Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,934
- 10,206
Niko hapa Dar kibiashara tangu Jumamosi (nimekuja kuuza vumbi la Kongo maana nimeona biashara ya majeneza peke yake ntakufa na njaa)
Sasa jana nikiwa ndani ya bar moja mitaa ya Makumbusho mida ya saa mbili hivi usiku niko na jamaa zangu tunakula tungi ghafla kuliibuka ubishani meza ya jirani kulikuwa na jamaa flani mmoja namjua huwa ni bongo movie sasa walikuwa wanabishana kuhusu watu maarufu wanaotafunwa (mashoga)
Ubishani huo uliibuka baada ya wadau hao kudai kuwa yule msanii kijana machachari wa muziki wa injili ambaye anafahamika
kama "Nzuri bahati" (nimetumia code)
Eti huyu kijana naye yumo kwenye skendo ya kubanduliwa.!
Ukweli hata mimi sikuamini kabisa maana binafsi nyimbo za huyu kijana huwa zinanibariki sana sasa leo mtu aseme eti huyu kijana naye ni "biriani"
Ukweli mpaka sasa siamini kabisa!
Sasa humu najua kuna watu tofauti na pengine wapo waliowahi kusikia hii kitu je ni kweli hizi habari? wazee wa codes na mji mzito.
Cc Warumi