Je, teknolojia ya roboti wanaoongea ilikuwepo wakati wa Musa na Haruni kama Kurani?

Je, teknolojia ya roboti wanaoongea ilikuwepo wakati wa Musa na Haruni kama Kurani?

Mimi sitakujibu chochote katika hayo maswali yako sababu hutaki kufahamu ila unataka kubishana. Nikuulize, mada yako ya jana kuhusu ndege kuongea ulipata majibu? Kama hujapata basi yanini kuuliza mengine?

Basi wewe ni mjuzi sana. Umewashinda waislam wote. Haya jipongeze kwa bia na kitimoto niletee risiti nitalipa.

Sent using my NOKIA torch

Asante sana mkuu kwa kunitakia matashi ya kuendelea kutumia Kitimoto.Hata Mtume Muhammad alikuwa anapendelea sana nyama ya Kondoo hadi wayahudi walipogundua hilo,wakaamua kumtumia mwana mama wa Kiyahudi kumumaliza kwa kumchinjia mtume Kondoo na kuipika vizuri na kisha kuipaka sumu na mtume akiisha kujiburudisha nayo ikamumaliza taratibu.Basi,acha tu na mimi Kitimoto, ikiwezekana kinimalize lakini sitakiacha.
 
Ndivyo ulivyofundishwa, sishangai. Hata kule jabal Hiraa mnafundishwa alitokewa na jini....hamuwezi kulingana kamwe.

Sent using my NOKIA torch
 
Lau kama ungejenga hoja zako bila kuweka hisia zako ungestahili kujibiwa kwa hoja, vinginevyo ni kukuacha tu kwa maana akili yako umeiandaa ktk hali ya upinzani na kudhalilisha.

Mtume Muhammad swallallah alaih wassalam hakufanya hiyana wala hakuna alichobuni, hata hivyo Quran haikuandikwa na yeye...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

1. Kwa hiyo,sasa lawama munamtupia Mungu kwa kumpatia Muhammad mambo ambayo leo yanamfanya Muhammad apate lawama bure?

2. Lakini Muhammad anajivuaje lawama hizi? Mbona kule pangoni Hira, alipopewa kipondo na Malaika Jibrili kwa kuwa na "kichwa cha Nazi", alichukua hatua ya kwenda kuwauliza wakristu,kwa namna ya pekee, Kasisi Waraqahal,mjomba wake na Khadija,iwapo kweli yule aliyeshughulika kule pangoni, alikuwa malaika?

3. Ni kwa nini mtume hakuendelea na approach kama hiyo hasa pale alipokuwa anateremshiwa mambo mengine yaliyokuwa na ukakasi, kama hili la Roboti la Ndama anayeongea?
 
Ndivyo ulivyofundishwa, sishangai. Hata kule jabal Hiraa mnafundishwa alitokewa na jini....hamuwezi kulingana kamwe.

Sent using my NOKIA torch

Siyo, tunavyofundishwa bali ndivyo inavyosema "Postmoterm report" ya kifo chake mtume kwamba aliuawa kwa sumu.Kwani wewe unafahamu kifo cha Mtume kilitokana na nini?
 
1. Kwa hiyo,sasa lawama munamtupia Mungu kwa kumpatia Muhammad mambo ambayo leo yanamfanya Muhammad apate lawama bure?

2. Lakini Muhammad anajivuaje lawama hizi? Mbona kule pangoni Hira, alipopewa kipondo na Malaika Jibrili kwa kuwa na "kichwa cha Nazi", alichukua hatua ya kwenda kuwauliza wakristu,kwa namna ya pekee, Kasisi Waraqahal,mjomba wake na Khadija,iwapo kweli yule aliyeshughulika kule pangoni, alikuwa malaika?

3. Ni kwa nini mtume hakuendelea na approach kama hiyo hasa pale alipokuwa anateremshiwa mambo mengine yaliyokuwa na ukakasi, kama hili la Roboti la Ndama anayeongea?
Nimekuambia huna hoja za kustahili kujibiwa, sasa hizo lawama umezinukuu kutoka kwa nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi:

Baadhi ya Wanazuoni wa Kiislamu hawataki kukubali kwamba Kurani ina maelezo au masimulizi ya visa ambavyo ama havikuwahi kutokea katika historia ya maisha ya mwanadamu au kwamba visa hivyo haviko kama vinavyoelezwa na Kurani yenyewe.

Leo,ninacho kisa kingine kinachomuhusu Musa na Kaka yake, Haruni, wakiwa na wanaisrael.Kisa hicho, tunakikuta katika Biblia,Agano la Kale,Kutoka Kitabu cha Kutoka 32:1-10:

“1Hata watu walipoona ya kuwa Musa amekawia kushuka katika mlima, wakakusanyana wakamwendea Haruni, wakamwambia, Haya! Katufanyizie miungu itakayokwenda mbele yetu, kwa maana Musa huyo aliyetutoa katika nchi ya Misri hatujui yaliyompata.2 Haruni akawaambia, Zivunjeni pete za dhahabu zilizo katika masikio ya wake zenu, na wana wenu, na binti zenu, mkaniletee.3 Watu wote wakazivunja pete za dhahabu zilizo katika masikio yao, wakamletea Haruni.4 Akaipokea mikononi mwao akaitengeneza kwa patasi, akaifanya iwe sanamu ya ndama kwa kuiyeyusha; nao wakasema, Hiyo ndiyo miungu yako, Ee Israeli, iliyokutoa katika nchi ya Misri.5 Naye Haruni alipoona jambo hili, akajenga madhabahu mbele yake; Haruni akatangaza akasema, Kesho itakuwa sikukuu kwa Bwana.6 Wakaondoka asubuhi na mapema, wakatoa dhabihu, wakaleta sadaka za amani, watu wakaketi kula na kunywa, wakaondoka wacheze.7 Bwana akamwambia Musa, Haya! Shuka; kwa maana watu wako uliowatoa katika nchi ya Misri wamejiharibu nafsi zao,8 wamepotoka upesi kuiacha ile njia niliyowaamuru, wamejifanyizia ndama ya kuyeyusha wakaiabudu na kuitolea dhabihu, wakasema, Hiyo ndiyo miungu yako, Ee Israeli, iliyokutoa katika nchi ya Misri.9 Tena Bwana akamwambia Musa, Mimi nimewaona watu hawa, na tazama, ni watu wenye shingo ngumu10 basi sasa niache, ili hasira zangu ziwake juu yao, niwaangamize, nami nitakufanya wewe uwe taifa kuu.”

Kurani na yenyewe katika Sura Ta Ha 20: 85-96,inasimulizi lile lile, ila ambalo inaonekana limefanyiwa editing kidogo.Tofauti na inavyoelezwa katika Biblia,katika Kurani Muhammad, anasema aliyewatengenezea Waisrael sanamu ya Ndama huyo ni Msamaria mmoja,ambaye hamtaji jina.Kitu kingine ambacho Muhammad anakisema kuhusiana na kisa hicho, ni kwamba sanamu hiyo ya Ndama ilikuwa na uwezo wa kuongea!Jambo la tatu, ni kwamba eti Mungu ndiye aliyewatega waisrael kuona kama ni wavumilivu,hasa baada ya Musa kuwa amewaacha Waisraeli na kaka yake Haruni,kwa muda mrefu bila kurudi.

SASA, Wasamaria ni akina nani?

Wasamaria wanatajwa kuwepo baada ya utawala wa Israeli kwa upande wa Kaskazini katika Palestina kuangukia mikononi mwa dola ya Assyria mnamo mwaka 722KK na hiyo ni kama karne saba baada ya Musa kuondoka duniani.

Wasamaria ilikuwa ni jamii ya watu waliokuwa wakiishi katika Dola ya Kaskazini mwa Israeli(Northern Kingdom of Israel).Samaria ni jina la mji uliokuwa makao makuu ya Dola hiyo (Ufalme huo) na hivi watu walioshi katika dola hiyo ya Samaria waliitwa Wasamaria.Mji wa Samaria, ulikuwa katikati ya mji wa Galilaya (kwa upande wa kaskazini) na mji wa Yudea(kwa upande wa Kusini).Wasamaria kwa rangi walikuwa mchanganyiko wa Wayahudi na uzao wa wapagani(racially mixed society with Jewish and pagan ancestry).

