Je, tetesi hizi zina ukweli?

Kama wachungaji, masheikh, mapadre wapo kwenye game sembuse muimbaji tena aliyejiweka ki bongo fleva? Nilishaambiwa kuhusu jamaa. It's not a surprising news to me.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kadri mtoto wa kiume anavozidi kukua ndiyo pressure kwa wazazi inazidi kupanda! Mungu atunusuru!
Inasikitisha sana. Malezi ya mtoto wa kiume sasa hivi ni magumu kuliko ya wa kike.
 
Sura ya kitabu inasadifu yaliyomo .

Sent using Jamii Forums mobile app
 



Nimecheka kama mazuri.......... shule za KATA kufundisha haiba uko right kabisa..maisha yamebana kiasi kwamba huwezi zungusha shingo hata kwenye daladala kujua umekaa na nani
 
Ushoga ni laana na pia ni uchafu,nadhani ni vizuri zaidi tukajikita kwenye kujiuliza root cause ya laana hii kuongezeka ni nini hasa? pia kutafuta njia za kuutokomeza badala ya kujadili tu kua fulani na fulani ni mashoga.
Poor beliefs. America, Arabic States And Europe Hawa Na Sisi Nani Anaonekana "Cursed" ? Obviously Africans we seemed to be cursed by excessive poverty, hunger, diseases, underdeveloped, weird beliefs of killing albino and old age group. But those other continents are vice versa and homosexuality is rampant comparing in Africa.

Don't use emotion when making judgment it'll always be irrational.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka kama mazuri.......... shule za KATA kufundisha haiba uko right kabisa..maisha yamebana kiasi kwamba huwezi zungusha shingo hata kwenye daladala kujua umekaa na nani
Haiba na ustaarabu ndio msingi wa jamii yoyote iliyostaarabika au inayotaka kustaarabika.

Ndio maana kule mitaani pamejaa wachawi na wapiga domo tu... fulani yule hajala leo, fulani yule shoga, fulani yule anavaa suruali moja tu, fulani yule kaathirika kwa ukimwi, fulani yule karogwa na fulani, fulani yule vile na vile... uchawi uchawi tu!

Silabasi zetu ziwafunze wanafunzi na watoto kuwa watu wanaojali muda na kujikita kwenye mambo yanayoleta tija.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Temea mate pembeni!!! Hawa wachungaji ndo mabasha wakubwa wanawalawiti vijana kwa kuwaingiza kwenye misafara yao. Wakatoliki je, ni skendo ngapi mpaka kadinari mmoja mwezi jana kafukuzwa sababu ya ulawiti.
Mashekh hao nikianza kutaja ninao wafahamu kwa uhakika mtakimbia. Huu mchezo upo toka enzi na enzi na si mchenzo ni zile genes za watu kuwa na tamaa za kila aina ya jinsia.

Tujidanganye tu ila tujue, hakuna aliyeua mashoga kama watu wa ulaya kwa kalne mpaka walipokuja kung'amua ni maumbile na hao watawala wenyewe walikuwa ni member. Kumbuka Socrates na wenzie walikuwaje. Je si ndio Philosopher wetu wakubwa?

Ongea na wanenu mfahamu kama wana vitu vinawasumbua kuhusu jinsia ili muwatafutie wana saikolojia wawasaidie siyo kukaa mnakuja kunanga watoto wa watu humu. Hawakuchagua. Kuna waliobakwa wakiwa hata miaka miwili bado na mchezo ukaendelea, je unategemea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…