masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
sasa Confirmation ya nini kutoka kwa mungu wakati jibril alipofika utume ukawa umefika kwa Mohammad ,kwenda kwa waraqah ni hofu ya kibinadamu hakuna uhusiano wowote na utume yaani kiufupi kwenda au kutokwenda kwa waraqah hakuna uhusiano na utume, kwasababu utume kapewa na Mungu kupitia jibril.Sasa huoni tofauti bado kati ya Abrahamu na Muhammad? Abrahamu alikuwa anaomba aya toka kwa wanadamu au toka kwa Mungu? Je,Muhammad alienda kuomba confirmation ya utume wake toka kwa Mungu (aliyekuwa amemtuma Malaika Gabrieli) au toka kwa kasisi Waraqahal?