Je, teknolojia ya roboti wanaoongea ilikuwepo wakati wa Musa na Haruni kama Kurani?

Mwenyezi Mungu kupitia malaika jibril

Kama baba kassim kweli Mungu Amemtuma weka Ushahidi kama huu [emoji117]

IMG_20180829_092912_990.jpg
hata allah naye kathibitisha kwamba Mwenyezi Mungu kamtuma Musa
IMG_20180829_071953_823.jpg
IMG_20180829_072034_113.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mpumbavu tu unayetafuta maarufu. Kuna mwenzio mgen mpaka leo hajafanikiwa lolote seuze wewe? Acheni upuuzi wenu.

Sent using my NOKIA torch
Mbona una jazba hivo? Ndo usomaji unaomshauri mleta mada ili aongeze maarifa ua jazba na matusi? Jibu hoja, kama imekushinda si unazisoma tu then unasepa zako kimya kimya?
 
Kwa hiyo akili yako inakubali kuwa Mungu anacheza MIELEKA lakini malaika kumkaba mtu haiwezekani . sasa kipi ni kichekesho Mungu kugeuka JOHN Cena au malaika kumkaba mtu?
Analo Taka HAWEZI [emoji47] [emoji12] kama wewe umesha jiajiri kuwa mc wake Tangaza [emoji47] manake kafir hana Mkole kama alivyo mngese naye hana Mkole [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Baadhi ya matukio katika Kurani ndiyo proof yenyewe kwamba Muhammad alikuwa ana-desa mambo kutoka sehemu mbalimbali na kuyafanya kama yeye ndiye original source wakati sivyo.Mojawapo ni hili la sanamu ya ndama kuelezwa kwamba ilitengenezwa na msamaria wakati ukweli wa kihistoria ni kwamba sanamu ya ndama ya walioiabudu waisraeli itengenezwa na Haruni.

2. Tukio ni sanamu ya ndama na waliotengenezewa ni waisraeli.Tofauti katika kisa hicho: Mosi, ni nani alitengeneza sanamu(roboti hilo).Pili, sifa za sanamu yenyewe.Kurani inasema sanamu ilikuwa inatoa sauti,kwa maana ya kuongea.Tatu, kwamba kulikuwapo mtume aliyeshikwa unyayo na msamaria wakati wa kutengeneza sanamu hiyo. Haya mambo hayo matatu ndiyo yanabatilisha ukweli wa simulizi wa Muhammad katika Kurani, mintarafu uundwaji wa sanamu kwa ajili ya waisraeli.
Unapoongea/ unapoandika uwe na akiba ya maneno/maandishi. Suala ulilolileta ni suala la mjadala na suala la mjadala hiwezi ukahitimisha pasipo maudhui ya mjadala kujadiliwa, na kuna mawili mwisho was mjadala, imma wakinzane au waikhtalfiane hao wanaojadili mjadala. Mosi hilo.

Pili,utakuwa ni mtu wa ajabu misingi ya dini flani unaihukumu kwa kutumia misingi ya dini nyengine. Abadan! Misingi ya itikadi haipimwi hivyo. Kila itikadi ina misingi yake hivyo, ihukumu kwa kutumia misingi yake na sivyo unavyofanya wewe. Yafaa ungeuliza ila si dhihaka iliyoambatana na kuuliza.
Tanbihi tu nakupa.

Halafu ni nani aliyekuambia sanamu la ndama tena wa kike limetengenezwa na msamaria? Katika hili kwa sababu umeleta hoja na hii hoja inajibiwa kwa hoja/ swali.
i) Leta aya hiyo inayosema sanamu imetengenezwa na Msamaria. Asili ya lugha ya Qur'an ni kiarabu, ilete kwa lugha ya kiarabu halafu tuipeleka kwa lugha hii ya kiswahili.

ii) Lete aya inayosema msamaria
alishika nyayo za Mtume.( Angalizo usineletee kwa tarjama)

-Ukiyajibu hayo na wewe utapata majibu yako yote ya kwenye hii mada inshaallah. Anayetaka kujua huwa anafanya hima, Fanya hima ya kujibu ili niondoe utata wa maswali yako.

Ukishindwa kuyajibu sema vilevile ili tusipoteze muda. Tukusaidie kuyajibu na tukuweke sawa.
 
1.Sijakuelewa wewe na wenzio mnaolilia niweke nukuu ya aya husika hapa wakati mnayo Kurani mnamaanisha nini.Kama mnaona nimesema uongo kwa nini ninyi hamuiweki nukuu hiyo ili uongo wangu ubainike.

2. Nimeshaelewa ni kwa nini mnang'ang'ania sana niiweke aya hiyo hapa.Na sasa umeweka na condition ya version ya Kurani yenyewe.Niseme tu kwamba mimi ninayo Android App ya Kurani katika simu yangu na hivi simu yangu siku ya Post ilikuwa inasumbua nikashindwa kui-link na PC yangu.Hata hivyo, ili kuonyesha kwamba nina uhakika na nilichokiandika ninakuwekeeni aya hiyo kuanzia 85-96 na aya ambazo zina maeneo ya kubishaniwa nimezi-bold:

"85. (Mwenyezi Mungu) akasema: Sisi tumewatia mtihani watu wako baada yako, na Msamaria amewapoteza.

86. Musa akarudi kwa watu wake kwa ghadhabu na kusikitika. Akasema: Enyi watu wangu! Kwani Mola wenu Mlezi hakukuahidini ahadi nzuri? Je, umekuwa muda mrefu kwenu au mmetaka ikushukieni ghadhabu ya Mola wenu Mlezi, ndio maana mkavunja miadi yangu?

87. Wakasema: Sisi hatukuvunja miadi yako kwa khiari yetu, lakini tulibebeshwa mizigo ya mapambo ya watu, basi tukaitupa. Na hivyo ndivyo alivyo toa shauri Msamaria.

88. Na akawaundia ndama, kiwiliwili chenye sauti. Na wakasema: Huyu ndiye mungu wenu, na mungu wa Musa, lakini alisahau.

89. Je! Hawakuona kuwa hakuwarudishia neno, wala hakuweza kuwadhuru wala kuwafaa?

90. Na hakika Harun alikwisha waambia kabla yake: Enyi watu wangu! Hakika nyinyi mmetiwa mtihanini tu kwa kitu hiki. Na kwa yakini Mola wenu Mlezi ni Arrahmani, Mwingi wa Rehema. Basi nifuateni mimi, na t'iini amri yangu!

91. Wakasema: Hatutaacha kumuabudu mpaka Musa atapo rejea kwetu.

92. (Musa) akasema: Ewe Harun! Ni nini kilicho kuzuia, ulipo waona wamepotea,

93. Hata usinifuate? Je, umeasi amri yangu?

94. Akasema: Ewe mwana wa mama yangu! Usinishike ndevu zangu, wala kichwa changu. Kwa hakika naliogopa usije sema: Umewafarikisha Wana wa Israil, na hukungojea kauli yangu.

95. (Musa) akasema: Ewe Msamaria! Unataka nini ?

96. Akasema: Niliona wasiyo yaona wao, nikashika gao katika unyao wa Mtume. Kisha nikalitupa. Na hivi ndivyo ilivyo nielekeza nafsi yangu.

97. (Musa) akasema: Basi ondoka! Na kwa yakini utakuwa katika maisha ukisema: Usiniguse. Na hakika una ahadi kwako isiyo vunjwa. Na mtazame huyo mungu wako uliye endelea kumuabudu - Sisi kwa hakika tutamchoma moto, kisha tutamtawanya baharini atawanyike."
 
Hakuna kwa kujaza malalamiko au kilio hapa sio mahali pake .hapa ni nondo juu ya nondo