Kiimani pamoja na kwamba,wasamaria walikuwa wakimuabudu YAHWEH(Mungu, kama Wayahudi walivyokuwa wakimuita), sawa na wayahudi walivyofanya,dini yao haikuwa dini kuu ya Kiyahudi(mainstream Judaism).Wasamaria walikuwa wakivikubali vitabu vitano tu kati ya orodha ya vitabu viliyokuwa vikikubaliwa, na Hekalu lao lilikuwapo katika Mlima Gerazimu(Gerazim) badala ya lile Hekalu la Kiyahudi lililokuwa katika Mlima Sioni,kule Yerusalemu kama tusomavyo katika Injili ya Yohana 4:9,20-21:

“9Basi yule mwanamke Msamaria akamwambia, Imekuwaje wewe Myahudi kutaka maji kwangu, nami ni mwanamke Msamaria? (Maana Wayahudi hawachangamani na Wasamaria.20 Baba zetu waliabudu katika mlima huu, nanyi husema ya kwamba huko Yerusalemu ni mahali patupasapo kuabudia. 21Yesu akamwambia, Mama, unisadiki, saa inakuja ambayo hamtamwabudu Baba katika mlima huu, wala kule Yerusalemu.”

Wasamaria wa nyakati za Yesu walikuwa wakiamini kwa dhati juu ya Mungu mmoja kuliko hata Wayahudi wenyewe na namna fulani walikuwa wameshika sana sheria za Musa kuliko hata Wayahudi,kwa namna ya pekee,suala la Sheria za Sabato.Tofauti ya Wayahudi na Wasamaria ilikuwa ni kwamba wayahudi hawakuruhusiwa kutamka jina takatifu la la Mungu “YAHWEH” katika viapo isipokuwa aliyeruhusiwa kufanya hivyo alikuwa Kuhani Mkuu tu,tena akiwa huko patakatifu pa patakatifu,tena mara moja kwa mwaka na hiyo ilikuwa katika siku ile ya toba ya taifa (ndiyo,Yom Kippur). Wasamaria wao kutamka jina takatifu “YHWH” (soma “YAHWEH” ) kwa sauti au kimya kimya halikuwa tatizo hata kidogo.`

Kwa hiyo, Wayahudi wote wa kawaida hawakuwa na ruhusa na hata leo bado hawaruhusiwi kusoma, si kwa sauti tu wala kimya kimya,herufi za jina takatifu la Mungu, YHWH, kwa sababu ya utakatifu wa jina la Mungu wao. Kwa nini? Kwa sababu kuzisoma bure bure kungelingana na utovu wa heshima kwa Mungu mkuu na kuivunja amri ya Mungu ya kutolitaja bure jina lake, DECALOGUE. Ndiposa, ilikuwa marufuku na bado ni marufuku kabisa Myahudi wa kawaida kuzisoma na kuzitamka herufi hizo.

Kwa hiyo,kutokana na wasamaria kuonekana hawashiki sawa sawa dini ya Kiyahudi na kwamba walikuwa na vinasaba vya damu ya kipagani,basi walikuwa wakidhauriwa na kutengwa na wayahudi wa Kawaida.Na ndiyo maana utashangaa kwa nini wayahudi walipokuwa wakisafiri kutoka Yudea kwenda Galilaya au Galilaya kwenda Yudea,walilazimika kuvuka mto Jodani kisha kuambaaambaa ng’ambo ya Jodani na kisha kuvuka tena mto Jodani walipokaribia kufika Galilaya au Judea ili kukwepa kupitia ardhi ya Samaria kwa kukwepa wasije wakanajisika. Kwa hali hiyo,wayahudi hawakuchangamana na wasamaria na walijengeana chuki au uhasama dhidi ya Wayahudi wa kawaida. Ni kutokana wasamaria na ni kwa mazingira haya,ndiyo kisa hata Yesu alinyimwa sehemu ya kulala katika Kijiji kimoja walipokuwa wakiishi Wasamaria, kwa sababu tu ya Uyahudi wake na wala si kwa sababu hakuwa na uwezo wa kulipia sehemu hiyo.Soma Luka 9:51-56:

