INRI
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 1,324
- 2,319
Utoto na sexual orientation havina effect sana kwa baadae.Sasa cha kushangaza unakuta kuna mtoto US kuanzia ana miaka mitano alikataa kuvaa nguo za kike na mpaka sasa ni teenager ameanza hormones za kiume. Mwingine siweze sema maana wanangu wanaingia watajua nimewasemea. Kuna mwenzake na mwanangu jinsia naficha yeye hata jina kabadili. Tulipoishi wote ughaibuni hakuwahi vaa nguo ya kike. Aliporudi US toka huko tulipokuwa wote mzigoni kawaeleza wazazi kuwa yeye ameamua jinsia yake ni ME. Sasa anajitahidi kubeba vyuma ili aonekane vile.
Unaonaje? Nina Mifano mingi wanasema tembea uone. Hawa watu lazima mmoja atakuwa na futures za opposite. Kama wote wanawake, mmoja atataka aoinekane mwanamme. Kama wanaume mmoja anaonekana mwanamke. Je Kwanini Michael Jackson hakutoka kuonyesha jinsia yake? Watoto alioacha wote ni wakuadopt au kutungikiwa mimba na rafiki yake.
Marijali wengi wamecheza rede, kuvaa vitu vya kike lakini baada ya kujitambaua wakajua sio vitu vyao kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app