akili za kisilamu eti nondo juu ya nondo! kwa kutulisha matapishi kweli hizo ni nondo hatuziwezi [emoji4] halafu Nini haswa cha maana unacho pigania hadi Unasubiri kupigwa kata.3 mvutuni [emoji47] [emoji12] hapo ulipo mtu akikugusa kalio unatangaza jihadi [emoji109] kumbe unamtunzia mkamua ngama eeh [emoji15] kinacho kuzuia kughani hizi beti [emoji117] za shairi
IMG_20180829_130046_224.jpg
IMG_20180829_130015_579.jpg
ni nini? mwenzio baba kassim hadi aliongoza mauaji ya kimbari, kuiba, kubaka, Taqya..LAKINI WAFUASI WA YESU WALIENDELEA KUSHAHADIA KWAMBA HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PAULO MTUME WAKE [emoji123] [emoji106] baada ya kushindwa hoja [emoji4] Mwishoni Kabisa ktk kupigana na umauti Anaikabidhi Roho yake kwa Yesu [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Sijakuelewa wewe na wenzio mnaolilia niweke nukuu ya aya husika hapa wakati mnayo Kurani mnamaanisha nini.Kama mnaona nimesema uongo kwa nini ninyi hamuiweki nukuu hiyo ili uongo wangu ubainike.

2. Nimeshaelewa ni kwa nini mnang'ang'ania sana niiweke aya hiyo hapa.Na sasa umeweka na condition ya version ya Kurani yenyewe.Niseme tu kwamba mimi ninayo Android App ya Kurani katika simu yangu na hivi simu yangu siku ya Post ilikuwa inasumbua nikashindwa kui-link na PC yangu.Hata hivyo, ili kuonyesha kwamba nina uhakika na nilichokiandika ninakuwekeeni aya hiyo kuanzia 85-96 na aya ambazo zina maeneo ya kubishaniwa nimezi-bold:

"85. (Mwenyezi Mungu) akasema: Sisi tumewatia mtihani watu wako baada yako, na Msamaria amewapoteza.

86. Musa akarudi kwa watu wake kwa ghadhabu na kusikitika. Akasema: Enyi watu wangu! Kwani Mola wenu Mlezi hakukuahidini ahadi nzuri? Je, umekuwa muda mrefu kwenu au mmetaka ikushukieni ghadhabu ya Mola wenu Mlezi, ndio maana mkavunja miadi yangu?

87. Wakasema: Sisi hatukuvunja miadi yako kwa khiari yetu, lakini tulibebeshwa mizigo ya mapambo ya watu, basi tukaitupa. Na hivyo ndivyo alivyo toa shauri Msamaria.

88. Na akawaundia ndama, kiwiliwili chenye sauti. Na wakasema: Huyu ndiye mungu wenu, na mungu wa Musa, lakini alisahau.

89. Je! Hawakuona kuwa hakuwarudishia neno, wala hakuweza kuwadhuru wala kuwafaa?

90. Na hakika Harun alikwisha waambia kabla yake: Enyi watu wangu! Hakika nyinyi mmetiwa mtihanini tu kwa kitu hiki. Na kwa yakini Mola wenu Mlezi ni Arrahmani, Mwingi wa Rehema. Basi nifuateni mimi, na t'iini amri yangu!

91. Wakasema: Hatutaacha kumuabudu mpaka Musa atapo rejea kwetu.

92. (Musa) akasema: Ewe Harun! Ni nini kilicho kuzuia, ulipo waona wamepotea,

93. Hata usinifuate? Je, umeasi amri yangu?

94. Akasema: Ewe mwana wa mama yangu! Usinishike ndevu zangu, wala kichwa changu. Kwa hakika naliogopa usije sema: Umewafarikisha Wana wa Israil, na hukungojea kauli yangu.

95. (Musa) akasema: Ewe Msamaria! Unataka nini ?

96. Akasema: Niliona wasiyo yaona wao, nikashika gao katika unyao wa Mtume. Kisha nikalitupa. Na hivi ndivyo ilivyo nielekeza nafsi yangu.

97. (Musa) akasema: Basi ondoka! Na kwa yakini utakuwa katika maisha ukisema: Usiniguse. Na hakika una ahadi kwako isiyo vunjwa. Na mtazame huyo mungu wako uliye endelea kumuabudu - Sisi kwa hakika tutamchoma moto, kisha tutamtawanya baharini atawanyike."
Surat Twaha kuanzia aya ya 85 nimeshindwa kuiweka kwa lugha ya kiarabu ila lafudhi ya kiarabu nitaiandika kwa kiswahili.