“51 Ikawa, siku za kupaa kwake zilipokuwa karibu kutimia, yeye aliukaza uso wake kwenda Yerusalemu;52 akatuma wajumbe kutangulia mbele ya uso wake; wakaenda wakaingia katika kijiji cha Wasamaria, ili kumtengenezea mahali.53 Lakini wenyeji hawakumkaribisha kwa vile alivyouelekeza uso wake kwenda Yerusalemu.54 Wanafunzi wake Yakobo na Yohana walipoona hayo, walisema, Bwana, wataka tuagize moto ushuke kutoka mbinguni, uwaangamize; [kama Eliya naye alivyofanya]?55 Akawageukia, akawakanya. [Akasema, Hamjui ni roho ya namna gani mliyo nayo.]56 Kwa maana Mwana wa Adamu hakuja kuziangamiza roho za watu, bali kuziokoa.Wakaondoka wakaenda mpaka kijiji kingine.”

Maswali ya Kujiuliza:

  • Je,Muhammad anaposema kuwa Msamaria alimshika Unyayo,anataka kuieleza na kuiaminisha jamii ya Kiislamu kwamba wakati sanamu ya ndama huyo inatengenezwa yeye alikwisha kuzaliwa, hata iwezekane kwa huyo msamaria kumshika unyayo kabla ya kumuunda ndama huyo?

  • Kwa namna inavyosimuliwa katika aya hiyo nukuliwa ya Kurani,mbona inatoa tafsiri kuwa yeye Muhammad alikuwa sehemu ya mchakato wa kuwezesha kuundwa kwa sanamu hiyo baada ya kuwa ameguswa unyayo wake? Na kama ndivyo,je,Muhammad haoni kama na yeye alikuwa ni sehemu ya kumkufuru Mungu sawa na yule msamaria?

  • Je,ikiwa Muhammad ni mtume wa mwenyezimungu (na msamaria aliwaundia waisrael sanamu iliyochukua nafasi ya Mungu, jambo ambalo ni kufuru),iliwezekanaje kwa Muhammad kukubali kushikwa unyayo na msamaria ambaye alikuwa na nia ovu ya kuwapotosha waisrael kwa kuwaundia kikaragosi cha Mungu?

  • Je, simulizi la Kisa hiki nalo limetumia lugha ya picha kama ilivyo katika kisa cha ndege na mchwa kutumika kama wanamgambo, kama tulivyoelezwa na wanazuoni wa Kiislamu katika mjadala uliopita, wa Ndege kutumika kama maaskari katika vita?

  • Je,kwa kuchukulia kweli kwamba msamaria ndiye aliyeunda roboti ya ndama iliyokuwa inaongea,msamaria huyo alikuwa na nguvu za kutenda miujiza? Na kama msamaria hakuwa na uwezo huo wa kimiujiza,je, alitumia tekinolojia gani wakati huo kuweza kuunda sanamu iliyokuwa inaoongea?

  • Historia inaonyesha Muhammad alizaliwa mwaka 570BK na kufariki dunia mwaka mnamo tarehe 8 Juni 632BK. Na Musa na Haruni(pamoja na huyo msamaria aliyetengeneza roboti la Ndama), waliishi miaka mingi sana kabla ya Yesu. Je,iliwezekanaje kwa huyo msamaria kuweza kumshika mtume unyayo katika mchakato wa kuliunda lile roboti wakati Mtume(Muhammad) hakuwa amezaliwa bado?

  • Je,kwa kadri ya historia ya uhasama kati ya Waisraeli na Wasamaria,na iwapo tukizingatia maelezo ya Muhammad, iliwezekanaje kwa Waisraeli kuweza kuchangamana na huyo msamaria, hata waweze kukubali kutengenezewa sanamu(roboti) na adui yao?

  • Kwa kuwa Kurani ni maneno ya Mungu yaliyoshushwa moja kwa moja kwa Muhammad(bila editing yoyote) toka kwa Mungu,je, kwa kisa hiki ambacho imeonekana ni uongo wa kihistoria,ni nani muongo?Ni Mungu anayedaiwa kumpelekea Muhammad Kurani au ni Muhammad tu ndiye alijisingizia kuwa Kurani ni maneno ya moja kwa moja,ambayo hayahaririwa,toka kwa Mungu?
Kwa maswali haya pamoja na mengineyo munayoweza kuongezea,nawakaribisheni,sasa kwa mjadala.

