Je, tetesi hizi zina ukweli?

Je, tetesi hizi zina ukweli?

Mtu Akiwa Maarufu Haachwi Kupakwapakwa Matope Achafuke Ili Brand Na Image Yake Ibomoke. Haingii Akilini Mwana Gospel Musician Kama Yule Ajihusishe Na Ushenzi Kama Huo Ni Dhambi Ya Ulawiti. Mchungaji Gani Anakaa Na Walawiti? Dhambi Ni Mbaya Haijawahi Kumuacha Mtu Salama Akastawi, Mungu Hadhihakiwi
Kama wachungaji, masheikh, mapadre wapo kwenye game sembuse muimbaji tena aliyejiweka ki bongo fleva? Nilishaambiwa kuhusu jamaa. It's not a surprising news to me.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kadri mtoto wa kiume anavozidi kukua ndiyo pressure kwa wazazi inazidi kupanda! Mungu atunusuru!
Inasikitisha sana. Malezi ya mtoto wa kiume sasa hivi ni magumu kuliko ya wa kike.
 
Niko hapa Dar kibiashara tangu Jumamosi (nimekuja kuuza vumbi la Kongo maana nimeona biashara ya majeneza peke yake ntakufa na njaa)
Sasa jana nikiwa ndani ya bar moja mitaa ya Makumbusho mida ya saa mbili hivi usiku niko na jamaa zangu tunakula tungi ghafla kuliibuka ubishani meza ya jirani kulikuwa na jamaa flani mmoja namjua huwa ni bongo movie sasa walikuwa wanabishana kuhusu watu maarufu wanaotafunwa (mashoga)
Ubishani huo uliibuka baada ya wadau hao kudai kuwa yule msanii kijana machachari wa muziki wa injili ambaye anafahamika
kama "Nzuri bahati" (nimetumia code)
Eti huyu kijana naye yumo kwenye skendo ya kubanduliwa.!
Ukweli hata mimi sikuamini kabisa maana binafsi nyimbo za huyu kijana huwa zinanibariki sana sasa leo mtu aseme eti huyu kijana naye ni "biriani"
Ukweli mpaka sasa siamini kabisa!
Sasa humu najua kuna watu tofauti na pengine wapo waliowahi kusikia hii kitu je ni kweli hizi habari? wazee wa codes na mji mzito..
Cc Warumi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sura ya kitabu inasadifu yaliyomo .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ndizo habari zinazowasisimua sana watu wengi.... udaku wa ngono, uzinzi, upashkuna, ufiraji, ushoga, na skendo za watu maarufu.

Hivi kwenye hizo shule zenu za kata hakuna silabasi zinazofundisha 'haiba na ustaarabu'??

Unapaswa kujifunza kushughulika na mambo yanayokuhusu na kupambana na hali yako kama ambavyo huyo 'shoga' au vyovyote alivyo anavyopambana na hali yake.

Unapenda kunusa nusa makalio ya watu na kuwafuata fuata mwishowe utakuwa mchawi!

Chunga very!

Sent using Jamii Forums mobile app



Nimecheka kama mazuri.......... shule za KATA kufundisha haiba uko right kabisa..maisha yamebana kiasi kwamba huwezi zungusha shingo hata kwenye daladala kujua umekaa na nani
 
Ushoga ni laana na pia ni uchafu,nadhani ni vizuri zaidi tukajikita kwenye kujiuliza root cause ya laana hii kuongezeka ni nini hasa? pia kutafuta njia za kuutokomeza badala ya kujadili tu kua fulani na fulani ni mashoga.
Poor beliefs. America, Arabic States And Europe Hawa Na Sisi Nani Anaonekana "Cursed" ? Obviously Africans we seemed to be cursed by excessive poverty, hunger, diseases, underdeveloped, weird beliefs of killing albino and old age group. But those other continents are vice versa and homosexuality is rampant comparing in Africa.

Don't use emotion when making judgment it'll always be irrational.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka kama mazuri.......... shule za KATA kufundisha haiba uko right kabisa..maisha yamebana kiasi kwamba huwezi zungusha shingo hata kwenye daladala kujua umekaa na nani
Haiba na ustaarabu ndio msingi wa jamii yoyote iliyostaarabika au inayotaka kustaarabika.

Ndio maana kule mitaani pamejaa wachawi na wapiga domo tu... fulani yule hajala leo, fulani yule shoga, fulani yule anavaa suruali moja tu, fulani yule kaathirika kwa ukimwi, fulani yule karogwa na fulani, fulani yule vile na vile... uchawi uchawi tu!

Silabasi zetu ziwafunze wanafunzi na watoto kuwa watu wanaojali muda na kujikita kwenye mambo yanayoleta tija.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu Akiwa Maarufu Haachwi Kupakwapakwa Matope Achafuke Ili Brand Na Image Yake Ibomoke. Haingii Akilini Mwana Gospel Musician Kama Yule Ajihusishe Na Ushenzi Kama Huo Ni Dhambi Ya Ulawiti. Mchungaji Gani Anakaa Na Walawiti? Dhambi Ni Mbaya Haijawahi Kumuacha Mtu Salama Akastawi, Mungu Hadhihakiwi
Temea mate pembeni!!! Hawa wachungaji ndo mabasha wakubwa wanawalawiti vijana kwa kuwaingiza kwenye misafara yao. Wakatoliki je, ni skendo ngapi mpaka kadinari mmoja mwezi jana kafukuzwa sababu ya ulawiti.
Mashekh hao nikianza kutaja ninao wafahamu kwa uhakika mtakimbia. Huu mchezo upo toka enzi na enzi na si mchenzo ni zile genes za watu kuwa na tamaa za kila aina ya jinsia.

Tujidanganye tu ila tujue, hakuna aliyeua mashoga kama watu wa ulaya kwa kalne mpaka walipokuja kung'amua ni maumbile na hao watawala wenyewe walikuwa ni member. Kumbuka Socrates na wenzie walikuwaje. Je si ndio Philosopher wetu wakubwa?

Ongea na wanenu mfahamu kama wana vitu vinawasumbua kuhusu jinsia ili muwatafutie wana saikolojia wawasaidie siyo kukaa mnakuja kunanga watoto wa watu humu. Hawakuchagua. Kuna waliobakwa wakiwa hata miaka miwili bado na mchezo ukaendelea, je unategemea nini?
 
Back
Top Bottom