Je, tetesi hizi zina ukweli?

Je, tetesi hizi zina ukweli?

Niko hapa Dar kibiashara tangu Jumamosi (nimekuja kuuza vumbi la Kongo maana nimeona biashara ya majeneza peke yake ntakufa na njaa)
Sasa jana nikiwa ndani ya bar moja mitaa ya Makumbusho mida ya saa mbili hivi usiku niko na jamaa zangu tunakula tungi ghafla kuliibuka ubishani meza ya jirani kulikuwa na jamaa flani mmoja namjua huwa ni bongo movie sasa walikuwa wanabishana kuhusu watu maarufu wanaotafunwa (mashoga)
Ubishani huo uliibuka baada ya wadau hao kudai kuwa yule msanii kijana machachari wa muziki wa injili ambaye anafahamika
kama "Nzuri bahati" (nimetumia code)
Eti huyu kijana naye yumo kwenye skendo ya kubanduliwa.!
Ukweli hata mimi sikuamini kabisa maana binafsi nyimbo za huyu kijana huwa zinanibariki sana sasa leo mtu aseme eti huyu kijana naye ni "biriani"
Ukweli mpaka sasa siamini kabisa!
Sasa humu najua kuna watu tofauti na pengine wapo waliowahi kusikia hii kitu je ni kweli hizi habari? wazee wa codes na mji mzito..
Cc Warumi

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya freemason kuisha fashion mtaani sasa hivi USHOGA Unaongelewa kila kona Wazima mpaka watoto. Yaani mnaweza kukuta mada ni mpira, siasa, mziki, movieau hata dini ila inaishia kuwa ya kujadili USHOGA.

We have a long journey to go.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
VP kuhusu kesi za ulawiti aliolalamika papa
Mtu Akiwa Maarufu Haachwi Kupakwapakwa Matope Achafuke Ili Brand Na Image Yake Ibomoke. Haingii Akilini Mwana Gospel Musician Kama Yule Ajihusishe Na Ushenzi Kama Huo Ni Dhambi Ya Ulawiti. Mchungaji Gani Anakaa Na Walawiti? Dhambi Ni Mbaya Haijawahi Kumuacha Mtu Salama Akastawi, Mungu Hadhihakiwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatetea mashoga halafu unataka kila mtu afate na aamini uchafu wenu??


Kama umeamua kuliwa mavi usilazimishe wengine tukubaluane na ushetani wenu
Nani kakulazimisha uwe shoga wakati uliamua wewe mwenyewe na akili zako??

hahahaha acha kunichekesha aiseee au ulibakwa?
 
Hizi ndizo habari zinazowasisimua sana watu wengi.... udaku wa ngono, uzinzi, upashkuna, ufiraji, ushoga, na skendo za watu maarufu.

Hivi kwenye hizo shule zenu za kata hakuna silabasi zinazofundisha 'haiba na ustaarabu'??

Unapaswa kujifunza kushughulika na mambo yanayokuhusu na kupambana na hali yako kama ambavyo huyo 'shoga' au vyovyote alivyo anavyopambana na hali yake.

Unapenda kunusa nusa makalio ya watu na kuwafuata fuata mwishowe utakuwa mchawi!

Chunga very!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha yaan mtu anafungua uzi kuulizia kama fulani ni shoga kwa nini asimpe makalio yake ili amthibitishie??
 
Mwenyezi Mungu Atuepushe na janga hilo.
 
Temea mate pembeni!!! Hawa wachungaji ndo mabasha wakubwa wanawalawiti vijana kwa kuwaingiza kwenye misafara yao. Wakatoliki je, ni skendo ngapi mpaka kadinari mmoja mwezi jana kafukuzwa sababu ya ulawiti.
Mashekh hao nikianza kutaja ninao wafahamu kwa uhakika mtakimbia. Huu mchezo upo toka enzi na enzi na si mchenzo ni zile genes za watu kuwa na tamaa za kila aina ya jinsia.