Mkuu huna hoja na inaonekana watu kama nyinyi Ndio mnaowaziba macho wenzenu wasione mbele.
Nasikitika uliponukuu agano la kale uliandika aya zote kama zilivyo
Chakushangaza... Uliponukuu Qur'an aya 85-96 umeishia kwenye kuwataja wasamaria tu na maneno yako ya mjazo
Ingependeza ikiwaungenukuu Qur'an aya zote 11 bila kuongeza wala kupunguza
Sisi waislamu Hua hatusomi kibubusa kama wewe. Rudi tena kaangalie zile aya vizuri kisha uje tena na hoja za robots.
85. Alisema (Mwenyezi Mungu), Basi
hapana shaka sisi hakika tumewafanyia
mtihani jamaa zako (kwa kuabudu
ndama ulipo ondoka) na kuwapoteza
wao Samiriy.
86. Basi alirudi Musa kwa jamaa zake
ilhali amekasirika mwenye huzuni nyingi.
Alisema enyi jamaa zangu, je
hakuwaahidi Mola wenu waadi mzuri
(kwa kuwateremshia Taurat) Jee!
Uliwapitia nyinyi muda mrefu (hata
mukausahau waadi) au mulitaka
iwafikie adhabu itokayo kwa Mola wenu
na mkaukhalifu waadi wangu.
Ungefanya kama hivyo ili tuone wapi Muhammad ametajwa na huo unyayo wake.

Acha kuzingua watu wameshindwa watu kweli kuchalenji juu ya Qur'an sembuse wewe. Quran sio biblia kama utafsiri utakavyo wewe na kugeuzageuza maneno.

Rudia tena uzi wako halafu ufanye km nilivyokuelekeza ili tuje na majibu ya maswali yako ambayo kimsingi yanaonesha wazi unachuki na Muhammad.

FIKIRI NDIPO UTENDE....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza hapa umekosea....waislam hawategemei biblia kuthibitisha utume wa muhammad. Quran yenyewe inamueleza muhammad ni nani.

Sent using my NOKIA torch

Inaelekea Uislamu umeingia juzi juzi na hivi hata huelewi wanazuoni wa Kiislamu waliokubuhu katika Teolojia ya kiislamu, wanasema ni nini katika kuthibitisha utume wa Muhammad.
 
Wewe, mbona hujaweka hapa hiyo nukuu yote ili tuone kama haina aya ya Mtume kushikwa unyayo? Mimi sio mtu wa kutunga vitu visivyokuwepo.Ili kukata mzizi wa fitina nitaiweka hiyo nukuu nzima hapa.
 
Inaelekea Uislamu umeingia juzi juzi na hivi hata huelewi wanazuoni wa Kiislamu waliokubuhu katika Teolojia ya kiislamu, wanasema ni nini katika kuthibitisha utume wa Muhammad.
Im more than what u think bro

Sent using my NOKIA torch
 
Nimekuambia huna hoja za kustahili kujibiwa, sasa hizo lawama umezinukuu kutoka kwa nani?

Sent using Jamii Forums mobile app

Lawama kwamba Muhammad hakuandika chochote, isipokuwa Mungu ndiye aliyefanya hivyo.Hivi ni kwa sababu Muhammad alifikiri Mungu haonekani kwa senses ndio kisa aliamua kumutwisha mzigo ili kukwepa maswali kama haya?
 
Wewe mpumbavu tu unayetafuta maarufu. Kuna mwenzio mgen mpaka leo hajafanikiwa lolote seuze wewe? Acheni upuuzi wenu.

Sent using my NOKIA torch

Ninakushaurini uendelee kuwa na bando tu.Bila shaka utaelewa baadaye kuna waislamu wanaona mantiki katika nyuzi hizi tofauti na wewe unavyochukulia posts hizi.
 