Aya inasema hivi; " Qala fainnaa qad fatanna qawmaka mimm' baadika wa' adhwallahumussamiir"

Hoja yako ipo kwenye hapo " adhwallahumussamiir" kwa tafsiri ya Qur'an tangu iliposhushwa mpaka sasa katika hiyo aya "Assamiir" si Msamaria kwa maana si kabila au utambulisho wa jamii ya watu. "Assamir" ni jina la mtu na alikuwa ni miongoni mwa wafuasi wa nabii Musa a.s. Kwa kiswahili hilo jina linaitwa "Samir". Kama hoja "Samiir" ingelikuwa ni kabila ya mtu basi hata "Firauni" ambalo hilo neno limetajwa katika hiyo Surat Twaha basi nalo lingelikuwa ni kabila. Lakini "Firauni" ni jina na kabila yake ni Qibitwi.

Tafsiri ya hiyo aya kwa usahihi ipo hivi
" Bila shaka tumewajaribu watu wako baada yako, na Samir amewapoteza"

Tizama tafsiri ya mwanzo kabisa ya Qur'an ya Sahaba wa Mtume, nao hiyo tafsiri waliipokea kutoka kwa Mtume. Naye huyo Sahaba ni miongoni mwa masahaba ambao ni wana wa zuoni, anaitwa Ibn Abbas r.a uone imetafsiriwa vipi.Au katizame tafsiri ya Ibn Kathiir uone naye ametafsiri vipi hicho unachodai.

Na wewe kuandika hayo madai si wa kwanza, hata Padre Dale aliandika kama ulichoandika. Labda nikuambie kitu, Qur'an ina misingi yake katika kuitafsiri na wewe huijui kama unaijua iweke wazi tuchambue hizo njia ulizopita kwenye kutafsiri, then twende pamoja.

Kama unaswali juu ya hapo uliza na ukikataa njoo na reasons/fact/proof si ngonjera. Kama unataka kujua Samir ni jina au kabila ingia hata Wikipedia andika hilo jina na uhusiano na Surat Twaha.
 
Kwa maana hiyo Kurani imeandikwa na Bwana Mudi si ndio
Muhammad s.a.w ni "Ummiyyiin" kwa maana hajui kusoma wala kuandika. Waliyoandika Qur'an ni Sahaba zake na alikuwa akiwaambia waisome pindi wanapoiandika huku yeye akiisikiliza kama imeandikwa kiufasaha.

Angelikuwa anajua kusoma hoja ingelitokea kwamba ameiandika yeye.
 
akili za kisilamu eti nondo juu ya nondo! kwa kutulisha matapishi kweli hizo ni nondo hatuziwezi [emoji4] halafu Nini haswa cha maana unacho pigania hadi Unasubiri kupigwa kata.3 mvutuni [emoji47] [emoji12] hapo ulipo mtu akikugusa kalio unatangaza jihadi [emoji109] kumbe unamtunzia mkamua ngama eeh [emoji15] kinacho kuzuia kughani hizi beti [emoji117] za shairiView attachment 850275View attachment 850276 ni nini? mwenzio baba kassim hadi aliongoza mauaji ya kimbari, kuiba, kubaka, Taqya..LAKINI WAFUASI WA YESU WALIENDELEA KUSHAHADIA KWAMBA HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PAULO MTUME WAKE [emoji123] [emoji106] baada ya kushindwa hoja [emoji4] Mwishoni Kabisa ktk kupigana na umauti Anaikabidhi Roho yake kwa Yesu [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe "Asbab" ya kushuka hiyo Sura.
 
Muhammad s.a.w ni "Ummiyyiin" kwa maana hajui kusoma wala kuandika. Waliyoandika Qur'an ni Sahaba zake na alikuwa akiwaambia waisome pindi wanapoiandika huku yeye akiisikiliza kama imeandikwa kiufasaha.

Angelikuwa anajua kusoma hoja ingelitokea kwamba ameiandika yeye.
Huu ukweli wengi wa wasio waislamu huwa wanajidai hawauoni au kuupotezea.

Na Allah aliye juu,alimwambia mtume wake amani iwe juu yake,na ataithibisha kifuani mwake wala hata isahau.

Watu wanajitutumua wakati uwezo hawana acha wapasuke. Na wako dhaifu sana kushinda nyumba ya bui bui.

