Je, teknolojia ya roboti wanaoongea ilikuwepo wakati wa Musa na Haruni kama Kurani?

Je, teknolojia ya roboti wanaoongea ilikuwepo wakati wa Musa na Haruni kama Kurani?

Naona huna uelewa kuhusu ni nini maana ya maandiko matakatifu.Toka Yesu aondoke, watu wameandika sana juu ya ujumbe ule ule kwamba Mungu ni nafsi tatu,kwamba Yesu ni nafsi ya pili ya Mungu, aliyekufa na kufufuka na kwamba atarudi kuwahukumu wanadamu wote, akiwemo na Muhammad na kwamba Yesu hakuwahi kumtabiria Muhammad utume.Sasa fikria yote hayo yaliyoandikwa na watu maelfu, vitabu vyao vimeongezwa pamoja katika vile vya Biblia hali ingalikuwaje? Unafikiria winchi isingalitumika katika kuinyanyua Biblia?
Hilo andiko linalosema ;"Mungu ni nafsi tatu "; lilete wacha blah blah
 
[emoji23][emoji23][emoji23]awa ndugu zetu wa kuran wana matatizo sana dah kwamba roboti zilikuepo

Tatizo lao wengi watakuja kwa matusi hawana jipya ua sio wastaarabu kabsa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mwenye matusi majibu ya maswali mtayapata ila kwanza lazima tujue mnaposema mnaelewa maana ya ROBOT? ili tujue yule ndama alikuwa ROBOT au lah
 
Halafu nimeona mahali unasema mohamadi kaguswa nyayo na samaria ww mzee mbona unaleta mambo yasiyo kuwepo unafahamu tafsiri ya nyayo hapo? halafu unaweza kuthibitisha ni za mtume? nakusubir mada hii naimaliza mapema tu kama ile wadudu kuongea

Kwani katika Kurani,kuna mtume zaidi ya Muhammad anayeongelewa? Na kama sio mtume Muhammad, ni mtume gani huyo anayetajwa katika mchakato wa kuunda roboti ile ya Ndama?
 
Sio lazima uzi uchangie....Mimi hapa nimesoma uzi wote tena kwa utaratibu..nimeelewa ..sina haja ya kuchangia....
Dont matter. Hoja zake hazina mashiko. Anashangaa ndama kuongea wakati huohuo anakubali fimbo ya Musa kuwa nyoka. Tatizo akiona story kwenye Quran anaitafuta kwenye Biblia. Kama ipo tofauti basi anaona uongo. Quran haitegemei Biblia.

Sent using my NOKIA torch
 
Nimeshakwambia biblia sio rejea ya QURAN kwasababu biblia inamakosa mengi na biblia HAIJAKAMILIKI mambo mengi mmeyaacha

1. Kwa hiyo, unakiri kwamba ule uelewa kuwa unabii au utume unaodaiwa kutolewa na Biblia juu ya Muhammad ni changa la macho?

2. Na je sasa unakubali kwamba Muhammad alijipotosha kudhani Yesu aliposema kwamba angalimleta msaidizi kuwa akimumaanisha yeye Muhammad? Na kama Biblia ina makosa, ina maana yale yote inayodaiwa kuyasema juu ya Muhammad na Uislamu,imekuwa miaka yote hii ni kupoteza muda tu?
 
Mungu nafsi tatu ni uongo uliodhahiri hili halina mjadala

Mungu anasema yeye ni nafsi tatu,wewe unasema Mungu siyo nafsi tatu.Ina maana wewe na Muhammad ndiyo munamfahamu Mungu sana kuliko Mungu anavyojifahamu?