Huyu mtu si wa kumjibu kwasababu ni mjinga. Kama angelikuwa anasema kweli hiyo aya ya Quran aliyoirejea ange paste hapo kwenye bandiko lake kama alivyopaste aya za biblia. Kimsingi huyu mtu ana hofu kubwa kuwa kumekuwepo wimbi kubwa la watu wa dini mbalimbali kuupokea uislam, kwa hivyo anawapotosha hao wasioujua uislam ili wasiupokee. Infact yeye si wa kwanza na wala hatakuwa wa mwisho kuwa mpotoshaji kwani wamekuwepo enzi na enzi wapotoshaji kama yeye. Ni vema kusimamia haki kuliko kupotosha, mchamungu yeyote husimamia ukweli hata kama aliyembele yake ni adui yake hawezi shuhudia uongo juu yake. Mtu huyu anashuhudia uongo waziwazi kwasababu tu ana uadui na uislam, Hana taaluma yoyote ya dini bali ni mshabiki wa dini aliyejazwa ujinga wa vijiweni

Kiuhalisia biblia kamwe haiwezi kuithibitisha quran, quran inajisimamia yenyewe, inaeleza mengi ambayo kwenye biblia hayapokabisa au mengine yametofautiana. Quran inaeleza kuwa Ismail ndio aliyetakiwa kutolewa Sadaka lkn biblia inasema Isihaka ndiye aliyetakiwa, Quran inasema yesu si MUNGU biblia imeng'ang'ania yesu ni MUNGU! Hivi ni vitabu viwili tofauti kabisa na kamwe kimoja hakiwezi kuwa rejea ya kingine. Quran inajisimamia yenyewe na ina visa vingi ambavyo kwenye biblia havimo kabisa.

Tumuepuke mpotoshaji huyu asiyejua dini na imani maana yake nini na nini tofauti yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifa za sanamu zinazo abudiwa kama miungu zimetajwa katika Biblia. Sasa hapa ni dhahiri huyu mtume Muhamad SAW hakuielewa hata hiyo taurati ya Mussa ndio maana akatoka na uongo.

Lakini ukisoma Biblia kuna mahali Bwana Yesu alisema yeye alikuwepo hata kabla ya huyo Ibrahimu kuwepo.

Ndiposa Muhamad SAW akataka kugeza hii kauli. Lazima kujua kuwa mungu ndama ni shetani aliye kuwa akiabudiwa kule misri na wana waisrael walijifunza hivyo wakiwa hapo utumwani. Hivyo kumuomba Haruni awatengenezee libaali la ndama hawakukosea ni kitu walicho kijua.

So Muhamad SAW na yeye alitaka kuonesha kuwa alikuwepo kabla ya mungu ndama/sanamu la shetani kutengenezwa na wana wa Israel. Lakini akamisi pointi muhimu kuwa kwenye taurati ya Musa Mwenyezi Mungu alisha sema sifa za miungu masanamu/mabaali. Moja wapo ikiwa kuwa yana vinywa lakini hayaongei.
 
1. Kwa hiyo,kwa kuwa Ismaili(Ishamaeli) ndiye aliyetakiwa kutolewa sadaka,kwa hiyo yeye ndiye aliyempa Muhammad habari za Roboti wa Ndama kuundwa na msamaria?

2. Kurani imekuja miaka 500 baada ya Biblia,je inakuwaje Kurani ndio iwe inasema ukweli katika kile inachokisema Biblia na kwa ushahidi gani hasa?Ni kwa ushahidi tu wa kule pangoni tu? Na kama ni kwa ushahidi huo tu, ni kwa nini hata Muhammad mwenyewe hakuuamini ushahidi huo hadi akaenda kwa mjomba wake,Khadija,Mchungaji wa Ki-nestorian, ku-clear doubt? Je,katika mazingira kama hayo. ina maana Muhammad alikuwa anamuamini zaidi mchungaji Waraqahal kuliko malaika Jibrili aliyekuwa ametumwa na Mungu kwake?
 
Kwa hakika wewe ndiye umesema kubainisha kitu ambacho maswali yangu yanakifunua juu ya tabia ya Muhammad.Tabia hii Muhammad ameionyesha sana katika Kurani na ndio maana mara nyingi sana alidai kuwa yeye hakuwa na tofauti yoyote na Yesu.Kwa kauli kama hiyo, baadaye wakristu walimbana kwamba kama Yeye hakuwa na tofauti yoyote ile na Yesu, basi afanye hata angalau muujiza mmoja kama alivyofanya Yesu.Katika hilo,sote tunafahamu Kurani inasemaje kama kweli Muhammad aliweza kufanya muujiza au alitoa longolongo tu.

