Je, teknolojia ya roboti wanaoongea ilikuwepo wakati wa Musa na Haruni kama Kurani?

Je, teknolojia ya roboti wanaoongea ilikuwepo wakati wa Musa na Haruni kama Kurani?

1. Baadhi ya matukio katika Kurani ndiyo proof yenyewe kwamba Muhammad alikuwa ana-desa mambo kutoka sehemu mbalimbali na kuyafanya kama yeye ndiye original source wakati sivyo.Mojawapo ni hili la sanamu ya ndama kuelezwa kwamba ilitengenezwa na msamaria wakati ukweli wa kihistoria ni kwamba sanamu ya ndama ya walioiabudu waisraeli itengenezwa na Haruni.


2. Tukio ni sanamu ya ndama na waliotengenezewa ni waisraeli.Tofauti katika kisa hicho: Mosi, ni nani alitengeneza sanamu(roboti hilo).Pili, sifa za sanamu yenyewe.Kurani inasema sanamu ilikuwa inatoa sauti,kwa maana ya kuongea.Tatu, kwamba kulikuwapo mtume aliyeshikwa unyayo na msamaria wakati wa kutengeneza sanamu hiyo. Haya mambo hayo matatu ndiyo yanabatilisha ukweli wa simulizi wa Muhammad katika Kurani, mintarafu uundwaji wa sanamu kwa ajili ya waisraeli.
Katika Imani ya Uislam, Quran ni maneno ya Mungu. Kwa anayesadiki, maneno hayo ni ya kweli tupu. Biblia ni maandiko ya watu kama mimi na wewe. It's easy to conclude Biblia ndio ina makosa na Mungu hakosei. Na kama Mungu hakosei...Quran haijakosewa.
As long as huamini Quran ni maneno ya Mungu. You two cannot sit to discuss this topic

Sent using my NOKIA torch
 
even if you say it sarcastically
the fact is whoever believes in that laughable story/stories is a damn fool (and this includes bible stories)
Not sarcastucally. The stories say Muhammad akitokewa na Malaika not God.

Sent using my NOKIA torch
 
Write your reply...wasamaria ni waisrael,walijulikana wasamaria sababu baada ya kujitenga,mji mkuu wa israel uliitwa samaria,
 
Write your reply...alietengeneza sanamu hilo sio harun,bali ni Samiri,
 
Write your reply...tofautisha samir na wasamaria samir ni jina tu.as ndama hakuongea alitoa mlio kama wa ng'ombe moo basi waisrael wakadhani kweli amekuwa alive ndo mungu akawambia hiyo sanamu haina uhai,wala haiwezi kuongea,kwahiyo it means fundi alitengeza in such a way upepo ukipuliza inatoa mlio kama vile ng'ombe na waisrael wakacheza na kurukaruka kwamba imekua hai ,ndo ikashuka aya ikisema hiyo sanamu si hai,haiongei etc
 
Samiri or the Samiri (Arabic: ﺍﻟﺴﺎﻣﺮﻱ,
translit. as-Sāmirī) is a phrase used by the
Quran to refer to a rebellious follower of
Moses who created the golden calf and
attempted to lead the Hebrews into
idolatry. According to the twentieth
chapter of the Quran, Samiri created the
calf while Moses was away for 40 days on
Mount Sinai, receiving the Ten
Commandments.[1] In contrast to account
given in the Hebrew Bible, the Quran does
not blame Aaron for the calf’s creation
and instead praises him for trying to stop
the worship of it.[2]
In the Quran
In Ta-Ha, the Quran’s twentieth surah,
Moses is informed that Samiri has led his
people astray in Moses’ absence. He
returns to his people to berate them, and
is informed of what Samiri has done.
They said, ‘We did not fail our tryst with
you of our own accord, but we were
laden with the weight of the people’s
ornaments, and we cast them [into the
fire] and so did the Samiri throw.’ Then
he produced for them a calf —a
[lifeless] body with a low— and they
said, This is your god and the god of
Musa (Moses), so he forgot! Did they
not see that it did not answer them, nor
could it bring them any benefit or
harm? Haroun (Aaron) had certainly
told them earlier, ‘O my people! You are
only being tested by it. Indeed your
Lord is the All-beneficent. So follow me
and obey my command!’
[Moses] said, “And what is your case, O
Samiri?” He said, “I saw what they did
not see, so I took a handful [of dust]
from the track of the messenger and
threw it, thus did my soul entice
me.” [Moses] said, “Then go. And
indeed, it is [decreed] for you in [this]
life to say, 'No contact.’ And indeed, you
have an appointment [in the Hereafter]
you will not fail to keep. And look at
your 'god’ to which you remained
devoted. We will surely burn it and blow
it [i.e., its ashes] into the sea with a
blast. [Quran 20:95 ]
In Islamic tradition
The Quran’s statement that Samiri’s calf
made a "lowing" sound has resulted in
much speculation. A number of Islamic
traditions say that the calf was made with
dust trodden upon by the horse of the
angel Gabriel, which had mystical
properties. Some traditions say that the
calf could also move, a property granted
to it by the dust of the “horse of life”.[3]
Other traditions suggest that Samiri made
the sound himself, or that it was only the
wind.[4] Still others say that the calf was
formed by Allah himself, as a test for the
Hebrew people.[5]
Later traditions expand upon the fate of
those who worshiped the calf. Works by
al-Tabari include a story in which Moses
orders his people to drink from the water
into which the calf had been flung; those
guilty of worshiping it were revealed
when they turned a golden hue. Moses
ordered his people to kill them, resulting
in thousands of casualties, but the
carnage stopped after Moses begged
Allah to stop the violence.[6]
Samiri's punishment has been interpreted
as total social isolation by most
 
