Je, tetesi hizi zina ukweli?

Utoto na sexual orientation havina effect sana kwa baadae.

Marijali wengi wamecheza rede, kuvaa vitu vya kike lakini baada ya kujitambaua wakajua sio vitu vyao kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaonaje jamii walokubali au waendelee kulipinga?
 
Ulichoandika unamaanisha au umeandika tu?
 
Utoto na sexual orientation havina effect sana kwa baadae.

Marijali wengi wamecheza rede, kuvaa vitu vya kike lakini baada ya kujitambaua wakajua sio vitu vyao kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mhu nina wasi wasi. Nimeona hata wa vijijini wamo waliokua wanajipikilisha sasa ndo hivyo na hawakukulia mazingira hatarishi. Believe me.
 
Hizi mambo zimeanza kuwa normal siku hizi......hakika tamaduni yetu imekuwa twisted.....in 20yrs to come if not 10 or 5....haya mambo yatakuwa kawaida sana....God forbid....
 
Nyie endeleeni kulumbana mi nasikiliza nyimbo ya babake diamond inaitwa DUDU LA YUYU
Kuna harufu ya ushoga na usagaji kwenye huu uzi
 
Ulichoandika unamaanisha au umeandika tu?
Wamewachafua Bongo Fleva Na Bongo Muvi Wakaona Ngoja Wawachafue Na Gospel Fleva. Naandika Kwa Kumaanisha. Wanamuziki Wa Injili Ni Tofauti Na Hao Wengine, Wanaimba Ujumbe Wa Mungu Yawapasa Wawe Safi
 
Sema/bisha tu kwa vigezo vingine Ndugu siyo cha Dini,wapo wachafu Dini ni kichaka wakati mwingine wapi sana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamewachafua Bongo Fleva Na Bongo Muvi Wakaona Ngoja Wawachafue Na Gospel Fleva. Naandika Kwa Kumaanisha. Wanamuziki Wa Injili Ni Tofauti Na Hao Wengine, Wanaimba Ujumbe Wa Mungu Yawapasa Wawe Safi

Tofauti yao nini?

Kisa wanaimba nyimbo za dini au

Nitajie msanii mmoja wa kike wa gospel mwenye ndoa yake

Hawa wasanii kila siku si ndo wanasaliti ndoa zao na kuachika au

Tofauti yao na bongo fleva na bongo movie ni nini wao ni watu special kutoka heaven au?

Hivi hujaona wachungaji na mapadre au ma-sheikh wanachimba na kuchimbuliwa mtaro?

Usitete kwa kumuona ni unique na huyu anayesemwa hapa hana tofauti na bongo fleva ni muandishi mzuri sana wa nyimbo za bongo fleva

So kama anawaandikia nyimbo hao bongo fleva means wana-spend muda wa kutosha wakiwa wote then hawana tofauti
 
Inakuhusu mini?
Acha kumchafulia mwenzio jina.
Ukiona vipi nawe fungua duka Dar wazee wa kusukuma ndani na wenye kuhitaji hiyo kitu ni wengi. Anza na hao wateja wako wa unga wa kongo utosheke. Pilau mchawi wewe
 
Sema/bisha tu kwa vigezo vingine Ndugu siyo cha Dini,wapo wachafu Dini ni kichaka wakati mwingine wapi sana tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Ubishi Ni Bora Wakawekwa Wazi Si Vibaya. Haiwezekani Mtu Akaimba Asichokiamini Kwa Lengo La Kupata Fedhaj Tu. Si Vizuri Kuimba Utamu Wa Ndoa Wakati Ndoa Umeiasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…