Tunasoma hivi:

“13 Wakati huo Yesu akaja kutoka Galilaya mpaka Yordani kwa Yohana ili abatizwe.14 Lakini Yohana alitaka kumzuia, akisema, Mimi nahitaji kubatizwa na wewe, nawe waja kwangu?15 Yesu akajibu akamwambia, Kubali hivi sasa; kwa kuwa ndivyo itupasavyo kuitimiza haki yote. Basi akamkubali.16 Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua, akija juu yake; 17 na tazama, sauti kutoka mbinguni ikisema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.” (Mat.3:13-17).

“16 Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele;17 ndiye Roho wa kweli; ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa kuwa haumwoni wala haumtambui; bali ninyi mnamtambua, maana anakaa kwenu, naye atakuwa ndani yenu.” (Yoh 14:16-17).

“18Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.” (Mat. 28:18-20).

Kwa nukuu hizo,Muhammad na ninyi wote, msiosadiki juu ya nafsi tatu za Mungu,ina maana nyinyi ndio mlimuumba Mungu na hivi munamfahamu vilivyo kuliko yeye anavyojifahamu?
 
Na ndio maana tunaendelea kuleta hoja zingine zaidi.

Tumewakusudia wanazuoni wa kiislamu wathibitishe kweli kwamba Mungu ndiye chimbuko la Uislamu na kama ndiye ni kweli yeye anaweza akawa amewafunulia waislamu njia ya matusi badala ya hoja na busara katika kuwajibu wale walio na mashaka na ujumbe fulani katika Kurani yake?

Ikiwa wanazuoni, wanaanza na kuishia kuporomosha matusi badala ya kujibu hoja,wanakusudia kutufundisha kwamba huo msingi wa matusi umo katika Kurani?
Hata mwisho wa dahari, usitarajie hao akina elimu akhera waje na nondo za kutosha kujibu hoja zako. Kifupi utabulia mipasho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu bwana anaisoma Quran kama gazeti la shigongo sasa nataka nimuweke sawa humu awezi kuleta uongo kama mimi nipo hai

1. Kosa sio langu bali Kurani yenyewe ilivyoandikwa.Muundo msingi wake ndio unailetea shida ya kuhojika kila inaposomwa na mwenye ufahamu wa kimantiki.

2. Usinione mimi mbaya bali Muhammad ambaye aliwaingiza katika mess kubwa kama hii.Na alivyokuwa mjanja na washirika wake,akaweka kigingi kwamba yeye hakujua kusoma wala kuandika ili vizazi vijavyo baadaye yake, vikose wa kumuangushia lawama.Kwa hiyo, mumebaki njia panda:kusema Mungu ni muongo mnashindwa; na kusema Muhammad ni muongo mnashindwa kwa sababu yeye alishawaambia hakuandika mambo hayo bali Mungu mwenyewe.
 
1. Kwa hiyo, unakiri kwamba ule uelewa kuwa unabii au utume unaodaiwa kutolewa na Biblia juu ya Muhammad ni changa la macho?

2. Na je sasa unakubali kwamba Muhammad alijipotosha kudhani Yesu aliposema kwamba angalimleta msaidizi kuwa akimumaanisha yeye Muhammad? Na kama Biblia ina makosa, ina maana yale yote inayodaiwa kuyasema juu ya Muhammad na Uislamu,imekuwa miaka yote hii ni kupoteza muda tu?
Quran. imeweka wazi unabii Upo kwenye torati sahihi na injili sahihi sio hizi zenu ambazo wakina yohana waliamua kwamakusudi wachague vya kuandika na vile wanavyoona wao aviwafai waviache hata kama alifanya yesu
 
1. Kosa sio langu bali Kurani yenyewe ilivyoandikwa.Muundo msingi wake ndio unailetea shida ya kuhojika kila inaposomwa na mwenye ufahamu wa kimantiki.

2. Usinione mimi mbaya bali Muhammad ambaye aliwaingiza katika mess kubwa kama hii.Na alivyokuwa mjanja na washirika wake,akaweka kigingi kwamba yeye hakujua kusoma wala kuandika ili vizazi vijavyo baadaye yake, vikose wa kumuangushia lawama.Kwa hiyo, mumebaki njia panda:kusema Mungu ni muongo mnashindwa; na kusema Muhammad ni muongo mnashindwa kwa sababu yeye alishawaambia hakuandika mambo hayo bali Mungu mwenyewe.
Tunakuchukulia ww kama mwanafunzi unaejifunza QURAN kwahiyo ukileta maandiko bila kujua kilichokusudiwa hilo ni tatizo lako
 
Hata mwisho wa dahari, usitarajie hao akina elimu akhera waje na nondo za kutosha kujibu hoja zako. Kifupi utabulia mipasho

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ni maneno ya watu wenye hasira lakini nakuhakikishia mtoa mada awezi kuzungumza chochote hapa nimemuuliza swali dogo hata ww mkristo mwenzake unaweza msaidia , hivi ROBOT ni kitu gan? hili swali linaweza maliza mada yenyewe
 
Waislamu mnapofundishwa kwamba Yesu alijifisha msalabani na baadaye kuzinduka alipopelekwa kaburini huwa mnaoongea mazuri ya wakristu au yale munayoyaona yana udhaifu? Hivi waislamu munapofundishwa kwamba Mungu hawezi kuwa na mwana kwa sababu hana mke kama alivyokuwa Muhammad,huwa mnaongea mazuri ya wakristo au madhaifu yao?
Kwanza hakuna sehemu katika quran inayosema Isa/ Yesu alikufa msalabani na pili suala la kuwa mungu ana mtoto hakuna. Kwa hiyo muislam akiongea hivyo huwa anaongea kutokana na kitabu chake. Na muislam kuhoji huko inatoka na kusoma bible, km umezaliwa zamani kidogo km mm utakumbuka kuwa tulikuwa tunagaiwa bible mitaani bure hapo dsm na leo hata kwenye magesti zipo zimejaa. Tofauti ya sasa na kipindi hicho ni kuwa tulikuwa tunasoma kweli so ukija kutufundisha kuhusu mungu kuwa na mtt au yesu kufa msalabani inabidi ujipange coz hata kwenye bible kuna hiyo contradiction ya hivyo vitu. So mtu anakupa aya kwa aya ili uthibitishe, tofauti na wewe unaye mention tu so hatujui kuwa kweli au fix zako km ulivyofanya kwenye mada ulizo tanguliza za jua na milima.
 
Unaona ulivyo masikini wa fikra? Uliona wapi kitabu cha histort kikawa reference ya kitabu cha Physics? Mkristo haamini Quran na Mwislam haamini Biblia sasa unatoaje reference hapo.

Mimi ni mzaliwa wa hapa Tanzania najua kuhusu Quran na najua kuhusu Biblia. Sio lazima kuwa Mwislam kuweza kuitambua Quran. Kwani wewe unayendika mada za uislam ni muislam?

Unachokibishia hakina mashiko. Wewe unasema Muhammad amesema. Waislam wanaamini Mungu ndio alisema. Are u two talking about a common thing? Kwa hiyo kimjadala.....Muhammad hajasema. Kwa hiyo hakuna mjadala. Mpuuzi wewe.

Sent using my NOKIA torch
mkuu acha hasira
sometimes mtu anaonekana mjinga kuamini tu unachoambiwa
hivi mtu anaanzaje kukwambia kaongea na mungu pangoni akiwapeke yake na wewe unaamini!!!!!
 
Dont matter. Hoja zake hazina mashiko. Anashangaa ndama kuongea wakati huohuo anakubali fimbo ya Musa kuwa nyoka. Tatizo akiona story kwenye Quran anaitafuta kwenye Biblia. Kama ipo tofauti basi anaona uongo. Quran haitegemei Biblia.

Sent using my NOKIA torch
Mimi namsubir aje aniambie maana ya ROBOT ? maana hata mlango wangu chumbani unatoa sauti nikiufungua
 
Back
Top Bottom