Katika mijadala ijayo tutaonyesha jinsi Muhammad alivyokuwa ana-edit maneno ya Yesu na kuyatia katika Kurani.
 
Sifa za sanamu zinazo abudiwa kama miungu zinetajwa katika Biblia. Sasa hapa ni dhahiri huyu mtume Muhamad SAW hakuielewa hata hiyo taurati ya Mussa ndio maana akatoka na uongo.

Lakini ukisoma Biblia kuna mahali Bwana Yesu alisema yeye alikuwepo hata kabla ya huyo Ibrahimu kuwepo.

Ndiposa Muhamad SAW akataka kugeza hii kauli. Lazima kujua kuwa mungu ndama ni shetani aliye kuwa akiabudiwa kule misri na wana waisrael walijifunza hivyo wakiwa utumamwani. Hivyo kumuomba Haruni awatengenezea baali la ndama hawakukosea ni kitu walicho kijua.

So Muhamad SAW na yeye alitaka kuonesha kuwa alikuwepo kabla ya mungu ndama/sanamu la shetani kutengenezwa na wana wa Israel. Lakini akamisi pointi muhimu kuwa kwenye taurati ya Musa Mwenyezi Mungu alisha sema sifa za miungu masanamu/mabaali. Moja wapo ikiwa kuwa yana vinywa lakini hayaongei.

Kwa hakika wewe ndiye umesema kubainisha kitu ambacho maswali yangu yanakifunua juu ya tabia ya Muhammad.Tabia hii Muhammad ameionyesha sana katika Kurani na ndio maana mara nyingi sana alidai kuwa yeye hakuwa na tofauti yoyote na Yesu.Kwa kauli kama hiyo, baadaye wakristu walimbana kwamba kama Yeye hakuwa na tofauti yoyote ile na Yesu, basi afanye hata angalau muujiza mmoja kama alivyofanya Yesu.Katika hilo,sote tunafahamu Kurani inasemaje kama kweli Muhammad aliweza kufanya muujiza au alitoa longolongo tu.

Katika mijadala ijayo tutaonyesha jinsi Muhammad alivyokuwa ana-edit maneno ya Yesu na kuyatia katika Kurani.
 
Huyu mtu si wa kumjibu kwasababu ni mjinga. Kama angelikuwa anasema kweli hiyo aya ya Quran aliyoirejea ange paste hapo kwenye bandiko lake kama alivyopaste aya za biblia. Kimsingi huyu mtu ana hofu kubwa kuwa kumekuwepo wimbi kubwa la watu wa dini mbalimbali kuupokea uislam, kwa hivyo anawapotosha hao wasioujua uislam ili wasiupokee. Infact yeye si wa kwanza na wala hatakuwa wa mwisho kuwa mpotoshaji kwani wamekuwepo enzi na enzi wapotoshaji kama yeye. Ni vema kusimamia haki kuliko kupotosha, mchamungu yeyote husimamia ukweli hata kama aliyembele yake ni adui yake hawezi shuhudia uongo juu yake. Mtu huyu anashuhudia uongo waziwazi kwasababu tu ana uadui na uislam, Hana taaluma yoyote ya dini bali ni mshabiki wa dini aliyejazwa ujinga wa vijiweni

Kiuhalisia biblia kamwe haiwezi kuithibitisha quran, quran inajisimamia yenyewe, inaeleza ukweli uliofichwa na biblia. Quran inaeleza kuwa Ismail ndio aliyetakiwa kutolewa Sadaka lkn biblia inasema Isihaka ndiye aliyetakiwa, Quran inasema yesu si MUNGU biblia imeng'ang'ania yesu ni MUNGU! Hivi ni vitabu viwili tofauti kabisa na kamwe kimoja hakiwezi kuwa rejea ya kingine. Quran inajisimamia yenyewe na ina visa vingi ambavyo kwenye biblia havimo kabisa.

Back
Top Bottom