Write your reply...it just make sense,kutengeza sanamu ya dhahabu ya mnyama ndama si kitu cha mchezo anatakiwa fundi,nijuavyo ama sidhani harun alikuwa sonara,it makes sense quran kusema alikuwepo fundi,aitwae samir ndo alitengeza huyo ndama wa dhahabu,
 
1 Kings 16:24 King James Version
(KJV)
And he bought the hill Samaria of
Shemer for two talents of silver, and
built on the hill, and called the name
of the city which he built, after the
name of Shemer, owner of the hill,
Samaria.
1 Kings 16:24 in all English
translations
24
mfalme omary wa israel ndo alinunua kilima cha samaria toka kwa shemer.na akauita mji mkuu samaria kwa heshima ya wenyeji waliomuuzia yaani washemer,kwahiyo si kweli kwamba washemer ni mchanganyiko sijui wa nini na nini bali wakazi wa hilo eneo ndo walikuwa washemer tangu mwanzo kwahiyo wakati wana wa israel wanatoka misri sidhani kama hawakupata kukutana na watu wengine njiani ukichukulia misri ilikuwa ikitawala mpaka caanan na ukiconsider umbali mfupi uliopo toka misri hadi caanan
 
Umegonga kwenyewe mkuu! Eti, mashahidi wa Muhammad katika kisa hicho cha pangoni ni mende,mijusi,panya, sisimizi, kenge, popo na nyenyere pekee! Na katika kitu cha kushangaza baada ya kutoka huko Pangoni, akaenda kwa mchungaji wa Kinestorian,aliyeitwa Waraqahal,mjomba wake na Khadija kwenda kupata uthibitisho iwapo kweli aliyeonana naye alikuwa ni Malaika.Kwani kasisi yule ndiye alikuwa Mungu hata Muhammad aamue kusadiki?[/QUOTE
Huyu bwana alishasema Yesu ajawai kuishi duniani kwasababu katika vitabu vya kihistoria ajaandikwa ,vipi unalikubali pia hili kutoka kwa NYABHINGI ?au ndio kujitia upofu silaha yeyote ata ya yule anaesema yesu hakuwai kuwepo duniani ,unakubali kwavile tu kamponda mohamadi namna hii hoja zako zitakuwa dhaifu kila siku
 
Umegonga kwenyewe mkuu! Eti, mashahidi wa Muhammad katika kisa hicho cha pangoni ni mende,mijusi,panya, sisimizi, kenge, popo na nyenyere pekee! Na katika kitu cha kushangaza baada ya kutoka huko Pangoni, akaenda kwa mchungaji wa Kinestorian,aliyeitwa Waraqahal,mjomba wake na Khadija kwenda kupata uthibitisho iwapo kweli aliyeonana naye alikuwa ni Malaika.Kwani kasisi yule ndiye alikuwa Mungu hata Muhammad aamue kusadiki?
Huyu NYABHINGI alishasema yeye aamini kitabu chochote kwasababu ni uongo hakuna alieongea na Mungu tena alishawai kusema huyo Yesu hajawai kuishi duniani kwasababu hakuna mwanahistoria yeyote aliemwandika vip ndugu mtoa mada hili unakubali? ahahahahha au kwavile leo kamponda Mohammad umemsamehe ya nyuma unashangaza kweli
 
Katika Imani ya Uislam, Quran ni maneno ya Mungu. Kwa anayesadiki, maneno hayo ni ya kweli tupu. Biblia ni maandiko ya watu kama mimi na wewe. It's easy to conclude Biblia ndio ina makosa na Mungu hakosei. Na kama Mungu hakosei...Quran haijakosewa.
As long as huamini Quran ni maneno ya Mungu. You two cannot sit to discuss this topic

Sent using my NOKIA torch

1. Ikiwa unaimini hivyo Kurani, ina maana wewe unamzidi Muhammad ambaye alipatwa na wasiwasi na maneno ya anayeaminika ni malaika Gabrieli kule pangoni hadi akaamua kwenda kumuuliza mjomba wake na Khadija,kasisi Waraqahal?

2. Je,unafikiria kwa Muhammad kutokumuani malaika Jibrili (wakati alishamwambia kuwa yeye Jibrili alikuwa ametumwa na Mola wake mlezi),inatoa tafsiri gani? Je,huoni kwamba Muhammad alitoa fundisho kwamba Kurani pekee haiwezi kusimama bila consultation?
 
Back
Top Bottom