Tujidanganye tu ila tujue, hakuna aliyeua mashoga kama watu wa ulaya kwa kalne mpaka walipokuja kung'amua ni maumbile na hao watawala wenyewe walikuwa ni member. Kumbuka Socrates na wenzie walikuwaje. Je si ndio Philosopher wetu wakubwa?

Ongea na wanenu mfahamu kama wana vitu vinawasumbua kuhusu jinsia ili muwatafutie wana saikolojia wawasaidie siyo kukaa mnakuja kunanga watoto wa watu humu. Hawakuchagua. Kuna waliobakwa wakiwa hata miaka miwili bado na mchezo ukaendelea, je unategemea nini?
I agree with you!

You seem to be a reasonable and sober.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kakulazimisha uwe shoga wakati uliamua wewe mwenyewe na akili zako??
hahahaha acha kunichekesha aiseee au ulibakwa?
Nimekuambia ulizamishe watu wakubaliane na ushetani wako wa kasagana.
Hayo mengine n kujaribu kunitoa on point.
Nyie wasagaji n kuwamaliza.
Kila post ya kupinga ushoga wewe na wasagaj wenzako mnatokwa na povu as if usenge n jambo jema.
Nitawasema popote.
Halafu suala la kukonvice watu wafate ushenzi wenu mkome, maana ipo siku mtasaga meno kwa kilio kisichokwisha
 
Ushoga ni laana na pia ni uchafu,nadhani ni vizuri zaidi tukajikita kwenye kujiuliza root cause ya laana hii kuongezeka ni nini hasa? pia kutafuta njia za kuutokomeza badala ya kujadili tu kua fulani na fulani ni mashoga.
Laana ni ile ya kufanya ufisadi kwa pesa za wanyonge au ile ya kunyanyasa yatima na wajane au ile ya mwenye nacho kutokumsaidia asiyekua nacho au pale unapompa mimba mwanamke kisha unamkataa au unamwambia akaitoe, au au au auuuu.
 
Huyo jamaa kweli sio wa kawaida mara nyingi anateteaga usenge humu jukwaani eti will be ze gud place watu wengine kweli laana
Povu lote hili na mengine mengi bila shaka wewe n msagaji.


Post za kishoga zikitoka huwa unakuwa emotional sana as if unaumia.

Wacha watu watoe mawazo yao.

Kama upo as such be u and not force others concur with your devil shit deeds

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu Akiwa Maarufu Haachwi Kupakwapakwa Matope Achafuke Ili Brand Na Image Yake Ibomoke. Haingii Akilini Mwana Gospel Musician Kama Yule Ajihusishe Na Ushenzi Kama Huo Ni Dhambi Ya Ulawiti. Mchungaji Gani Anakaa Na Walawiti? Dhambi Ni Mbaya Haijawahi Kumuacha Mtu Salama Akastawi, Mungu Hadhihakiwi
Acha kukurupuka, ata wachungaji mashoga wapo nyomi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa kweli sio wa kawaida mara nyingi anateteaga usenge humu jukwaani eti will be ze gud place watu wengine kweli laana
Sent using Jamii Forums mobile app


Huwa ninamuona sana ndiyo maana leo nimemsema. Nimewahi kumsema kidogo ila leo nimetenga muda kwa ajili yake na washenzi wengine kama yeye
 
Kama wachungaji, masheikh, mapadre wapo kwenye game sembuse muimbaji tena aliyejiweka ki bongo fleva? Nilishaambiwa kuhusu jamaa. It's not a surprising news to me.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa makanisa ya kipentekoste hajawa na mafundisho ya ushoga ni kinyume na maandiko matakatifu, ikitokea kuna mchungaji yuko hivyo atafukuzwa kanisani akafie mbali. makanisa ya kiroho hayakai na washirika watenda dhambi kila mara. kutubu ni mara moja tu. mzinzi, muasherati na mlawiti hawawezi kustahimili kusali katika makanisa haya. wenyewe tu wanayaogopa kwa kuwa yanaanika dhambi hizo waziwazi na kuwafukuza watenda matendo hayo maovu
 
Back
Top Bottom