Carnivora
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,650
- 6,015
Tatizo wewe una kejeli umekuwa huna maana. Mpumbavu mmoja tu hivi.Au unaiongelea ile injili ile ambayo Muhammad alichukua nafasi Roho Mtakatifu?
Sent using my NOKIA torch
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo wewe una kejeli umekuwa huna maana. Mpumbavu mmoja tu hivi.Au unaiongelea ile injili ile ambayo Muhammad alichukua nafasi Roho Mtakatifu?
Kwa akili yako ya kawaida sanamu na robot ni sawa?Sijakosea chochote.Kinachoongelewa hapo ni sanamu wa ndama.Sasa, sanamu ina tofauti na roboti?
Wewe si umeukana uislamu....??Wewe sio wa kwanza kupinga Uislam na Muhammad na hautakuwa wa mwisho asilani. Tunaojua hizo dini tunakuangalia halafu tunasema hiiiiiiiiiiiii ( kwa sauti ya Mkulu).
Muhammad hajasema chochote katika Quran. Mungu hana nafsi 3.....huu ni uongo wa hali ya juu...mnaamini kibubusa tu.
Sent using my NOKIA torch
Muhammad hajasema chochote katika Quran. Mungu hana nafsi 3.....huu ni uongo wa hali ya juu...mnaamini kibubusa tu.
Sent using my NOKIA torch
mkuu mimi nakushauri kabla ya kutafuta mada za kubishana kuhusu masuala ya dini jitahidi sana kutafuta kwa undani ni lipi hasa chimbuko la dini na watu kuabudu mungu ukiyajua hayo sidhani kama hata hizo mada zako za kijinga utaweza kuzileta hapa, ni ukweli usiopingika uislamu unayo majibu ya kutosha na ya kushibisha kwa wale wenye akili na wenye nia ya dhati ya kutaka kuufahamu ukweli, lakini problem yako wewe unawatafuta watu shari na utaipata.
Nahisi kama sio wewe basi mjinga mmoja kama wewe aliwahi kupost vitu kama hivi vinalivyouliza kuhusu jua, na lingine kuhusu milima kuwa vigingi. Na nilimjibu hadi alikimbia, tukatangaza ushindi.
Kwa kuanza, upo biased sana kaka kwa kutaka kuonyesha madhaifu ya quran siku zote bila ya mazuri. Mfano katika nukuu zako za aya ulizotoa, za bible umenukuuu mstari kwa mstari ila kwenye quran hukufanya hivyo so inaonyesha jinsi usivyojiamini na usivyotaka kutenda haki ili tutoe ufafanuzi vizuri.
La pili lazima ujue, ndani ya quran kuna Zaburi, Torat, injili na furkan au quran yenyewe aliyoteremshiwa Muhmad(saw). So kuna mfanano kwa kuwa waislam tuna amini kuwa hao wote kabla ya muhamad ni wajumbe wa mwenyezi Mungu. Na hizo ni simulizi zimeletwa kwenye quran ili iwe ni mafundisho na mifano kwa kizazi cha enzi ya mtume na cha sasa. Hakuna sehemu yoyote quran imefanana na matendo, luka wala wakolitho. Kwankuwa hayo si maneno ya Mungu. Angalia vizuri utaona yanaanza na adress kama barua ya mtume paulo kwa wakolitho.
Ndio maana hata yesu alisema amekuja kutimilza na sio kutengua kile cha torati.
Weka sawa aya zako ili ujibiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Quran na biblia ni kama jumba la dhahabu kwa nje linapendeza kuliangalia ila ikiingia ndani unakuta kuna mchanganyiko wa almasi na vyumba vyenye kutu nyingi na wenye jumba hilo wanasema kuna almasi peke yake
Mtoa mada upo vizuri kufungua akili za watu upate kujua ukweli maana biblia inasema itafuteni kweli kwa maana kweli itawaweka huru
ila inaonekana upo kishabiki sana hata siku moja biblia haiwezi kupona kama quran ina hadithi za uwongo maana katika mada zako unaelezea vizuri sana ila tatizo unamaliza kila kitu mwenyewe baada ya kuwachia watu watoe mawazo yao
ila kiuhalisia quran na biblia ni vitabu kama riwaya za kusadikika nchi iliyopo angani vimejaa uwongo sana
Lete uzi kuonyesha uongo wa Biblia na watu tutajibu.Mimi nimehitimisha mada yangu kwa kuuliza tu na wala hakuna mahali nilitoa hitimisho.Nimebandika maswali kibao hapo na hivi ni wajibu wa wanazuoni kutoa majibu.
Kabla ya yote jiulize biblia kaandika nani? mwaka gani? na huyo muandishi wakati anaandika alikuwa ktk mazingira gani? lengo la kundika biblia ni kuwalenga jamii gani?
Kwa hiyo wewe unaandika hizi nyuzi kuwajibu hao wanazuoni waliondika machapisho? Kwani wao waliandika humu? Wapo humu? Umeambiwa humu kuna wanazuoni unaowatafuta? Wewe umekaa kishabiki na kejeli....hautafanikiwa kamwe?Kwa hiyo, unakiri kwamba wanazuoni wa kiislamu, walioandika machapisho lukuki kuwaponda wakristu kwa kuamini kuwa Mungu ana nafsi tatu,kwamba Yesu ni mwana wa Mungu na ni Mungu na kwamba Yesu alikufa kweli msalabani na wala hakujifisha,kuwa wanazuoni hao walikuwa wamekosa kazi za kufanya na kwamba walifanya hivyo kwa kujitafutia mlo wa kila siku tu? Na kama ndivyo, kwa nini hujachukua hatua kuomba msamaha kabla ya kufanya condemnation kwa wakristu, katika nao kuhoji utume wa Muhammad?
Soma tena uelewe. Mungu nafsi 3 is DOGMA. TRINITY OF GOD IS A DOGMAKwa hiyo, sasa unakubali kwamba Mungu ni nafsi tatu na kwamba Yesu ni nafsi ya pili ya Mungu?Na sasa unasadiki kwamba Yesu ndiye atakayewahukumu wanadamu wote akiwemo na Muhammad? Na je sasa unakiri kuwa kumbe Muhammad amewapotosha waislamu miaka yote hii kwa kuwaandikia katika Kurani kuwa Mungu hana nafsi?
Biblia sio Kitabu kimoja bali mkusanyiko wa vitabu vipatavyo 72 au 73.Na kila Kitabu kina mwandishi wake.Na kila mwandishi alikuwa aliandika katika mazingira yake na kwa hadhira fulani kwa kusudi la kuwasilisha maudhui fulani.Mkuu, Umeelewa sasa?
Kwanini leo hakuna wengine wanaoandika vitabu vikoangezwa kwenye Biblia? Tatizo nini?Biblia sio Kitabu kimoja bali mkusanyiko wa vitabu vipatavyo 72 au 73.Na kila Kitabu kina mwandishi wake.Na kila mwandishi alikuwa aliandika katika mazingira yake na kwa hadhira fulani kwa kusudi la kuwasilisha maudhui fulani.Mkuu, Umeelewa sasa?
Ndio hao namanisha kwa kuanza walioandika agano la kale hasa kitabu cha genesis
Kiliandikwa lini ? mwaka gani? na ilikuwa kuwalenga watu wa jamii ipi?
Mwanzoni niliona nikusaidie tu lakini mjadala huu ni juu ya Roboti la Ndama kutengenezwa na msamaria.Hebu anzisha uzi na ujenge hoja huko kuliko kuja kwa kudonoadonoa hivi.