Je, tendo la ndoa linafaa wakati gani?

Je, tendo la ndoa linafaa wakati gani?

Oya ukikaa kiree eti unasubiri game mpaka ndoa unakuja kuuziwa mbuzi kwenye gunia kumbe fisi.

Ku test mitambo muhimu asee, hata gari lazima likaguliwe kabla ya safari. Tena safari ndefu kama ya ndoa inatakiwa ushushe hadi engine umwage na oil kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya mambo ya kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa yamesababisha vijana wengi kutokuoa mapema na wengine hawana mpango wa kuoa/kuolewa maana kile ambacho kingemsukuma kuoa anakipata bila kuoa.Kijana mmoja akipoulizwa kwa nini haoi?"Alisema kuwa hawezi kufuga ng'ombe wa maziwa wakati maziwa yanapatikana kirahisi" huko tuendako ndoa hazitakuwepo
 
Naunga mkono hoja
 
Haijalishi unapitia mangapi, usiache ku ngonoka...

Akawasha gari akateleza...
 
Back
Top Bottom