Huyu mtoa mada mimi nimempotezea kitambo sana,huwa nasoma ada zake na kujizuia kumjibu,sababu hana hadhi ya kujibiwa.

Wa kujibiwa pia wapo kimadaraja sio kila mtu anafaa kujibiwa,sasa katika wale wasio faa kujibiwa ni huyu mtoa mada.

Bro,mimi naendelea kusoma maoni ya waja wa Allah aliye juu.

Bro unayajua mashairi ? Bila shaka hujui mashairi wala huijui elimu ya mashairi.

Wewe si wa kwanza katika husema Qur'an ni mashairi. Na wale waliodai hivyo walipewa changamoto walete walau mfano wa aya moja tu yenye kufanana na Qur'an lakini walishindwa.

Nachowashangaa wasio kuwa waislamu huwa hawasomi ndio maana hoja zao huwa ziko dhidi yao na wewe ni miongoni mwao.

Unatumia nguvu nyingi sana lakini unatoka patupu.

Sasa umeulizwa swali leta sababu ya kushuka aya hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka uedit Kauli ya allah aka baba fatuma wakati kitu hakihitaji sherehe kiko wazi wazi [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa inabidi u' behave unajua umeshakuwa na kila jambo lina mahala pake. Umeandika kitu ambacho ni serious basi kuwa serious unachojibu unachoulizwa.
 
Huu ukweli wengi wa wasio waislamu huwa wanajidai hawauoni au kuupotezea.

Na Allah aliye juu,alimwambia mtume wake amani iwe juu yake,na ataithibisha kifuani mwake wala hata isahau.

Watu wanajitutumua wakati uwezo hawana acha wapasuke. Na wako dhaifu sana kushinda nyumba ya bui bui.

Huyu mtoa mada mimi nimempotezea kitambo sana,huwa nasoma ada zake na kujizuia kumjibu,sababu hana hadhi ya kujibiwa.

Wa kujibiwa pia wapo kimadaraja sio kila mtu anafaa kujibiwa,sasa katika wale wasio faa kujibiwa ni huyu mtoa mada.

Bro,mimi naendelea kusoma maoni ya waja wa Allah aliye juu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hebu tuwekeeni USHAHIDI MWENYEZI MUNGU KAMTUMA MUHAMMAD[emoji15] [emoji53] ayat kama hii [emoji117]
IMG_20180829_071953_823.jpg
IMG_20180829_072034_113.jpg
Mimi sikatai muhammad ni mtume ilaha sio Wa Mungu ni Wa Mpinga Mungu kama unabisha rejea [emoji117]
ten_commandments5.gif
hakuna hata Moja aliyoishika, kuitunza na KUIISHI!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ukweli wengi wa wasio waislamu huwa wanajidai hawauoni au kuupotezea.

Na Allah aliye juu,alimwambia mtume wake amani iwe juu yake,na ataithibisha kifuani mwake wala hata isahau.

Watu wanajitutumua wakati uwezo hawana acha wapasuke. Na wako dhaifu sana kushinda nyumba ya bui bui.

Huyu mtoa mada mimi nimempotezea kitambo sana,huwa nasoma ada zake na kujizuia kumjibu,sababu hana hadhi ya kujibiwa.

Wa kujibiwa pia wapo kimadaraja sio kila mtu anafaa kujibiwa,sasa katika wale wasio faa kujibiwa ni huyu mtoa mada.

Bro,mimi naendelea kusoma maoni ya waja wa Allah aliye juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua wengi hili hawalijui. Wakatizame idadi ya sura katika Qur'an zipo ngapi, Idadi ya aya, idadi ya maneno na idadi ya herufi zipo ngapi. Halafu katika hizo zote hamna hata kitu kimoja mtume alichosahau.
 
Muhammad s.a.w ni "Ummiyyiin" kwa maana hajui kusoma wala kuandika. Waliyoandika Qur'an ni Sahaba zake na alikuwa akiwaambia waisome pindi wanapoiandika huku yeye akiisikiliza kama imeandikwa kiufasaha.

Angelikuwa anajua kusoma hoja ingelitokea kwamba ameiandika yeye.

Umewaambia waandike kisha wakusomee [emoji15] wakikusomea tofauti na walivyo andika na hujui kusoma [emoji4]
8.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom