Je, tetesi hizi zina ukweli?

Je, tetesi hizi zina ukweli?

Mbwa dume

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
5,934
Reaction score
10,206
Niko hapa Dar kibiashara tangu Jumamosi (nimekuja kuuza vumbi la Kongo maana nimeona biashara ya majeneza peke yake ntakufa na njaa)

Sasa jana nikiwa ndani ya bar moja mitaa ya Makumbusho mida ya saa mbili hivi usiku niko na jamaa zangu tunakula tungi ghafla kuliibuka ubishani meza ya jirani kulikuwa na jamaa flani mmoja namjua huwa ni bongo movie sasa walikuwa wanabishana kuhusu watu maarufu wanaotafunwa (mashoga)

Ubishani huo uliibuka baada ya wadau hao kudai kuwa yule msanii kijana machachari wa muziki wa injili ambaye anafahamika
kama "Nzuri bahati" (nimetumia code)
Eti huyu kijana naye yumo kwenye skendo ya kubanduliwa.!

Ukweli hata mimi sikuamini kabisa maana binafsi nyimbo za huyu kijana huwa zinanibariki sana sasa leo mtu aseme eti huyu kijana naye ni "biriani"

Ukweli mpaka sasa siamini kabisa!
Sasa humu najua kuna watu tofauti na pengine wapo waliowahi kusikia hii kitu je ni kweli hizi habari? wazee wa codes na mji mzito.

Cc Warumi
 
Kwa hiyo kama ni shoga wewe unataka kujua ili iweje? utanufaika kibiashara, utaomba mchezo au hasa utaongeza au kupunguza nini??

The World will be a better place only if everyone will mind their own life.
 
Mtu Akiwa Maarufu Haachwi Kupakwapakwa Matope Achafuke Ili Brand Na Image Yake Ibomoke. Haingii Akilini Mwana Gospel Musician Kama Yule Ajihusishe Na Ushenzi Kama Huo Ni Dhambi Ya Ulawiti. Mchungaji Gani Anakaa Na Walawiti? Dhambi Ni Mbaya Haijawahi Kumuacha Mtu Salama Akastawi, Mungu Hadhihakiwi
 
Kwa hiyo kama ni shoga wewe unataka kujua ili iweje? utanufaika kibiashara, utaomba mchezo au hasa utaongeza au kupunguza nini??
The World will be a better place only if everyone will mind their own life.

Povu lote hili na mengine mengi bila shaka wewe n msagaji.

Post za kishoga zikitoka huwa unakuwa emotional sana as if unaumia.

Wacha watu watoe mawazo yao.

Kama upo as such be u and not force others concur with your devil shit deeds
 
Nashukuru na wewe leo umejionesha kua ni shoga ila unaona noma kujitangaza maana posts zote za kishoga na wewe shoga angu upo ila sishangai sababu ngozi nyeusi imejaa unafki.... Lol,[emoji23][emoji23]

Maoni ya watu ni kusimanga wengine?? mbona wewe husemi wanavyokufanyaga huko vichochoroni?
 
Unatetea mashoga halafu unataka kila mtu afate na aamini uchafu wenu??

Kama umeamua kuliwa mavi usilazimishe wengine tukubaluane na ushetani wenu
 
Hizi ndizo habari zinazowasisimua sana watu wengi.... udaku wa ngono, uzinzi, upashkuna, ufiraji, ushoga, na skendo za watu maarufu.

Hivi kwenye hizo shule zenu za kata hakuna silabasi zinazofundisha 'haiba na ustaarabu'??

Jifunze kushughulika na mambo yanayokuhusu na kupambana na hali yako kama ambavyo huyo 'shoga' au 'vyovyote alivyo' anavyopambana na hali yake.

Unapenda kunusa nusa makalio ya watu na kuwafuata fuata mwishowe utakuwa mchawi!

Chunga very!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushoga ni laana na pia ni uchafu,nadhani ni vizuri zaidi tukajikita kwenye kujiuliza root cause ya laana hii kuongezeka ni nini hasa? pia kutafuta njia za kuutokomeza badala ya kujadili tu kua fulani na fulani ni mashoga.
 
Nashukuru na wewe leo umejionesha kua ni shoga ila unaona noma kujitangaza maana posts zote za kishoga na wewe shoga angu upo ila sishangai sababu ngozi nyeusi imejaa unafki.... Lol,[emoji23][emoji23]

Maoni ya watu ni kusimanga wengine?? mbona wewe husemi wanavyokufanyaga huko vichochoroni?
Hahaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom