangu kwko kwa kuelewa somo lakwanza mana uliloongea hukuwa unaushahidi nalo,na nmekupa nafas km utaona au unayo aya km samiri ametajwa km ni mtu wakwenye hlo kabla hakuna andiko ulotoa niwazi hlo umeelewa sasa twende somo jngne juu y maswali yko..ila kbla cjakujibu ningeomba nijue jee wew ni muumini wa mungu nakm muumin wamungu bs wew n dini gn ili nijue natoa darasa kwmtu wa aina gani nakm piah c muumini wa mungu nijue ili twende sawa..man cyo natoa darasa la chuo kumbe upo chekechea(vidudu)naomba nijbu haraka tuanze darasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...samahani mleta uzi siwezi kukuquote,natumia analogue,sasa ndugu yangu samir alishika unyayo wa mtume kama alivyojitetea kwa msa,it could mean anything,hivi hujawahi sikia habari za watu kuchotwa nyayo.?yaani alama ya mguu iliyoachwa ardhini? Pia kuhusu mtume aliweza vipi kukalili yote aliyoambiwa na mungu,hujawahi kuona watu wanahifadhi juzuu.pia quran ilishuka step by step,leo anapokea ufunuo huu,kesho mwingine
 
1. Nimekuuliza uwezo wa Muhammad kumeza mambo aliutoa wapi wakati kule pangoni alishindwa kumeza hadi Malaika kuamua kutembeza bakora?

2.Unataka kusema Umezaji wa juzuu wa watu fulani katika Uislamu ndio benchmark ya uwezo wa Muhammad? Na kama ndivyo ina maana hata hao wameza juzuu wangalikuwapo pangoni nao wangalipokea kipigo kama Muhammad kwa sababu uwezo wao unalingana?

3. Kama wameza juzuu wao wana uwezo kuliko wa Muhammad, ndiposa nawaulizeni ni kwa nini tuondoe uwezekano kwamba Muhammad alizidiwa akili na wapambe wake (na hivi kuingiza katika Kurani mambo iirelevant) maana leo leo kuna watu wanaweza kumeza juzuu wakati Muhammad alishindwa kufanya hivyo?
 
Kwani siku ile Muhammad anashindwa kupokea ujumbe kutoka kwa Jibrili sababu ni kwamba alishushiwa mambo mengi sana au uwezo wake ulikuwa mdogo kulinganisha na yale aliyokuwa anapewa?
 
Write your reply...inawezekana who knows,maana mimi nilikuwa sijazaliwa,halafu kumbe tech ya robot ina mda sana hebu kamata hii 10. Highly Advanced Robots In
Ancient China
There are many examples of robots that
were created in ancient China.
In ancient China we come across a number
of highly advanced robots that could sing,
dance, act like servants and perform many
other surprising tasks.
Some of these remarkable robots are even
said to have possessed life-like organs
such as bones, muscles, joints, skin and
hair.
It’s a quite remarkable considering it is
only recently our modern civilization has
started to develop human-like robots.
There is no doubt mechanical engineering
in ancient China reached a very high level.
Readers of MessageToEagle.com are
familiar with the incredible ancient
machines invented by Hero of Alexandria,
or the remarkable Talos robot, but there
are many more great examples of ancient
robotics discovered in various corners of
the world.
History of robots in ancient China can be
traced far back in time. Robots existed not
only during, but also before the Tang
Dynasty (618–907 AD).
© MessageToEagle.com
 
Huyu NYABHINGI alishasema yeye aamini kitabu chochote kwasababu ni uongo hakuna alieongea na Mungu tena alishawai kusema huyo Yesu hajawai kuishi duniani kwasababu hakuna mwanahistoria yeyote aliemwandika vip ndugu mtoa mada hili unakubali? ahahahahha au kwavile leo kamponda Mohammad umemsamehe ya nyuma unashangaza kweli
wee umekujaa huku bila kuni-tag?? Kwani Omary aliua kafir kwenye kuunga cha mitende maka, akaja anatamba kwa baba kassim kwa kuua kafir...baba kassim alisikitika na kumwambia kwamba Jana alisilimu hivyo umemuua muislamu mwenzako...tatizo ni lile lile Wa kukufundisha kajifia! Mwenzio hata mbuzi alisema Yesu ni Mwana Wa Mungu napiga HALELUYA AMEN! jifunze kuanzia Leo Angalia UJUMBE sio MTOA NENO! sema asante mgen kwa Fundisho [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika Imani ya Uislam, Quran ni maneno ya Mungu. Kwa anayesadiki, maneno hayo ni ya kweli tupu. Biblia ni maandiko ya watu kama mimi na wewe. It's easy to conclude Biblia ndio ina makosa na Mungu hakosei. Na kama Mungu hakosei...Quran haijakosewa.
As long as huamini Quran ni maneno ya Mungu. You two cannot sit to discuss this topic

Sent using my NOKIA torch
Weka Ushahidi koloani ni maneno ya Mungu Mwenyezi! Tena kwa mujibu Wa Vitabu vilivyo tangulia kabla koloani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wewe Mohammad hakuwai kumuona malaika halafu kwanini asiwe na wasiwasi wakati ndio mara ya kwanza kumuona hata hili nalo kwako ni mada
Tupe mfano Mmoja Wa kabla ya muhammad! Malaika Anaye leta Ujumbe toka Mwenyezi Mungu alimkaba mtume yeyote hadi kakojo [emoji47] [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muhammad alikua mtu tu just like me and you. Hivi wewe ukitokewa na jambo kama hilo ungefanyaje? Muhammad hakujijua kama yeye ni Mtume na alikua bado hajapewa hata ayah moja ya Quran. Alipotokewa na Gabriel ndio ilikua ufunuo wake wa mwanzo.

Sent using my NOKIA torch
Nani alimpa Utume?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Unaona jinsi munavyojichanganya sawa na Muhammad alivyojichanganya katika simulizi la kisa hicho? Musa(Moses) unayemdhania kwa Kadri ya simulizi hilo la Kurani hakuwepo wakati hilo Roboti linatengenezwa.Sasa ilikuwaje tena Moses huyo huyo ashikwe Unyayo na Msamaria?

2. Na kama Muhammad alikuwa anaambiwa na Mungu kitu cha kuandika kwa nini hakuuliza mtume huyo alikuwa nani ili kuondoa uwezekano wa watu kumdhania kwamba ni Muhammad?

3. Au Tuseme kwamba yeye Muhammad alikuwa anaogopa kumuuliza Mungu jambo lolote hadi aachilie vitu vya kuchanganya kama viandikwe?

4. Au tufikirie kwamba kwa sababu Muhammad hakujua kusoma wala kuandika ina maana hata madishi yake ya reasoning hayakuwa active kivile kuweza ku-detect kwamba jambo fulani baadaye linaweza kuzaa mkanganyiko katika jamii?
Aya hiko wazi sijui hata unasoma Quran ipi iliokwambia huyo mtume ni Mohammad .Nimeshakwambia ebu tafuta neno unyayo maana yake nini ndio utaelewa tafsiri ya hiyo aya
 
1. Nimekuuliza uwezo wa Muhammad kumeza mambo aliutoa wapi wakati kule pangoni alishindwa kumeza hadi Malaika kuamua kutembeza bakora?

2.Unataka kusema Umezaji wa juzuu wa watu fulani katika Uislamu ndio benchmark ya uwezo wa Muhammad? Na kama ndivyo ina maana hata hao wameza juzuu wangalikuwapo pangoni nao wangalipokea kipigo kama Muhammad kwa sababu uwezo wao unalingana?

3. Kama wameza juzuu wao wana uwezo kuliko wa Muhammad, ndiposa nawaulizeni ni kwa nini tuondoe uwezekano kwamba Muhammad alizidiwa akili na wapambe wake (na hivi kuingiza katika Kurani mambo iirelevant) maana leo leo kuna watu wanaweza kumeza juzuu wakati Muhammad alishindwa kufanya hivyo?
Umeliza uwezo aliutoa wapi? jibu ni rahisi tu Mungu alimpa uwezo huo

87:6;" tutakufundisha(tutakusomea) wala HAUTASAHAU.

kwahiyo kila alichofundishwa kili kaa barabara kusahau ni mwiko
 
Back
Top Bottom